Maisha ndani ya Marekani ni sawa na gereza?

Mambo yote nimeyapenda kasoro hilo la ushoga tu. Ndiyo maana jamaa wameendelea sana. Unajisifu unatumia pirated software halafu wakuache? watu wanaumiza kichwa halafu wewe utumie bure?
Rudi nyumbani nikakukatie walau eka 20 pale msata ufanye ujasiriamali, 😂😂😂😂...., nakupa na wake watatu kabisa, maana huku mahari ni mbuzi tu..😂😂😂😅, au laa endelea kubeba maboksi na kuogesha wastaafu..😂😂😂😂😂, natania tu mkuu, usinijibu.
 
hamna lolote, ukweli usiosemwa na wengi wanaoenda huko ni ile chance ya kugonga mademu wa kizungu, i guess the experience is worth the pain ya kuogesha wastaafu ma kuosha vyombo migahawani, u never know. Amini usiamini, kila mtu mweusi anapoenda kule anachowaza ni jinsi atakavyokuwa akipiga pipe mademu weupe na kuwasugua vilivyo, wala hawawazi pesa sana, maana kama ni pesa hata huku ipo tena nyingi sana, ardhi ipo ya kutosha sana, tatizo ni papuchi za kizungu ndio zinawatia wazimu, nani atarudi baada ya kuionja? ila maisha ni magumu sana kule...
Umenifurahisha sana mkuu. Nilishawahi kukaa huko. Huko ukienda inabidi uwe focused na kilichokupeleka. Piga shule yako vizuri, usiendekeze starehe sana na ukimaliza tafuta ajira uliyosomea uchape kazi. Au unaweza ukajiongeza ukafungua biashara yako. Opportunity ziko nyingi sana. Cha muhimu tu uangalie permits zako zisimalize muda wake ukawa illegal alien.

Kati ya washikaji wote niliowaacha huko sijui hata mmoja ambaye anafanya kazi kwenye senior homes. Washikaji waliosoma computer science pamoja na Banking hata Engineering aisee wako vizuri sana kimaisha kwa sababu wengine wanavuta mpaka 250K kwa mwaka.

Ila na walioenda wakacheza cheza wakaanza kufanya kazi kwenye gas stations na mikahawani wapo. Shida viza ikiisha muda wake na ukawa mzembe ukawa huna makaratasi unaweza kujikuta kwenye vicious cycle ya kupata pesa za kula tu. Na papuchi za wazungu wala hazina jipya ila umenichekesha sana !!!
 
Unasema hazina jipya sababu umeshaonja, imagine mtu ambaye hata hajui ngozi ya mzungu ikoje unafikiri anawaza nini kichwani kwake kama sio kumwagika udenda tu?
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Sinema gani umeangalia mkuu, au kuna jamaa ulikuwa unamgongea akuvute akaamua kukunyamazisha kabisa. Huku life ni smooth provided unajua unachokifanya. 17 yrs so far sijawahi simamishwa hata na mgambo. USA ni nchi ya ndoto, una uwezo wa kuwa chochote unachotaka na sio lazima umjue diwani au mbunge ndio mambo yaende. Kingine kuna openings za kazi nyingi kuliko watu wanaotafuta kazi so ni ww tuu unaamua lifestyle yako. Mfano mimi na wife we work from home na maisha yetu very comfortable, tunapata muda wa kuwa na familia na kufanya mambo mengi tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Dah
Nilipataga rafiki huko nilimtumia CV Zangu alizipenda sana
Akaniambia nifanye mchakato!! Dah Umasikini huu wee acha tu!
 
