Maisha ya ndoa ni magumu sana

Maisha ya ndoa ni magumu sana

H
Na hapo ndugu wanarudi kwa kasi
mume anawasikiliza ndugu hao hao waliomdharau kupita mkewe
na ndugu sasa wanasema mke ndo mkorofi....

inaitwa fungu la kukosa....inatokea kwa wengi tu
Hayo yote ni mapito tu kaka, don't blame usije ukakosa baraka
 
Inabidi ujipime wewe kama mke mpaka Ndg za mume wako akuchukie tabia zako zikoje? Kama mbaya wakuvumilie tu kwakuwa kwenu MNA uwezo kuliko kwao mmeo? Una tabia labda za kimalaya,kishirikina, uchoyo, kisirani wasikuambie kwakuwa kwenu tu mnauwezo. Kwangu mie umaskini sio kutokuwa kuwa na mali tu, hata kutokuwa na tabia njema nako ni umaskini. Jipime na ujichunguze kwanza wewe na ndipo uanze kusema watu wa upande wa mumei
 
Unakua bega kwa bega na mmeo, mnasaidiana kutafuta, akizipata anakuona tena wewe falah, anazitumia kama hana akili nzuri anakudharau, vitimbi visivoisha.....
Hapo roho itaning'inia duniani haipo ahera haipo
Word[emoji108]
 
kuna watu hawana miguu hawalalamiki. Kuna mwingine kunyimwa hela na ndugu anaona maisha magumu..Bado hujapata majaribu ya kukunyoosha ndo utaacha kulalamika na kujipanga wewe na mumeo
 
Hivi vingine ni vituko.Sasa kama ulijua yana mwisho kwa nini ulileta uzi hapa.Kuleta uzi hapa nadhani nia ilikuwa ni kupata msaada.Hata hivyo binti,kuwa makini sana.Ushauri wangu kwako ni kwamba mambo ya nyumbani kwako ni kati yako na mumeo,JF wala the world can't help you.Kama ukishindwa chomoka kimya kimya.
Unakuta binti unatoka familia ambayo ni bora kidogo unakutana na kijana ambaye kiuchumi yupo chini mnaoana lakini maneno yanakuwa Mengi ndugu hawamuheshimu mume wako wanamdharau wanaona kama ulikosea kuchagua.

Binti unadharaulika kwenye familia yenu kila unachoongea hakina maana, ndugu wanakutenga yaani ni mateso tupu hata ukiwapigia simu wakusaidie wanakuambia mwambie mumeo na wanajua kabisa mume hana kwa muda huo.

Haya ni mapito tu naamini yana mwisho
 
kuolewa na mume maskini halafu mkipata shida anakuambia kaombe msaada kwenu......kwani yeye hawezi kusolve mambo ya nyumbani kwake? ndugu zako wapo sawa shida zako na mumeo zinawahusu nini?
ajipange hawezi akurudishe kwenu
Amrudishe kwao kwani wakati anaolewa alikuwa hajui kwao? Aliondoka kwao kwa vile kuna kitu muhimu hawezi kukipata kwao. Je kwa sasa kinapatikana kwao ili amrudishe?
 
kuna mchekeshaji ailisema ukiwa huna hela hata mbwa wako anaweza kukuuma!
Aahaa....aahaaa aaahaa......aaahaa..hahaa.......aaahaa......aaah...ha....ah ha ah....ha ha.....ah....
Ddahhh..!!!!.. haya bhana.. naishia hapo...
 
Ndio muwe wabunifu na mumeo happy...ili kujiondoa ktk hali hiyo ya.kifamilia.....ukipenda boga upende na uwa lake...
 
Unakuta binti unatoka familia ambayo ni bora kidogo unakutana na kijana ambaye kiuchumi yupo chini mnaoana lakini maneno yanakuwa Mengi ndugu hawamuheshimu mume wako wanamdharau wanaona kama ulikosea kuchagua.

Binti unadharaulika kwenye familia yenu kila unachoongea hakina maana, ndugu wanakutenga yaani ni mateso tupu hata ukiwapigia simu wakusaidie wanakuambia mwambie mumeo na wanajua kabisa mume hana kwa muda huo.

Haya ni mapito tu naamini yana mwisho
Kichaga wanamsemo 'irumwi lapfo iyoe' maana yake NDIYO CHUI LAKO ....jaribu kuwa mbunifu wa biashara au masomo uache kuomba omba. ...na usiende kwenu mpaka utakapo lift your confidence. ..wanakusoma kwamba unashida ndiyo maana wanakunyanyasa. ...jitahidi mwenyewe trust me utashinda. ..MOLA awe nawe..
 
usivunjike moyo hayo ni mapito tu ipo siku mtakuwa vizuri kiuchumi na mambo yatakuwa poa
Mambo yanakuwa poa kwa mipango... Kama wana akili hizo za kuomba omba inawezekana wanapenda kuishi maisha ambayo siyo yao.. Ni ngumu kutoboa kwa staili hiyo!!
 
Back
Top Bottom