Maisha ndani ya Marekani ni sawa na gereza?

Nimefurahi sana kusikia kuwa kuna watu wanatamani ndugu zao wasifike huko US. Kweli wengine tumefurahi kusikia kuwa Mh Trump kapiga pin kupunguza huo mtiririko uliokuwa unaenda huko.
Hapa kwetu mtu akijua kusalimia tu Kinyamwezi cha huko tiyari anazamia. Hapana, kule hakufai. Uliyoandika nadhani ni robo tu inaeza kuwa ni kweli ila mengi ni kukuogofisha tu. Yangelikuwa hayo, wengi wasingeli zamia. Waswahili wamefikia mahali na kusema, Heri maisha ya mbwa wa huko kuliko maisha yetu hapa. Ndo maana ukasema; Naku kwoti, Mbwa wako akiwa na afya mbaya na akiwa mchafu unashtakiwa. Ni kweli. Unaulizwa, kwa nini umfuge hali unajua huna uwezo wa kumlisha?? Kwani mbwa anajua kulima useme ataomba shamba??
Ok, ila nakuhakikishia; Tumefika huko, tumetembelea majimbo 8 hivi na mengine 4 nilipitia tu kwa siku 2 au 3 hivi. Ni kweli kule wewe mtu kuwa na nyumba ni mtu mkuu sana na unaweza kuipata Green kimasihara tu. Pia ukiwa na hiyo nyumba unaweza kupata huduma nyingi sana kwani unajulikana unakokaa.
Lazima ujue, kama huna makazi ni kweli huna makazi hivyo kulala barazani kule ni jambo la kawaida tu ila ni hatari kupita maelezo. Unakufa kwa kuuliwa kama paka shume tu. Heri huyo paka shume kule anaye mtetezi kuliko mtu asokuwa na makao.
Je, bado unatamani kwenda huko?? Kaa hapo Keko au Tandale kuliko kuwaza kwenda NY huku huna makazi. Ni dhiki kuliko jela. Kuhusu jela; Watu wanasifia kuwa kuishi jela ya huko ni bora kuliko hostel za huku ila ni wale ambao wanazisikia tu. Unaweza kukuta mtu anatamani akuue tu aione damu yako. Kafungwa maisha hana tegemeo la kutoka unadhani ana woga wa kufa?? Usiombeee. Ukiingia Jela miezi 6 ni kama miaka 100 ya huku kwetu kwa sababu huku unatoka kwenda kulima. Kule unaweza kuimaliza miezi yako 6 bila kuliona jua. Fikiri kabla hujaingia huko
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Sinema gani umeangalia mkuu, au kuna jamaa ulikuwa unamgongea akuvute akaamua kukunyamazisha kabisa. Huku life ni smooth provided unajua unachokifanya. 17 yrs so far sijawahi simamishwa hata na mgambo. USA ni nchi ya ndoto, una uwezo wa kuwa chochote unachotaka na sio lazima umjue diwani au mbunge ndio mambo yaende. Kingine kuna openings za kazi nyingi kuliko watu wanaotafuta kazi so ni ww tuu unaamua lifestyle yako. Mfano mimi na wife we work from home na maisha yetu very comfortable, tunapata muda wa kuwa na familia na kufanya mambo mengi tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaangaliaga mamuvi hawa[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia huko bila dollar 200 hujapata bado..., halafu nasikia matrafiki wa huko hawachukui rushwa kabisa, ukifanya kosa ni faini na inaingia kwenye rekodi.., tena huko hata ukimzaba mkeo kofi unalala ndani.., ukitembea upande usio wako barabarani (wanaita J walking sijui) unalala ndani, mkilala zaidi ya wawili chumba kimoja mnapigwa faini kwa kuzidisha allowed density ya nyumba, na hata kama ni watoto wako unaambiwa umewashindwa so wanaenda kulelewa na welfare/ustawi;
