muongozaji
JF-Expert Member
- Oct 9, 2009
- 1,386
- 1,003
nikuusie kitu kimoja tu. KATIKA HAYO UNAYO PITIA SHETANI NAE HUPENYEZA MAMBO YAKE USIJE SHANGAA LIKAJITOKEZA JITU LENYE MIPESA YAKE NA KUANZA KUKURUBUNI.
ila kwa kuwa umetambua ni mapito please usimsaliti mumeo kwa kisingizio cha kutafuta unafuu kwa kutoka na watu wa aina hiyo.....
Umempa angalizo muhimu...hope atazingatia ushauri wako