DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,965
- 30,836
Si kweliTunakula mihogo
Si kweliTunakula mihogo
Si Bora ndani je ungekua nje na mvua hiziNasikia huko bila dollar 200 hujapata bado..., halafu nasikia matrafiki wa huko hawachukui rushwa kabisa, ukifanya kosa ni faini na inaingia kwenye rekodi.., tena huko hata ukimzaba mkeo kofi unalala ndani.., ukitembea upande usio wako barabarani (wanaita J walking sijui) unalala ndani, mkilala zaidi ya wawili chumba kimoja mnapigwa faini kwa kuzidisha allowed density ya nyumba, na hata kama ni watoto wako unaambiwa umewashindwa so wanaenda kulelewa na welfare/ustawi;
Ukiendesha gari huku umekunywa hata bia tatu tu unalala ndani, ukikutwa ume-install pirated software kwenye laptop yako unalala ndani, ukikutwa unaingizia watu movie kwenye flash unalala ndani, ukikutwa umepanga biashara bila leseni unalala ndani, ukimnyanyapaa au kumsema vibaya shoga au msagaji unalala ndani kisha mahakamani, ukikutwa popote pale bila kitambulisho cha taifa (cha fingerprint) unalala ndani, ukioverspeed mjini unalala ndani, ukichelewesha child support (matunzo ya mtoto) unanyang'anywa driving license kisha unalala ndani halafu mahakamani, mijaji ya kule haili rushwa, hivyo ni jela miezi sita. jamani, si gereza lile??!
Ukikutwa unasikiliza mziki kwa sauti kubwa unalala ndani, ukikutwa mbwa wako amekonda au hajaogeshwa basi unashtakiwa kwa ukatili kwa wanyama na utalala ndani, ukikutwa unachoma nyama kwenye park ya umma bila kibali unalala ndani, ukikutwa umepaki gari sehemu ya wrong parking basi gari lako utalikuta yard na faini yake unaweza kununua gari lingine hapa bongo.., kule bila dollar 3000 hujanunua nguo za kubadilisha hata wiki, hakuna manzese wala karume kule.., kule kama sio milionaire sahau kuhusu kununua au kujenga nyumba, kwanza hujengi hata banda la mbwa kama huna kibali, kama sio milionaire sahau kuhusu kumiliki hata ekari 10 za kulima hata matembele, kule mnaishi kwenye vi-appartment kama vitundu vya ndege ghorofani, na kwa wale wenye vikazi vya kueleweka ndio wanachukua mortgage kwenye nyumba wanazoishi, ambapo unailipia kidogo kidogo hadi inakuwa yako, na ukiishia kati unanyang'anywa na pesa yote inakuwa imeenda, kule bila milioni 300 hujampeleka mtoto chuo level ya degree.., sio huku eti ada milioni 1 na degree nje nje..,kule usipofanya pruning ya majani ya uwani kwako faini ni dollar 50 kwa kila siku yanapokuwa umeyaacha marefu au la unalala ndani,
maisha gani hayo? si jehanam hiyo?!
Mbaya zaidi, ukikutwa umenunua huduma ya mdada kwenye states ambazo biashara hiyo imeharamishwa basi faini yake ni dollar 3000 au jela miezi sita, halafu mipolisi ya kule haichukui rushwa sijui upoje? yaani unasukumwa ndani, kule ukiacha mazingira ya nje ya nyumba yako hovyo kiasi mbu na wadudu wengine wakawa wanazaliana humo unaweza kunyang'anywa nyumba kwa kuendanger public safety na utalala ndani.
Bado sijamaliza, ngoja ninywe maji...;
Kule ukikamatwa umemchapa mtoto kwa fimbo au chochote kile unashtakiwa kwa ukatili kwa watoto, utanyang'anywa hao watoto na utalala ndani, kule watoto kisheria wanafundishwa LGBT rights na wanakuwa promoted kutowabagua na kutoogopa kuwa mashoga, na ukimzuia mtoto kuwa shoga unasukumwa ndani, na ukimzuia mtoto kushiriki tamasha la ngono la kutoana bikra linaolandaliwa mashuleni kila mwaka, wanaita PROM NIGHT basi utalala ndani, unachoweza kufanya ni kumpa condom tu basi, ila kutoana bikra ni haki ya kilazima..
Una bilion ngapi ?Vipi kwa mbongo kumiliki ardhi inawezekana.Bongo kiwanja cha kariakoo milioni miatano mpaka bilioni kadhaa, buza m 5 na kuendelea.Vijijini huko heka laki na kuendelea.Sasa inawezekana mim kuja huko na kumiliki heka walau 2.
IPI ni kweliSi kweli
Mambo ni faya ndomana kule mtu kufulia ni dakika 0 kama birdman..ymcmg.
Sent using Jamii Forums mobile app
Brian William hajafulia bna. Jana tulikuwa nae kwenye night club moja.Mambo ni faya ndomana kule mtu kufulia ni dakika 0 kama birdman..ymcmg.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu hoja bhana..Acha mawazo ya kibongo kwamba kujenga ni very big deal
Sijaona hoja hapo zaidi ya kihojaJibu hoja bhana..