Ukiendesha gari huku umekunywa hata bia tatu tu unalala ndani, ukikutwa ume-install pirated software kwenye laptop yako unalala ndani, ukikutwa unaingizia watu movie kwenye flash unalala ndani, ukikutwa umepanga biashara bila leseni unalala ndani, ukimnyanyapaa au kumsema vibaya shoga au msagaji unalala ndani kisha mahakamani, ukikutwa popote pale bila kitambulisho cha taifa (cha fingerprint) unalala ndani, ukioverspeed mjini unalala ndani, ukichelewesha child support (matunzo ya mtoto) unanyang'anywa driving license kisha unalala ndani halafu mahakamani, mijaji ya kule haili rushwa, hivyo ni jela miezi sita. jamani, si gereza lile??!
Ukikutwa unasikiliza mziki kwa sauti kubwa unalala ndani, ukikutwa mbwa wako amekonda au hajaogeshwa basi unashtakiwa kwa ukatili kwa wanyama na utalala ndani, ukikutwa unachoma nyama kwenye park ya umma bila kibali unalala ndani, ukikutwa umepaki gari sehemu ya wrong parking basi gari lako utalikuta yard na faini yake unaweza kununua gari lingine hapa bongo.., kule bila dollar 3000 hujanunua nguo za kubadilisha hata wiki, hakuna manzese wala karume kule.., kule kama sio milionaire sahau kuhusu kununua au kujenga nyumba, kwanza hujengi hata banda la mbwa kama huna kibali, kama sio milionaire sahau kuhusu kumiliki hata ekari 10 za kulima hata matembele, kule mnaishi kwenye vi-appartment kama vitundu vya ndege ghorofani, na kwa wale wenye vikazi vya kueleweka ndio wanachukua mortgage kwenye nyumba wanazoishi, ambapo unailipia kidogo kidogo hadi inakuwa yako, na ukiishia kati unanyang'anywa na pesa yote inakuwa imeenda, kule bila milioni 300 hujampeleka mtoto chuo level ya degree.., sio huku eti ada milioni 1 na degree nje nje..,kule usipofanya pruning ya majani ya uwani kwako faini ni dollar 50 kwa kila siku yanapokuwa umeyaacha marefu au la unalala ndani,
maisha gani hayo? si jehanam hiyo..???!
Mbaya zaidi, ukikutwa umenunua huduma ya mdada kwenye states ambazo biashara hiyo imeharamishwa basi faini yake ni dollar 3000 au jela miezi sita, halafu mipolisi ya kule haichukui rushwa sijui upoje? yaani unasukumwa ndani, kule ukiacha mazingira ya nje ya nyumba yako hovyo kiasi mbu na wadudu wengine wakawa wanazaliana humo unaweza kunyang'anywa nyumba kwa kuendanger public safety na utalala ndani.
bado sijamaliza, ngoja ninywe maji...;

