Maisha ya ndoa ni magumu sana

Maisha ya ndoa ni magumu sana

Maisha n hatua na kila unapopita unajifunza kitu hyo magumu unayopitia yataisha usikate tamaa ndugu awaishiwi mambo angalia kile unachokiamini kwenye yko ndoa she is love for real
 
Vijana wanapitia challenges nyingi kabla ya kufikia mafanikio.hakuna mtu anazaliwa na kipato otherwise upate na msaada wa family. Huwezi kukosa kipato maisha yako yote ukifanya kazi kwa bidii na kujituma ipo siku mambo yatanyooka.
Hata mbuyu ulianza ka mchicha viiana wengi hasa wa kiume hawajielewi wanapenda kulelewa tu.
 
"Ukiwa huna hela MBU tu hupenda damu yako" utashangaa mmekaa sehemu watu 6 lakini automatically kila mbu anayepita wewe ndo unamuua kwakukusumbua, Inzi nao hukushika bila sababu[emoji27] [emoji27] [emoji27]
 
Aww thanks in advance. Tukishindwa kuonana ndo zawadi basi tena au lol
Ha ha hapana itabidi nitafute utaratibu wa kukufikishia .mara nyingi una mawazo ya mwanamke aliyepevuka.you deserve to be a good wife. Congratulations young lady.
 
Unakua bega kwa bega na mmeo, mnasaidiana kutafuta, akizipata anakuona tena wewe falah, anazitumia kama hana akili nzuri anakudharau, vitimbi visivoisha.....
Hapo roho itaning'inia duniani haipo ahera haipo
Dada hilo unaloongea usiombe likukute. La kulifungia kabisa malango yake, umesema ukweli likikupata roho yako haitakuwepo duniani au ahera itakuwa "in transit" hata mie sijui wapi....
 
Amen, Glory be to God. Kwa kweli fanya tu kamchakato kakunifikishia lizawadi langu coz I highly doubt kama tupo sehemu moja mweee
Ha ha hapana itabidi nitafute utaratibu wa kukufikishia .mara nyingi una mawazo ya mwanamke aliyepevuka.you deserve to be a good wife. Congratulations young lady.
 
Unakua bega kwa bega na mmeo, mnasaidiana kutafuta, akizipata anakuona tena wewe falah, anazitumia kama hana akili nzuri anakudharau, vitimbi visivoisha.....
Hapo roho itaning'inia duniani haipo ahera haipo
Teh Teh Mwal umeongea kwa uchungu sana...
 
Amen, Glory be to God. Kwa kweli fanya tu kamchakato kakunifikishia lizawadi langu coz I highly doubt kama tupo sehemu moja mweee
Yeah. Zawadi yako ipo . kama utaweza ni pm number ya sim ambayo unatumia kwa kutuma fedha. Nakuahidi kesho utaipata bakshish yako.
 
Amen, Glory be to God. Kwa kweli fanya tu kamchakato kakunifikishia lizawadi langu coz I highly doubt kama tupo sehemu moja mweee
No wonder unasema umri has nothing to do with maturity[emoji3] [emoji3](japo mimi naamini the older the 'sweeter'..[emoji3] [emoji3] [emoji3] ) I wonder how old you are now! If you don't mind, please nijue..teh teh!
 
Hahaha kwa nini umesema hivyo? Huo umri sijui unataka kuninyima nini khaa! !! Uje PM nikunong'oneze
 
Ndugu muhimu lkn maneno toka upande mmoja kwenda mwingne huwa hayakosi jpo wanasema mapenzi siyo pesa ila yakikosa pesa yanapungua ww angalia unapendwa kweli akuna mtu aliyezaliwa na pesa upendo hushinda yote pesa huisha lkn upendo kwa mtu ulimpenda hauishi
 
PM yako imefungwa, nilijaribu wakati nipo singo ili nirushe nyavu sikufanikiwa..teeeh!
Hahaha ulijaribu wapi? Ila kwa uchoyo tu mpare wewe, khaaa hadi PM lol. Basi endelea kuguess huo umri
 
Back
Top Bottom