Maisha haya acheni tu unaweza kukufuru

Maisha haya acheni tu unaweza kukufuru

Habari za jioni

Maisha mnayaonaje ndugu zangu,dada zangu,Kaka zangu.

Kila nilichopanga kufanya mwaka huu naona kabisa hakitimii.

Dada yangu mmoja hapa mtaani anasema nisijipe presha bado mdogo,nitafanikiwa tu kwa uwezo wa Mungu, lakini Mimi mwenyewe nina marafiki kibao,naona kama wanaendelea vizuri na mambo yao.

Na Mimi kila siku najiuliza nawezaje kufanikiwa na Elimu yangu ya kuunga unga ?

Kudanga siwezi,
Kutapeli ni mwiko kwangu,

Pamoja na hivi nilivoo naenjoy Kula pesa ya jasho halali iliyo na Baraka za Mungu. Je nitafanikiwa vipi.
Nawaombeni ushauri.
Maria D.
Pole sana, ukiona changamoto zinazidi jua uko mbioni kufanikiwa... By the way, we ni mwanaJF wa kwanza kuweka dp yako halisi na kutumia Real Identity.
 
Habari za jioni

Maisha mnayaonaje ndugu zangu,dada zangu,Kaka zangu.

Kila nilichopanga kufanya mwaka huu naona kabisa hakitimii.

Dada yangu mmoja hapa mtaani anasema nisijipe presha bado mdogo,nitafanikiwa tu kwa uwezo wa Mungu, lakini Mimi mwenyewe nina marafiki kibao,naona kama wanaendelea vizuri na mambo yao.

Na Mimi kila siku najiuliza nawezaje kufanikiwa na Elimu yangu ya kuunga unga ?

Kudanga siwezi,
Kutapeli ni mwiko kwangu,

Pamoja na hivi nilivoo naenjoy Kula pesa ya jasho halali iliyo na Baraka za Mungu. Je nitafanikiwa vipi.
Nawaombeni ushauri.
Maria D.

Dada yangu mmoja hapa mtaani anasema nisijipe presha bado mdogo,nitafanikiwa tu kwa uwezo wa Mungu,

Fuata huu ushauri.
 
Kuendelea ukimaanisha nini maana hata hapo ulipo umeendelea .

Pia umri mkubwa hauna maana unaashiria mafanikio wala umri mdogo .

Ikiwa utafikiria zaidi nenda sehemu ambayo haujulikani ukae na ufanye Maisha , maana yake hautawaona wale Unaojilinganisha nao.
 
Habari za jioni

Maisha mnayaonaje ndugu zangu,dada zangu,Kaka zangu.

Kila nilichopanga kufanya mwaka huu naona kabisa hakitimii.

Dada yangu mmoja hapa mtaani anasema nisijipe presha bado mdogo,nitafanikiwa tu kwa uwezo wa Mungu, lakini Mimi mwenyewe nina marafiki kibao,naona kama wanaendelea vizuri na mambo yao.

Na Mimi kila siku najiuliza nawezaje kufanikiwa na Elimu yangu ya kuunga unga ?

Kudanga siwezi,
Kutapeli ni mwiko kwangu,

Pamoja na hivi nilivoo naenjoy Kula pesa ya jasho halali iliyo na Baraka za Mungu. Je nitafanikiwa vipi.
Nawaombeni ushauri.
Maria D.
una tako kubwa?
 
Jf bana,unakuta mdada ana points tu za maisha na ukaona huyu ni mwenzangu nijenge maisha naye.But unakuja kukutana na kitu kizito balaa.Tunawaomba jamani muishi katika haya mnayoandija.
Diana kwa andiko hili hakika umekua,umekomaa,wewe ni mke.Unapaswa upate muungwana mpambane pamoja mjenge maisha yenu kwa kubarikiwa.Na uwe hivi kweli.
 
Kikubwa uzma pesa za ujanani nazo taabu tupu,omba pia upate mwenza mwenye maono na ari ya mapambano mtafika mbali,maana wahenga walisema kidole kimoja hakivunji chawa.
 
Jf bana,unakuta mdada ana points tu za maisha na ukaona huyu ni mwenzangu nijenge maisha naye.But unakuja kukutana na kitu kizito balaa.Tunawaomba jamani muishi katika haya mnayoandija.
Diana kwa andiko hili hakika umekua,umekomaa,wewe ni mke.Unapaswa upate muungwana mpambane pamoja mjenge maisha yenu kwa kubarikiwa.Na uwe hivi kweli.
yeah sure watu wanafake maisha
 
Mkuu ngoja nikupe ushauri kidogo .

Kwanza I don't know about ur age Ila Kama upo below 35 years na unajua unatoka broke family .

Fanya , Tafuta demanded skills Kama either kushona , Au somea kitu chochote ambacho kina link up na jamii .

Ukimaliza uanze kutafuta fursa ambazo zinaendana na unacho kijua .

Kuliko kukaa mtaani unaamini one day yes , that day will never happen kwahiyo waweza kukaa ukafikiria hilo.

Ukiingia 35 yrs with no education no skills no connection no network utapanic na kuwa depressed .

Kuna vyuo Kama VETA
Vyuo vya kati
Na watu ambao ni expert wanaweza kukufunisha skills mbalimbali.

Pesa ili uipate unabidi kuwa na kitu kitakacho ileta pesa na ndo huo ujuzi ,Elimu n.k

Hapa watu watakupa ushauri kibao Ila huu ushauri niliokupa utakuvusha and you will never regret .

Ikiwa utaomba msaada target hayo maeneo .
 
Back
Top Bottom