FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,897
- 46,987
- Thread starter
- #81
Justice for George Floyd
Vipi, George Floyd haki yake itapatikana lakini?[emoji3][emoji3][emoji3]
Sinema gani umeangalia mkuu, au kuna jamaa ulikuwa unamgongea akuvute akaamua kukunyamazisha kabisa. Huku life ni smooth provided unajua unachokifanya. 17 yrs so far sijawahi simamishwa hata na mgambo. USA ni nchi ya ndoto, una uwezo wa kuwa chochote unachotaka na sio lazima umjue diwani au mbunge ndio mambo yaende. Kingine kuna openings za kazi nyingi kuliko watu wanaotafuta kazi so ni ww tuu unaamua lifestyle yako. Mfano mimi na wife we work from home na maisha yetu very comfortable, tunapata muda wa kuwa na familia na kufanya mambo mengi tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawatamani kurudi au wanakosa nauliMkuu nimependa hii ila mbona wabongo wakienda huko pamoja na haya yote uliosema awatamani kurudi nyumbani inawezekana pamoja na taratibu zote izo ila bado wanalipwa urija mzuri kulingana na mtu anafanya so ata ikitokea mtu akapigwa fain ya dollar 3000 bado uwezo wa kuilipa unakuepo na maisha yanaenda kama kawa
Maisha ndani ya Tanzania ni sawa na Tanzania yenyewe.Na maisha ndani ya Tanzania ni swa na wapi?