Maisha haya acheni tu unaweza kukufuru

Maisha haya acheni tu unaweza kukufuru

Habari za jioni

Maisha mnayaonaje ndugu zangu,dada zangu,Kaka zangu.

Kila nilichopanga kufanya mwaka huu naona kabisa hakitimii.

Dada yangu mmoja hapa mtaani anasema nisijipe presha bado mdogo,nitafanikiwa tu kwa uwezo wa Mungu, lakini Mimi mwenyewe nina marafiki kibao,naona kama wanaendelea vizuri na mambo yao.

Na Mimi kila siku najiuliza nawezaje kufanikiwa na Elimu yangu ya kuunga unga ?

Kudanga siwezi,
Kutapeli ni mwiko kwangu,

Pamoja na hivi nilivoo naenjoy Kula pesa ya jasho halali iliyo na Baraka za Mungu. Je nitafanikiwa vipi.
Nawaombeni ushauri.
Maria D.
Umasikini ni laana ukatae kwa nguvu zako zote na akili zako zote. Pambana mpaka michongo haramu (ila usidhalilishe utu wako).
Ukitaka mali utaipata shambani, muda huu mahindi yamekauka tunachungulia tu bei sokoni zipendeze tukalewe balimi.
 
Habari za jioni

Maisha mnayaonaje ndugu zangu,dada zangu,Kaka zangu.

Kila nilichopanga kufanya mwaka huu naona kabisa hakitimii.

Dada yangu mmoja hapa mtaani anasema nisijipe presha bado mdogo,nitafanikiwa tu kwa uwezo wa Mungu, lakini Mimi mwenyewe nina marafiki kibao,naona kama wanaendelea vizuri na mambo yao.

Na Mimi kila siku najiuliza nawezaje kufanikiwa na Elimu yangu ya kuunga unga ?

Kudanga siwezi,
Kutapeli ni mwiko kwangu,

Pamoja na hivi nilivoo naenjoy Kula pesa ya jasho halali iliyo na Baraka za Mungu. Je nitafanikiwa vipi.
Nawaombeni ushauri.
Maria D.
Cheti na

Mshana jr

Kama youkoo. Tz akusaidie
 
Olewa🙂
 
Back
Top Bottom