Mkuu papuchi za kizungu mbona bongo ziko nyingi tu
hamna lolote, ukweli usiosemwa na wengi wanaoenda huko ni ile chance ya kugonga mademu wa kizungu, i guess the experience is worth the pain ya kuogesha wastaafu ma kuosha vyombo migahawani, u never know. Amini usiamini, kila mtu mweusi anapoenda kule anachowaza ni jinsi atakavyokuwa akipiga pipe mademu weupe na kuwasugua vilivyo, wala hawawazi pesa sana, maana kama ni pesa hata huku ipo tena nyingi sana, ardhi ipo ya kutosha sana, tatizo ni papuchi za kizungu ndio zinawatia wazimu, nani atarudi baada ya kuionja? ila maisha ni magumu sana kule...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mutatafuta kila vijisababu ili mututowe ktk mstari lkn hatutoki habari ya mjini ni mtoto wa nabii kublockiwa marekani kwa ukwaji wa haki za binaada ikiwemo kutoa uhai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za kijiweni hizi japo sikukaa sana US haya mambo sikuyaona kwakweli
Nasikia huko bila dollar 200 hujapata bado..., halafu nasikia matrafiki wa huko hawachukui rushwa kabisa, ukifanya kosa ni faini na inaingia kwenye rekodi.., tena huko hata ukimzaba mkeo kofi unalala ndani.., ukitembea upande usio wako barabarani (wanaita J walking sijui) unalala ndani, mkilala zaidi ya wawili chumba kimoja mnapigwa faini kwa kuzidisha allowed density ya nyumba, na hata kama ni watoto wako unaambiwa umewashindwa so wanaenda kulelewa na welfare/ustawi;
Ukiendesha gari huku umekunywa hata bia tatu tu unalala ndani, ukikutwa ume-install pirated software kwenye laptop yako unalala ndani, ukikutwa unaingizia watu movie kwenye flash unalala ndani, ukikutwa umepanga biashara bila leseni unalala ndani, ukimnyanyapaa au kumsema vibaya shoga au msagaji unalala ndani kisha mahakamani, ukikutwa popote pale bila kitambulisho cha taifa (cha fingerprint) unalala ndani, ukioverspeed mjini unalala ndani, ukichelewesha child support (matunzo ya mtoto) unanyang'anywa driving license kisha unalala ndani halafu mahakamani, mijaji ya kule haili rushwa, hivyo ni jela miezi sita. jamani, si gereza lile??!
Ukikutwa unasikiliza mziki kwa sauti kubwa unalala ndani, ukikutwa mbwa wako amekonda au hajaogeshwa basi unashtakiwa kwa ukatili kwa wanyama na utalala ndani, ukikutwa unachoma nyama kwenye park ya umma bila kibali unalala ndani, ukikutwa umepaki gari sehemu ya wrong parking basi gari lako utalikuta yard na faini yake unaweza kununua gari lingine hapa bongo.., kule bila dollar 3000 hujanunua nguo za kubadilisha hata wiki, hakuna manzese wala karume kule.., kule kama sio milionaire sahau kuhusu kununua au kujenga nyumba, kwanza hujengi hata banda la mbwa kama huna kibali, kama sio milionaire sahau kuhusu kumiliki hata ekari 10 za kulima hata matembele, kule mnaishi kwenye vi-appartment kama vitundu vya ndege ghorofani, na kwa wale wenye vikazi vya kueleweka ndio wanachukua mortgage kwenye nyumba wanazoishi, ambapo unailipia kidogo kidogo hadi inakuwa yako, na ukiishia kati unanyang'anywa na pesa yote inakuwa imeenda, kule bila milioni 300 hujampeleka mtoto chuo level ya degree.., sio huku eti ada milioni 1 na degree nje nje..,kule usipofanya pruning ya majani ya uwani kwako faini ni dollar 50 kwa kila siku yanapokuwa umeyaacha marefu au la unalala ndani,
maisha gani hayo? si jehanam hiyo..???!
Mbaya zaidi, ukikutwa umenunua huduma ya mdada kwenye states ambazo biashara hiyo imeharamishwa basi faini yake ni dollar 3000 au jela miezi sita, halafu mipolisi ya kule haichukui rushwa sijui upoje? yaani unasukumwa ndani, kule ukiacha mazingira ya nje ya nyumba yako hovyo kiasi mbu na wadudu wengine wakawa wanazaliana humo unaweza kunyang'anywa nyumba kwa kuendanger public safety na utalala ndani.
bado sijamaliza, ngoja ninywe maji...;

Kule ukikamatwa umemchapa mtoto kwa fimbo au chochote kile unashtakiwa kwa ukatili kwa watoto, utanyang'anywa hao watoto na utalala ndani, kule watoto kisheria wanafundishwa LGBT rights na wanakuwa promoted kutowabagua na kutoogopa kuwa mashoga, na ukimzuia mtoto kuwa shoga unasukumwa ndani, na ukimzuia mtoto kushiriki tamasha la ngono la kutoana bikra linaolandaliwa mashuleni kila mwaka, wanaita PROM NIGHT basi utalala ndani, unachoweza kufanya ni kumpa condom tu basi, ila kutoana bikra ni haki ya kilazima..

