Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,340
- 46,130
Unaongelea kuelewa na watu tayari tuko pm hukoLipia tangazo
Only legends wataelewa
Unaongelea kuelewa na watu tayari tuko pm hukoLipia tangazo
Only legends wataelewa
Ndio rahis watu kama ninyi kuchezewa na watu wenye fake IDWanawake nawajua sana
Huu uzi wako kwa sisi wanaume acha wavulana namaanisha wanaume tumeshakuelewa
Na DM imeshafunguliwa utapeli uanze
Utamuona kwenye new thread😅
Ngoja tuoneUtamuona kwenye new thread😅
Oyaa 😅😅😅🙌Unaongelea kuelewa na watu tayari tuko pm huko
Tapeli huyu🤣🤣
Ndio rahis watu kama ninyi kuchezewa na watu wenye fake ID
Mungu anakuona wahi Halmashauri ukachukue mkopo fasta waambie Mama Samia kanituma chap kwa haraka watakupa MkopoKudanga siwezi,
Kutapeli ni mwiko kwangu,
Pamoja na hivi nilivoo naenjoy Kula pesa ya jasho halali iliyo na Baraka za Mungu. Je nitafanikiwa vipi.
Nawaombeni ushauri.
Maria D.
NaniTapeli huyu
Naomba tuwe marafiki Kwa maendeleo zaidiPamoja na hivi nilivoo naenjoy Kula pesa ya jasho halali iliyo na Baraka za Mungu. Je nitafanikiwa vipi.
Nawaombeni ushauri
MariaNani
Kuna tatizo gani kwani? Kama ni mdada maisha hayaeleweki, suluhisho atafute bwana amuoe. Kuna mdada alihamia DC Marekani sasa hustle za kule zikamshinda kazoea kulala sasa kufanya kazi masaa 16 kwa siku akaona shida. Akasema ngoja tu nirudi nyumbani nitafute mume anioe. Na ndivyo alivyofanya, bila ya kufukuzwa.acha kuvunja sheria za huu mtandao mkuu😐😐
sawa kiongozi.heshiyako mkuu😁.Kuna tatizo gani kwani? Kama ni mdada maisha hayaeleweki, suluhisho atafute bwana amuoe. Kuna mdada alihamia DC Marekani sasa hustle za kule zikamshinda kazoea kulala sasa kufanya kazi masaa 16 kwa siku akaona shida. Akasema ngoja tu nirudi nyumbani nitafute mume anioe. Na ndivyo alivyofanya, bila ya kufukuzwa.
Aje tu namchukua. Naamini atatulia🙂sawa kiongozi.heshiyako mkuu😁.
mchuke basi asitusumbue humu
akigoma sasa tunasema hana bahati kabisaAje tu namchukua. Naamini atatulia🙂
Kweli.akigoma sasa tunasema hana bahati kabisa
Sina la kusema zaidi ya kuumia tuuHunijui