Kule ukikamatwa umemchapa mtoto kwa fimbo au chochote kile unashtakiwa kwa ukatili kwa watoto, utanyang'anywa hao watoto na utalala ndani, kule watoto kisheria wanafundishwa LGBT rights na wanakuwa promoted kutowabagua na kutoogopa kuwa mashoga, na ukimzuia mtoto kuwa shoga unasukumwa ndani, na ukimzuia mtoto kushiriki tamasha la ngono la kutoana bikra linaolandaliwa mashuleni kila mwaka, wanaita PROM NIGHT basi utalala ndani, unachoweza kufanya ni kumpa condom tu basi, ila kutoana bikra ni haki ya kilazima..
Huyu hata kenya hajafika yaani hivyo vipengele kadhaa kaona kwenye muvi kaja kuvijaza hapa[emoji23] siyo kila ukionacho kwenye muvi kina uhalisia wewe jamaa.

Asee, sasa hilo taifa lina tofauti gani na Sodoma na Gomora?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi nyumbani nikakukatie walau eka 20 pale msata ufanye ujasiriamali, 😂😂😂😂...., nakupa na wake watatu kabisa, maana huku mahari ni mbuzi tu..😂😂😂😅, au laa endelea kubeba maboksi na kuogesha wastaafu..😂😂😂😂😂, natania tu mkuu, usinijibu.
Huyo anajifurahisha maisha ya Marekani ni magumu sana ,huwezi kulinganisha na maisha ya Bongo,nimeishi Marekani nayajua ninayoongea
 
Nimefurahi sana kusikia kuwa kuna watu wanatamani ndugu zao wasifike huko US. Kweli wengine tumefurahi kusikia kuwa Mh Trump kapiga pin kupunguza huo mtiririko uliokuwa unaenda huko.
Hapa kwetu mtu akijua kusalimia tu Kinyamwezi cha huko tiyari anazamia. Hapana, kule hakufai. Uliyoandika nadhani ni robo tu inaeza kuwa ni kweli ila mengi ni kukuogofisha tu. Yangelikuwa hayo, wengi wasingeli zamia. Waswahili wamefikia mahali na kusema, Heri maisha ya mbwa wa huko kuliko maisha yetu hapa. Ndo maana ukasema; Naku kwoti, Mbwa wako akiwa na afya mbaya na akiwa mchafu unashtakiwa. Ni kweli. Unaulizwa, kwa nini umfuge hali unajua huna uwezo wa kumlisha?? Kwani mbwa anajua kulima useme ataomba shamba??
Ok, ila nakuhakikishia; Tumefika huko, tumetembelea majimbo 8 hivi na mengine 4 nilipitia tu kwa siku 2 au 3 hivi. Ni kweli kule wewe mtu kuwa na nyumba ni mtu mkuu sana na unaweza kuipata Green kimasihara tu. Pia ukiwa na hiyo nyumba unaweza kupata huduma nyingi sana kwani unajulikana unakokaa.
Lazima ujue, kama huna makazi ni kweli huna makazi hivyo kulala barazani kule ni jambo la kawaida tu ila ni hatari kupita maelezo. Unakufa kwa kuuliwa kama paka shume tu. Heri huyo paka shume kule anaye mtetezi kuliko mtu asokuwa na makao.
Je, bado unatamani kwenda huko?? Kaa hapo Keko au Tandale kuliko kuwaza kwenda NY huku huna makazi. Ni dhiki kuliko jela. Kuhusu jela; Watu wanasifia kuwa kuishi jela ya huko ni bora kuliko hostel za huku ila ni wale ambao wanazisikia tu. Unaweza kukuta mtu anatamani akuue tu aione damu yako. Kafungwa maisha hana tegemeo la kutoka unadhani ana woga wa kufa?? Usiombeee. Ukiingia Jela miezi 6 ni kama miaka 100 ya huku kwetu kwa sababu huku unatoka kwenda kulima. Kule unaweza kuimaliza miezi yako 6 bila kuliona jua. Fikiri kabla hujaingia huko
Safi sana, wasifikiri kuzuiwa kuingia huko eti ni adhabu
 
Aisee hata ukipiga mluzi tu, hasa ukiwa mtu mweusi na dada akawa ni mzungu,anapiga 911, maelezo utaenda kuyatoa ukiwa ndani, nilisahau hili..
Dah basi huko hapanifai waende tu vipofu. Yaani nione msambwanda nigande tuu nisifanye chochote! Born here here die here here, america siendi
 
Sasa wewe huoni wapo mbali kiuchumi? Je nyie msio jela/gerezani mlio huru huduma zote za kijamii mnazipata kama wanavyo zipata hao magereza wa Marekani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujamuelewa, kiuchumi wako vizuri, na sidhani kama aliyoandika yote ni kweli.

Ila Tamaduni, nafsi ni kitu kingine, huku kwetu mwanamme yuko tayari aishi na umaskini wake, kuliko umuinamishe umpe Semi kumi (10) hakubari kwa hiari yale.

Maana kwake huona dharau kubwa sana, hivyo mimi binagsi siwalaumu waamerika ni utamaduni wao na wanaishi, ila wasitulazimishe sisi, huku kwetu watu watainamisha na marndeleo hakuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom