Maisha ya ndoa ni magumu sana

Maisha ya ndoa ni magumu sana

Kwa mwanamume mkamilifu na mtimilifu....hakuna jambo la aibu na la fedheha kama kuomba........
Kuomba ni jambo linalomfedhehesha sana mwanamume kiasi kwamba linamuathiri sana kisaikolojia.......
Na mwanamume yeyote ili kuepukana na kadhia hiyo ya fedheha....hana budi kupambana na kuhangaika kwa namna yoyote ili kukidhi mahitaji yake na ya wale wategemezi wake......ndio maana mwanamume hufikia hatua mpaka ana hatarisha maisha yake yote ni katika harakati za kukidhi mahitaji yake......

Katika taswira ya kawaida kumuona mwanamume amekaa na huku anaomba msaada kwa watu wanaovuja jasho kama yeye si jambo la kawaida.....ni jambo litakalompelekea mwanamke mwenye akili timamu akajiuliza kuwa nimeolewa na mwanamume wa aina gani...!!??

Kuomba msaada ni jambo la kawaida kwenye maisha kwani kati yetu hakuna aliyejikamilisha....unaweza ukawa na hiki na ukapungukiwa hiki....lakini kuna mazingira yake ya kuomba msaada na staha zake.....

Kwa mfano huyo kijana kama angeanzisha kajimradi ambako kangekuwa kanaendesha familia yake....ambako pengine baba mkwe angeona juhudi zake na kumuongezea mtaji na kukuza mradi wao....sidhani kama wangekataa ukizingatia unaishi na mtoto wao...na juhudi zinaonekana wazi ni katika kuhakikisha mtoto wao anaishi maisha mazuri.....

Kimsingi hakuna mtu mwenye uvumilivu wa kutoa misaada endelevu isiyo na mwisho.....na hilo ndilo lililotokea kwa huyo kijana.....ameukumbatia umaskini kana kwamba ni sifa nzuri.....anashindwa hata kutoka kutafuta vibarua kwenye masite ya ujenzi.....anashinda nyumbani huku akitumainia familia ya mwanamke itaweka mambo sawa.......

Hili ni tatizo kubwa kwa vijana wa sasa hivi ambapo uvivu na kutojituma ni sehemu ya miasha yao.....wanapenda mambo ya kiwepesi wepesi....mafanikio ya ghafla......hapo pengine aliunganisha dot kuwa nikimuoa huyu binti kwakuwa familia yao inajiweza....basi na mimi nitakula humo humo.......

Mwanamme ukishaingia katika majukumu unatakiwa uwe mpambanaji na sio goi goi....hayo ni majukumu yako....usiposhughulika na majukumu yako hakuna wa kushughulika nayo......usiwatupie watu majukumu yako.....

Jukumu la kumtunza mkeo ni lako haijalishi hali ya maisha ya familia ya mkeo.......
Huu ndo ushauri muhimu mno kwenye uu Uzi wanaume wa sikuhizi wapenda kulelewa life ni Ku struggle, bila kutafta hela hata ya kawaida inakua ngumu Ku afford huduma muhimu. Kijana asiyetaka kujikwamua kiuchumi na kubaki kutegemea mbeleko huyo ni mlemavu wa kufikiri. Sasa hata kubeba zege kwamshinda.
 
Hapo umejichanganya diva. Wapo masikini kibao na wanapiga kazi 24/7. Wewe umesema "huwezi kuolewa na masikini"...
Duniani kujituma huzaa matunda chanya umaskini uutake tu mwenyewe. In short sipendi umaskini kabisa hata mume kwanza hela kwanza umaskini huanzia kichwani. Ka mume ni minor issue bora ni struggle mwenyewe kuliko wa kuniongezea ufukara.
 