Yote haya yanafanana katika nchi za magharibi...wanaotaka kukwea pipa na wakweewaende, tena kwa haraka zao...
Tuongezee...
  • Usipolipa kodi ni kosa kubwa kuliko kuuwa, ni ndani, mahakamani kufilisiwa...
  • Usipolipa "poll tax" ni ndani mahakamani kufiliswa...
  • Hakuna kuchinja chinja kuku, mbuzi au ng'ombe hovyo hovyo kama kwetu, madhara yake ni ndani mahakamani faini au kula siku gerezani...
  • Kwa wale walokole wanaopiga nyimbo na mahubiri kwa sauti mitaani, wasahau wakifika kule...
  • Daladala zasimama vituoni tu, na siyo sehemu yoyote ile utakao...
  • Gari lazima iwe na cerificate kila mwaka ya afya yake, ama sivyo wewe na gari ndani...
  • Kutandaza vitu barabarani kwa kisingizio una kadi ya machinga hakuna kule, ni ndani, faini au gerezani..
  • Ukifilisika na ukakosa uwezo wa kulipia pango basi wewe joto na baridi lazima likutafune nje...
  • Kwenye 2 lanes hakuna ku-overtake, madhara yake sina haja ya kusema..
  • Kupiga honi bila sababu mitaani na barabarani ni kosa...
  • Kazi zafanywa kwa target, na siyo bora liende kama kwetu, huwezi watupwa kule...
  • Ukichelewa job onyo mara 2 ya tatu tupa kule...
  • Hakuna kushangaa shangaa ukikuta wanawake au wanaume wanapigana mabusu ya kufa mtu mtaani, ukiwasonya au kuwanyanyapaa ni kushtakiwa, mahakamani waweza kuishia jela...
  • Ukionwa watupa taka hovyo itakula vibaya sana kwako mpaka utajuta...
  • Ukionekana watembea na panga, visu ole wako, infact wawezwa pigwa pyu pyu za fasta wakidhani wewe gaidi...
  • Mapenzi kwao ni moto unaoweza kuzimika muda wowote, kama mmezaa na mwanamke yala kwako, kama hamna watoto basi kugawaba mbao...
  • Kujenga huko ni kwa matajiri, wewe wanunua nyumba zilizojengwa tayari na zinakuwa zako baada ya miaka 25+ kama walipa vizuri benki, ila kazi ikibuma na umeshindwa lipa hiyo nyumba basi benki fasta wanaikwapua...
  • Kama UK kibaka akiingia kwako soyo halali yako, watakiwa kutumia "reasonable force" ya kumkamata, ikitokea umempa za usoni na mwilini za kutosha basi wewe ni kushtakiwa na ikiwezekana ukala mvua...
  • .......
 
Swala la sehemu ya kuishi ni very personal. Kuna watu hawapendi kuishi Dar es salaam, kuna wengine huwezi watoa Dar es salaam. The same thing can be said about living abroad. Kuna mazuri na mabaya yake, ila nachoamini inachukua muda kuozoea maisha ya ughaibuni, na kuweza kunufaika na maisha ya ughaibuni.

Na vile vile, hizo story anazotoa mtoa mada ndio inavyotakiwa tuishi hivyo wote. Huwezi kujitetea ukasema Bongo ni pazuri kwa sababu unaweza ukalewa na kuendesha. Hatuwezi kujitetea ishu kama ya kutoa rushwa kwa matraffic.

Yote kwa yote, mimi ninaamini kila mtu amepangiwa sehemu yake ya kutoboa . Ni swala la kuijua na kumake it happen.
 
Hapa nilipo tuna familia nyingi za Watanzania ambao wengine wazazi wao walikuja tangu miaka ya 80, wamestaafu na wamerudi bongo nyumba zao wamepangishia watu maana watoto na wao wana za kwao. Na kuna watu wana nyumba zaidi ya moja na pia kuna hao ambao hawana hata banda. Hivyo ni mipango yako tuu na nini unataka kufanikisha katika maisha.
Kuna wabongo wana mafanikio sana tuu sema uzuri wa hizi nchi ni kwamba inakufundisha kuwa na discipline, hata uwe millionaire hakuna kujikweza.
Family friends wetu ni jamaa wa Mara wana business, revenue yao ni kama $1 million kila mwezi, sasa utaniambia huyo pia hawezi kuwa na nyumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeisha Dallas na Texas huu mwaka wa nne lakini sjakutana na matakataka uliyoyaandika.
Vipi kwa mbongo kumiliki ardhi inawezekana.Bongo kiwanja cha kariakoo milioni miatano mpaka bilioni kadhaa, buza m 5 na kuendelea.Vijijini huko heka laki na kuendelea.Sasa inawezekana mim kuja huko na kumiliki heka walau 2.
 
Mambo yote nimeyapenda kasoro hilo la ushoga tu. Ndiyo maana jamaa wameendelea sana. Unajisifu unatumia pirated software halafu wakuache? watu wanaumiza kichwa halafu wewe utumie bure?
Kujifunza code ni ngumu sana,watu hawalali halafu utumie bure bureshi
 
Back
Top Bottom