Maisha siyaelewi kabisa kwaherini

Maisha siyaelewi kabisa kwaherini

Tusichukulie poa sana wakuu mada za aina hii....
Hii ni dalili ya sonona... na wengi wanaoanza hivi wasipopata support ya kutosha (au hata wakipata), huishia kweli kujimaliza. Nadhani tuna mifano kadhaa humu humu jukwaani.
Hivyo, si vyema sana kuchukulia post hizi kimzaha mzaha.
Joanah

Nina hope kwamba mleta mada atapata ugumu kama sio kuachana na mawazo ya kufanya anachotaka/fikiria kufanya

Ivo tu,sina lengo la mzaha
 
Mkuu

JF inakuhitaj uendeleze Id yako...subir subir kidogo maisha yatakuwa marahisi tu,si unaona mbowe kashatoka gerezan
 
Nafikiri haujapitia wakati mgumu wa kiuchumi. Huyo mwanamke utamlisha mawe? Nguvu za kiume kwa mwanaume ni pesa. Ukiwa hauna pesa halafu dili za hela zinakataa hata angekuja mwanamke akakuvulia nguo huwezi kusimamisha kwa sababu ya msongo mawazo.
Watu wapo serious, wewe unawaza ngono. Thamani ya mwanaume ni fedha, mambo yakiwa magumu hapa utajiona hauna thamani tena
Wanawake wote hawa Bongo unasema unamsongo wa mawazo. Hebu chukua mmoja mashallah, peleka gheto halafu mwambie asonge huku amevaa khanga moja.
 
Muanzisha uzi hebu funguka kidogo kutokana na mawazo ya wadau hapo juu ili tujue kama upo maana tusije tukawa tunachangia Uzi wa marehemu.
 
Wakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Acha Hiyoo Joanah kasema anakuja PM kwako myajenge vizuri

She will really helps you
 
Kwa hizi nyuzi za jamaa huenda yuko serious. Mnaoleta mzaha acheni. Inawezekana kweli jamaa yamemfika shingoni.
Screenshot_20200313-232259.jpeg
Screenshot_20200313-232407.jpeg
Screenshot_20200313-232419.jpeg
 
Binafsi napitia magumu mengi kwa zaid ya miaka miwili sasa ila sijawah kufikiria kukatisha maisha yangu...napenda ona watoto wangu wanavyokua na nione watafikia wapi kimwli, kiakili na kwa aspect zote za kijamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ww watt wanakupa tumaini sasa unakuta wengine huku hata mtoto hakuna ,miaka ndio inayoyoma ,hakuna tumaini wala mwangaza ,lazima tunavunjika mioyo moja kwa moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo bahari ukanda gani we kufa tu kama ni maeneo ya kigamboni ukishaanza kuelea kwenye maji baada ya samaki wakishakula macho na pumbu zako mi nikipata taarifa nitaanzisha Uzi wa kukuaga humu JF au huna taarifa ya kwamba mfa maji ana tabu zaidi kuliko anayejinyonga??!!
Kama Maisha magumu kila mtu ana mapito yake katika dunia unajiua unajuaje labda ndo muda wako wa baraka ndo unakaribia maana giza likizidi sana ndo ishara ya mapambazuko
Usije tu kuandika ujumbee mrefu wa kujihuzunisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I know, I know you’re gone, I know I’ll see you again
One thing that I can promise, we gon’ meet up again
Hopefully up in heaven, prayin’ that I’m forgiven
For everything that I’ve done, and that I forgot to mention
If feel so bad to be without my homie
And every since you’ve been absent I’ve been so lonely
Why does life cycle around like a trophy
Even though know somebody took the time to warn me
That you can’t be with me and it’s just crazy
And everyday I’m wishin’ that you could come save me
And I know a man ain’t supposed to cry
It’s taken all the strength in my soul to say goodbye........... bye bye....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom