Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Uuuh I appreciate mnooMost of the time I like what you write
Uuuh I appreciate mnooMost of the time I like what you write
Ingia dina usiogope hakutishiNami nataka kuingia humo kumbe ni magumu[emoji85][emoji85][emoji85]
Patamu si mchezo mkuuha ha hahahaaaa,JF buana!
Binti hujayajuwa maisha bado.kuolewa na mume maskini halafu mkipata shida anakuambia kaombe msaada kwenu......kwani yeye hawezi kusolve mambo ya nyumbani kwake? ndugu zako wapo sawa shida zako na mumeo zinawahusu nini?
ajipange hawezi akurudishe kwenu
Masikini hana haki ya kupenda siyo?Maisha yenyewe yalivo magumu kujipeleka kwa maskini kujitàftia maradhi bure aisee.
Usiwaze Binti maisha yanapita ni kama kusoma kitabu kila siku unaufungua ukurasa mpya. Watu wanapitia majaribu mengi na yanapita.Nashukuru kaka huyu mume wangu sijaona kasoro yoyote kwake ni mstaarabu msomi sema maisha yetu bado ni ya chini sanaaa na ndugu hawakubali maisha ninayoishi sasa sijui wanataka nifanyeje
Kabisa wavumilie kwa mudaHata hayo pia ni mapito, yatapita tu!
Natamani nionane na wewe. Nina Zawadi yako please.Maisha hayana formula, Leo unaweza ukawa na kila kitu kesho ukaamka huna hata moja, ni phase tu ya maisha mnapitia, and kila mtu ana chaguo lake as long as ndo kinachompa furaha na amani. Hukufanya kosa kumchagua mumeo Kwa sababu hana uwezo maybe, but simply because you find so much joy and happiness in him. Sio wote wanaolewa na watu wenye uwezo tayari, wengine wanaanzia chini mno, na Mungu Sio mwanadamu, wengine wanafanikiwa mnooo huko mbeleni. Kuna watu walianza na kila kitu, Leo hawana chochote. Na Kuna wengine pamoja na mahela yote, wamezikimbia ndoa zao kama ambavyo wengine wanakimbia ndoa zao Kwa sababu ya pesa hakuna. As long as hayo ndo maisha yako, please usisikilize "judgement za watu", kila mtu na maisha yake, kila mtu afanye kinachompa amani.
Msupport mumeo, he needs you mnooo Kwa wakati huu. But please and please, pamoja na shida zenu zote, msiwape ndugu sababu ya kuwadharau zaidi. kuweni tu maskini jeuri, vumilieni tu na shida zenu, coz hata mkifanyaje hao ndugu hawatowasaidia chochote. Jitahidini tu kutafuta Kwa bidii + kumwomba Mungu, ipo siku yenu, Mungu atawafungulia milango yenu pia.
Usiache maneno ya watu yakakukatisha tamaa. Usidhani kila anayekucheka ana maisha mazuri kwenye ndoa, karibu kila mtu ana changamoto yake, pesa za muhimu sana but sio the only changamoto kwenye ndoa. Wengine wana changamoto za uaminifu, wengine vipigo, wengine watoto, wengine ulevi, wengine mume asiyejali familia,wengine hakuna maelewano kabisa, wengine wapo tu for the sake of their kids, wengine afya etc. Kama ambavyo wao wanavumilia changamoto zao, na wewe ya kwako ivumilie tu, usiwasikilize kabisa. Shikamana na mumeo, na msikate tamaa, Mungu yupo
Pole sana..Unakuta binti unatoka familia ambayo ni bora kidogo unakutana na kijana ambaye kiuchumi yupo chini mnaoana lakini maneno yanakuwa Mengi ndugu hawamuheshimu mume wako wanamdharau wanaona kama ulikosea kuchagua.
Binti unadharaulika kwenye familia yenu kila unachoongea hakina maana, ndugu wanakutenga yaani ni mateso tupu hata ukiwapigia simu wakusaidie wanakuambia mwambie mumeo na wanajua kabisa mume hana kwa muda huo.
Haya ni mapito tu naamini yana mwisho
Dunia ya sasa bila kuwa na kipato mhhhhhjMasikini hana haki ya kupenda siyo?
Vijana wanapitia challenges nyingi kabla ya kufikia mafanikio.hakuna mtu anazaliwa na kipato otherwise upate na msaada wa family. Huwezi kukosa kipato maisha yako yote ukifanya kazi kwa bidii na kujituma ipo siku mambo yatanyooka.Dunia ya sasa bila kuwa na kipato mhhhhhj