Unakua bega kwa bega na mmeo, mnasaidiana kutafuta, akizipata anakuona tena wewe falah, anazitumia kama hana akili nzuri anakudharau, vitimbi visivoisha.....
Hapo roho itaning'inia duniani haipo ahera haipo
Mke anakuvumilia mwanzoni, mmeanza maisha vizuri kwa furaha na amani. Siku zinavyozidi kwenda mke anaanza kubadilika! Kiburi yeye, dharau yeye, kila siku kubadilisha wanaume! Wewe unahangaika kutafuta rizki japo kidogo ukale na mkeo, yeye kila siku kwenye mastarehe na wanaume! Ukisema anakuja juu, ukiangalia huna kitu anakwambia hakupendi alikosea kuolewa na wewe maskini! YESU LINI UNARUDI?
 
Unakuta binti unatoka familia ambayo ni bora kidogo unakutana na kijana ambaye kiuchumi yupo chini mnaoana lakini maneno yanakuwa Mengi ndugu hawamuheshimu mume wako wanamdharau wanaona kama ulikosea kuchagua.

Binti unadharaulika kwenye familia yenu kila unachoongea hakina maana, ndugu wanakutenga yaani ni mateso tupu hata ukiwapigia simu wakusaidie wanakuambia mwambie mumeo na wanajua kabisa mume hana kwa muda huo.

Haya ni mapito tu naamini yana mwisho
kama mmeo anakuheshim na kukujali na kujua ulivyosacrifice uhusiano na ndugu zako kwajili yake ni jambo jema,mwome Mungu akuvushe changamoto hio unayopitia
 
Pole sana muombe sana Mungu ipo siku yataisha ni mapito na wanakudharau ipo siku watakuheshimu najua hali unayopitia
 
T
Unakuta binti unatoka familia ambayo ni bora kidogo unakutana na kijana ambaye kiuchumi yupo chini mnaoana lakini maneno yanakuwa Mengi ndugu hawamuheshimu mume wako wanamdharau wanaona kama ulikosea kuchagua.

Binti unadharaulika kwenye familia yenu kila unachoongea hakina maana, ndugu wanakutenga yaani ni mateso tupu hata ukiwapigia simu wakusaidie wanakuambia mwambie mumeo na wanajua kabisa mume hana kwa muda huo.

Haya ni mapito tu naamini yana mwisho
Pole sana,
Mkabidhi Mwenyezi Mungu Ndoa yako ataiponya.
 
Na hapo ni pagumu. Maana Kuna watu wanajituma mno, but wanachokipata hata wenyewe hawakioni.
Nami hoja yangu ilikuwa hapo, kuna watu wanajituma mno, wanafanya kazi mno, hawalali ili kuhakikisha wanaishi vizuri, lakini hawaoni faida ya kazi ya mikono yao. Ndio maana nikasema masikini wengi wala sio wavivu, ni wafanyakazi wazuri tu.
 
Duniani kujituma huzaa matunda chanya umaskini uutake tu mwenyewe. In short sipendi umaskini kabisa hata mume kwanza hela kwanza umaskini huanzia kichwani. Ka mume ni minor issue bora ni struggle mwenyewe kuliko wa kuniongezea ufukara.
Hakuna anayependa umasikini diva, na masikini wengi wala sio wa akili bali ni kipato tu. Wapo watu wanafanya kazi kila mara na hawapumziki, lakini tuseme 'hawana bahati'.

Hata hivyo, wengine hupanda hadi kilele cha mafanikio na kuanguka toka walipo hadi chini. Maisha ni very complex ndio maana walisema ukiwa juu usimcheke aliye chini. Waweza kupata mtu sahihi kwa mda huu, but life is a journey, mkaishi miaka 10 -15 maisha safi, siku mambo yakiharibika utashangaa, tunayaona mitaani na wala sio mageni.
 
