Wa tano mchepuko.Halafu ndoa ni ya wawili tuu ! Akiongezeka wa tatu ni Mungu wanne shetani
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wa tano mchepuko.
Siku nikija kukuacha,Umenikumbusha kuna this girl tulikuwa naye college.
. Sina uhakika kama ashawahi dodge kipindi labda awe anaumwa haswa. Mwenyewe seat yake ya mbele always na hachelewi kipindi
. Akitoka kipindi kama ni asubuhi anabaki zake kujisomea hadi lunch
. Atapata lunch, akimaliza Huyo room kupumzika
. Jioni ni ama discussion ama mazoezi ya kwaya, sijui praise team, sijui prayer team yupo
. Atapata dinner
. Kanisani
.Prepo
.Kulala
Matokeo yakitoka sup hajawahi kukosa kabisa. Unaweza kumkufuru ujue. Mungu kuna mapito anatupitishaga basi. Alikuwa anakosea wapi jamani? So wakati mwingine kuna vitu Mungu anatupa kwa neema, wala sio kwa ujanja, akili au efforts zetu. Si wote tungekuwa kama kina Mengi basi. Kuna watu walikuwa na hela ila ya Mungu Mengi, tusione watu wanaomba misaada kwenye vyombo vya habari, wengine walikuwa poa sana before. Mungu anaweza kukupa mitihani hela zote zikaisha. Ila tusichoke kutafuta no matter what, umaskini + utegemezi ni kitu kibaya mnoo.
Ndo sababu ya kuachwa? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Siku nikija kukuacha,
ni kwasababu unaongea
point sana khaaa!
hahahahaaaa,,,, kweli kabisa.....tukazane kuzitafuta....kuna mchekeshaji ailisema ukiwa huna hela hata mbwa wako anaweza kukuuma!
Hahah...siwezi kupata sababu nyingine kabisa!Ndo sababu ya kuachwa? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji86] [emoji86]Hahah...siwezi kupata sababu nyingine kabisa!
Dina bwana, kwani maisha yako tu yanakosa changamoto? Mpaka unakufa ni lazima upitie yote, raha, shida, furaha na hata kulia. Hizo ni changamoto za maisha, haijalishi upo ndani au nje ya ndoa.Nami nataka kuingia humo kumbe ni magumu[emoji85][emoji85][emoji85]
Kabisa my kaka,hali zote lazima upitie na tujifunze pia kua changamoto ni lazima ,kwa hiyo tusiogopeDina bwana, kwani maisha yako tu yanakosa changamoto? Mpaka unakufa ni lazima upitie yote, raha, shida, furaha na hata kulia. Hizo ni changamoto za maisha, haijalishi upo ndani au nje ya ndoa.
Usiongee hvyo my dia sbbu haupo kwenye ndoa kwa sisi wakristo shida na rahakuolewa na mume maskini halafu mkipata shida anakuambia kaombe msaada kwenu......kwani yeye hawezi kusolve mambo ya nyumbani kwake? ndugu zako wapo sawa shida zako na mumeo zinawahusu nini?
ajipange hawezi akurudishe kwenu
Duuuuuhkuolewa na mume maskini halafu mkipata shida anakuambia kaombe msaada kwenu......kwani yeye hawezi kusolve mambo ya nyumbani kwake? ndugu zako wapo sawa shida zako na mumeo zinawahusu nini?
ajipange hawezi akurudishe kwenu
Dada ushampenda mumeo ishi nae hvyohvyo kwa hali yoyote tu Mungu ataleta rehema zake unachotakiwa usikate tamaaNashukuru kaka huyu mume wangu sijaona kasoro yoyote kwake ni mstaarabu msomi sema maisha yetu bado ni ya chini sanaaa na ndugu hawakubali maisha ninayoishi sasa sijui wanataka nifanyeje
We'll said japo somehow harshPole sana dada yangu. Haya ni mapito tu yatapita. Kuna watu watakudharau lkn ipo siku moja watakusalimia kwa heshima.
Mm nilioana na wifi yako tukiwa tunalala kweny godoro tu lkn leo na nyumba yangu. Safi mambo yanaenda. Kikubwa ni uzima na upendo(mapenzi ya dhati kati yako na mume wako)
kuna wengine humu wanatamani waolewe na mgane, au awe mke wa pili, na wengine wanatafuta sperm donor lkn leo hawa humu wanajitapa na kujinadi kuwa kuolewa na mume maskini ni ufala kwann wao wasiowaumbe hao wanaume wanaowapenda mpaka anataka kuwa mke wa pili?
Ktk maisha kuna majaribu mengi sana na ukumbuke siku zote kuna watu wema na wabaya. Kuna watu humu wananuka midomo kila atakachopost ni kinye.si kitupu.
Naomba usikate tamaa huyo ni mume wako. Haya yote yatakwisha in the name of GOD
AMEN
Most of the time I like what you writeMaisha hayana formula, Leo unaweza ukawa na kila kitu kesho ukaamka huna hata moja, ni phase tu ya maisha mnapitia, and kila mtu ana chaguo lake as long as ndo kinachompa furaha na amani. Hukufanya kosa kumchagua mumeo Kwa sababu hana uwezo maybe, but simply because you find so much joy and happiness in him. Sio wote wanaolewa na watu wenye uwezo tayari, wengine wanaanzia chini mno, na Mungu Sio mwanadamu, wengine wanafanikiwa mnooo huko mbeleni. Kuna watu walianza na kila kitu, Leo hawana chochote. Na Kuna wengine pamoja na mahela yote, wamezikimbia ndoa zao kama ambavyo wengine wanakimbia ndoa zao Kwa sababu ya pesa hakuna. As long as hayo ndo maisha yako, please usisikilize "judgement za watu", kila mtu na maisha yake, kila mtu afanye kinachompa amani.
Msupport mumeo, he needs you mnooo Kwa wakati huu. But please and please, pamoja na shida zenu zote, msiwape ndugu sababu ya kuwadharau zaidi. kuweni tu maskini jeuri, vumilieni tu na shida zenu, coz hata mkifanyaje hao ndugu hawatowasaidia chochote. Jitahidini tu kutafuta Kwa bidii + kumwomba Mungu, ipo siku yenu, Mungu atawafungulia milango yenu pia.
Usiache maneno ya watu yakakukatisha tamaa. Usidhani kila anayekucheka ana maisha mazuri kwenye ndoa, karibu kila mtu ana changamoto yake, pesa za muhimu sana but sio the only changamoto kwenye ndoa. Wengine wana changamoto za uaminifu, wengine vipigo, wengine watoto, wengine ulevi, wengine mume asiyejali familia,wengine hakuna maelewano kabisa, wengine wapo tu for the sake of their kids, wengine afya etc. Kama ambavyo wao wanavumilia changamoto zao, na wewe ya kwako ivumilie tu, usiwasikilize kabisa. Shikamana na mumeo, na msikate tamaa, Mungu yupo
wala usiogope mkuu ingia tu kwenye ndoa kila ndoa ina changamoto zakePole mkuu ila unatutisha sisi ambao hatujaoa!!