Hili bandiko ungeliweka tarehe 1 mwezi wa nne.Nasikia huko bila dollar 200 hujapata bado..., halafu nasikia matrafiki wa huko hawachukui rushwa kabisa, ukifanya kosa ni faini na inaingia kwenye rekodi.., tena huko hata ukimzaba mkeo kofi unalala ndani.., ukitembea upande usio wako barabarani (wanaita J walking sijui) unalala ndani, mkilala zaidi ya wawili chumba kimoja mnapigwa faini kwa kuzidisha allowed density ya nyumba, na hata kama ni watoto wako unaambiwa umewashindwa so wanaenda kulelewa na welfare/ustawi;
Ukiendesha gari huku umekunywa hata bia tatu tu unalala ndani, ukikutwa ume-install pirated software kwenye laptop yako unalala ndani, ukikutwa unaingizia watu movie kwenye flash unalala ndani, ukikutwa umepanga biashara bila leseni unalala ndani, ukimnyanyapaa au kumsema vibaya shoga au msagaji unalala ndani kisha mahakamani, ukikutwa popote pale bila kitambulisho cha taifa (cha fingerprint) unalala ndani, ukioverspeed mjini unalala ndani, ukichelewesha child support (matunzo ya mtoto) unanyang'anywa driving license kisha unalala ndani halafu mahakamani, mijaji ya kule haili rushwa, hivyo ni jela miezi sita. jamani, si gereza lile??!
Ukikutwa unasikiliza mziki kwa sauti kubwa unalala ndani, ukikutwa mbwa wako amekonda au hajaogeshwa basi unashtakiwa kwa ukatili kwa wanyama na utalala ndani, ukikutwa unachoma nyama kwenye park ya umma bila kibali unalala ndani, ukikutwa umepaki gari sehemu ya wrong parking basi gari lako utalikuta yard na faini yake unaweza kununua gari lingine hapa bongo.., kule bila dollar 3000 hujanunua nguo za kubadilisha hata wiki, hakuna manzese wala karume kule.., kule kama sio milionaire sahau kuhusu kununua au kujenga nyumba, kwanza hujengi hata banda la mbwa kama huna kibali, kama sio milionaire sahau kuhusu kumiliki hata ekari 10 za kulima hata matembele, kule mnaishi kwenye vi-appartment kama vitundu vya ndege ghorofani, na kwa wale wenye vikazi vya kueleweka ndio wanachukua mortgage kwenye nyumba wanazoishi, ambapo unailipia kidogo kidogo hadi inakuwa yako, na ukiishia kati unanyang'anywa na pesa yote inakuwa imeenda, kule bila milioni 300 hujampeleka mtoto chuo level ya degree.., sio huku eti ada milioni 1 na degree nje nje..,kule usipofanya pruning ya majani ya uwani kwako faini ni dollar 50 kwa kila siku yanapokuwa umeyaacha marefu au la unalala ndani,
maisha gani hayo? si jehanam hiyo?!
Mbaya zaidi, ukikutwa umenunua huduma ya mdada kwenye states ambazo biashara hiyo imeharamishwa basi faini yake ni dollar 3000 au jela miezi sita, halafu mipolisi ya kule haichukui rushwa sijui upoje? yaani unasukumwa ndani, kule ukiacha mazingira ya nje ya nyumba yako hovyo kiasi mbu na wadudu wengine wakawa wanazaliana humo unaweza kunyang'anywa nyumba kwa kuendanger public safety na utalala ndani.
Bado sijamaliza, ngoja ninywe maji...;
Kule ukikamatwa umemchapa mtoto kwa fimbo au chochote kile unashtakiwa kwa ukatili kwa watoto, utanyang'anywa hao watoto na utalala ndani, kule watoto kisheria wanafundishwa LGBT rights na wanakuwa promoted kutowabagua na kutoogopa kuwa mashoga, na ukimzuia mtoto kuwa shoga unasukumwa ndani, na ukimzuia mtoto kushiriki tamasha la ngono la kutoana bikra linaolandaliwa mashuleni kila mwaka, wanaita PROM NIGHT basi utalala ndani, unachoweza kufanya ni kumpa condom tu basi, ila kutoana bikra ni haki ya kilazima..
[emoji3][emoji3][emoji3]
Sinema gani umeangalia mkuu, au kuna jamaa ulikuwa unamgongea akuvute akaamua kukunyamazisha kabisa. Huku life ni smooth provided unajua unachokifanya. 17 yrs so far sijawahi simamishwa hata na mgambo. USA ni nchi ya ndoto, una uwezo wa kuwa chochote unachotaka na sio lazima umjue diwani au mbunge ndio mambo yaende. Kingine kuna openings za kazi nyingi kuliko watu wanaotafuta kazi so ni ww tuu unaamua lifestyle yako. Mfano mimi na wife we work from home na maisha yetu very comfortable, tunapata muda wa kuwa na familia na kufanya mambo mengi tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa ni nduguye kiduku lilo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rudi nyumbani nikakukatie walau eka 20 pale msata ufanye ujasiriamali, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...., nakupa na wake watatu kabisa, maana huku mahari ni mbuzi tu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], au laa endelea kubeba maboksi na kuogesha wastaafu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], natania tu mkuu, usinijibu.
Aisee hata ukipiga mluzi tu, hasa ukiwa mtu mweusi na dada akawa ni mzungu,anapiga 911, maelezo utaenda kuyatoa ukiwa ndani, nilisahau hili..
Sasa hivi upepo umahamia Canada kila kijana anawaza kwenda Canada wanafikiri maisha rahisiHuyo anajifurahisha maisha ya Marekani ni magumu sana ,huwezi kulinganisha na maisha ya Bongo,nimeishi Marekani nayajua ninayoongea
bado upo U.SNimeisha Dallas na Texas huu mwaka wa nne lakini sjakutana na matakataka uliyoyaandika.
Nimesharudi Bongoland