Mke anakuvumilia mwanzoni, mmeanza maisha vizuri kwa furaha na amani. Siku zinavyozidi kwenda mke anaanza kubadilika! Kiburi yeye, dharau yeye, kila siku kubadilisha wanaume! Wewe unahangaika kutafuta rizki japo kidogo ukale na mkeo, yeye kila siku kwenye mastarehe na wanaume! Ukisema anakuja juu, ukiangalia huna kitu anakwambia hakupendi alikosea kuolewa na wewe maskini! YESU LINI UNARUDI?
Yesu harudi, kwa alichofanyiwa duniani hana hamu na walimwengu
 
Hakuna anayependa umasikini diva, na masikini wengi wala sio wa akili bali ni kipato tu. Wapo watu wanafanya kazi kila mara na hawapumziki, lakini tuseme 'hawana bahati'.

Hata hivyo, wengine hupanda hadi kilele cha mafanikio na kuanguka toka walipo hadi chini. Maisha ni very complex ndio maana walisema ukiwa juu usimcheke aliye chini. Waweza kupata mtu sahihi kwa mda huu, but life is a journey, mkaishi miaka 10 -15 maisha safi, siku mambo yakiharibika utashangaa, tunayaona mitaani na wala sio mageni.
Maisha ni malengo na kujipanga kwa kila hatua ukifanyacho. Maisha yangu nimeona watu wakijituma kwa bidii na kufanikiwa si lazima uanzie ka Bakheresa wengi hupata fedha lakini matumizi yao hayaendani na kipato kwa nini usiendelee kubakia ulipo. Kujituma huwatoa watu sana nauchukia umaskini sana na mwenye nacho siku zote huongezewa hata matajiri huwa hawachoki kutafta ila wasio nacho hubweteka tu.
 
Nami hoja yangu ilikuwa hapo, kuna watu wanajituma mno, wanafanya kazi mno, hawalali ili kuhakikisha wanaishi vizuri, lakini hawaoni faida ya kazi ya mikono yao. Ndio maana nikasema masikini wengi wala sio wavivu, ni wafanyakazi wazuri tu.
Umenikumbusha kuna this girl tulikuwa naye college.
. Sina uhakika kama ashawahi dodge kipindi labda awe anaumwa haswa. Mwenyewe seat yake ya mbele always na hachelewi kipindi
. Akitoka kipindi kama ni asubuhi anabaki zake kujisomea hadi lunch
. Atapata lunch, akimaliza Huyo room kupumzika
. Jioni ni ama discussion ama mazoezi ya kwaya, sijui praise team, sijui prayer team yupo
. Atapata dinner
. Kanisani
.Prepo
.Kulala

Matokeo yakitoka sup hajawahi kukosa kabisa. Unaweza kumkufuru ujue. Mungu kuna mapito anatupitishaga basi. Alikuwa anakosea wapi jamani? So wakati mwingine kuna vitu Mungu anatupa kwa neema, wala sio kwa ujanja, akili au efforts zetu. Si wote tungekuwa kama kina Mengi basi. Kuna watu walikuwa na hela ila ya Mungu Mengi, tusione watu wanaomba misaada kwenye vyombo vya habari, wengine walikuwa poa sana before. Mungu anaweza kukupa mitihani hela zote zikaisha. Ila tusichoke kutafuta no matter what, umaskini + utegemezi ni kitu kibaya mnoo.
 
ni ufala kuolewa na mume maskini halafu mkipata shida anakuambia kaombe msaada kwenu
kwani yeye hawezi kusolve mambo ya nyumbani kwake? ndugu zako wapo sawa shida zako na mumeo zinawahusu nini?
ajipange hawezi akurudishe kwenu
NA NIVIBAYA KUISHI NA MWANAMKE MASKINI FAMILIA YOTE INATAKA ISAIDIWE NA MWANAUME
 
Hao ni ndugu wa ajabu. Simama imara, zamu yako ya kufanikiwa na mumeo itafika. Kumbumbuka[emoji1540], hard work pays off[emoji120][emoji173]️
 
ni ufala kuolewa na mume maskini halafu mkipata shida anakuambia kaombe msaada kwenu
kwani yeye hawezi kusolve mambo ya nyumbani kwake? ndugu zako wapo sawa shida zako na mumeo zinawahusu nini?
ajipange hawezi akurudishe kwenu

hahahahahahahahaha
 
Back
Top Bottom