Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,418
- 4,113
- Thread starter
- #21
PoleLipia tangazo
Only legends wataelewa
PoleLipia tangazo
Only legends wataelewa
Ni Mawazo yakoBelieve me;
Haupo mbali na kudanga pamoja na utapeli.
Una tamaa.
Mungu akubarikiUsikate tamaa,
Usichoke kujaribu,
Usichoke kufanya.
Aah dotinata weeeutafanikiwa tu we pambana kikubwa sasampa haijalishi utaipataje😂
Kwa hiyo huu nao ni uzi!!?Habari za jioni
Maisha mnayaonaje ndugu zangu,dada zangu,Kaka zangu.
Kila nilichopanga kufanya mwaka huu naona kabisa hakitimii.
Dada yangu mmoja hapa mtaani anasema nisijipe presha bado mdogo,nitafanikiwa tu kwa uwezo wa Mungu, lakini Mimi mwenyewe nina marafiki kibao,naona kama wanaendelea vizuri na mambo yao.
Na Mimi kila siku najiuliza nawezaje kufanikiwa na Elimu yangu ya kuunga unga ?
Kudanga siwezi,
Kutapeli ni mwiko kwangu,
Pamoja na hivi nilivoo naenjoy Kula pesa ya jasho halali iliyo na Baraka za Mungu. Je nitafanikiwa vipi.
Nawaombeni ushauri.
Maria D.
Wanawake nawajua sanaPole
Sikia,Mimi sifungi DM,kwani sioni hiyo haja,Wanawake nawajua sana
Huu uzi wako kwa sisi wanaume acha wavulana namaanisha wanaume tumeshakuelewa
Na DM imeshafunguliwa utapeli uanze
Hapana ni sindanoKwa hiyo huu nao ni uzi!!?
PoleSikia,Mimi sifungi DM,kwani sioni hiyo haja,
Mimi sijawahi kutapeli wa Kula pesa ya mtu,
Mimi hata mtaani wananifahamu ni mtu wa aina gani
Sister hivi hilo neno "sasampa" lina maana gani? Kuna dada nliona kaweka status na kwenye group moja nlionautafanikiwa tu we pambana kikubwa sasampa haijalishi utaipataje😂
AsantePole
Tumia uchi wako wewe kwani hunaWanawake wenzio wanazitumia vizuri nyuchi zao wewe wako unaufuga ili iweje
Amina mtumishiUtafute ufalme wa Mungu kwanza na haki yake na mengine yote utazidishiwa...
Ya kukushona wewe pumbavu!!Hapana ni sindano
Mm si mpumbavu na wewe naamini si mpumbavuYa kukushona wewe pumbavu!!
sasampa si ndo hela 😄Sister hivi hilo neno "sasampa" lina maana gani? Kuna dada nliona kaweka status na kwenye group moja nliona
Wee naye,kumekuchaMarry yohana.. bado nakukumbuka sana.. i wish one day tuonane