Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,418
- 4,113
- Thread starter
- #61
Asante Dada wa nguvuSasa Nyerere angekata tamaa mkoloni angempa uhuru?
Ukishazaliwa wewe ni kupambana sawa Marry?
Asante Dada wa nguvuSasa Nyerere angekata tamaa mkoloni angempa uhuru?
Ukishazaliwa wewe ni kupambana sawa Marry?
kamshangazi (kenye gubu)Leo umeonekana? Lenie yuko wapi?Aah dotinata weee
Cha muhimu ni Kaiteshki pawa
Kwahiyo wewe unajiuza BadooKahaba msumbufu sana wewe,hii sio sehemu ya kujiuza nenda badoo
Una ona akili zako? Sawa uta wapa wangapi?Bora hata mm Nina cha kuwapa wewe je
Njoo inbox nikupe jambo la kufanya nauhakika utatokaHabari za jioni
Maisha mnayaonaje ndugu zangu,dada zangu,Kaka zangu.
Kila nilichopanga kufanya mwaka huu naona kabisa hakitimii.
Dada yangu mmoja hapa mtaani anasema nisijipe presha bado mdogo,nitafanikiwa tu kwa uwezo wa Mungu, lakini Mimi mwenyewe nina marafiki kibao,naona kama wanaendelea vizuri na mambo yao.
Na Mimi kila siku najiuliza nawezaje kufanikiwa na Elimu yangu ya kuunga unga ?
Kudanga siwezi,
Kutapeli ni mwiko kwangu,
Pamoja na hivi nilivoo naenjoy Kula pesa ya jasho halali iliyo na Baraka za Mungu. Je nitafanikiwa vipi.
Nawaombeni ushauri.
Maria D.
Nitawapa wengi ila sidhani kama ww utakuwa mmoja waoUna ona akili zako? Sawa uta wapa wangapi?
Hawezi huyu..Mungu akufundishe kunyamaza 😅😅
SawaNitawapa wengi ila sidhani kama ww utakuwa mmoja wao
Malaya mbwa weweKwahiyo wewe unajiuza Badoo
Umemsahau mama yakoMalaya mbwa wewe
acha kuvunja sheria za huu mtandao mkuu😐😐Olewa🙂
Maisha tyuTatizo ni nini Mary?
Kijana MasikiniMarry yohana.. bado nakukumbuka sana.. i wish one day tuonane
Huo ukahaba haukulipiMaisha tyu
Ndio nini hii umeandika we mzeeCheti na
Mshana jr
Kama youkoo. Tz akusaidie
Kwanza, nikupe pongezi kwa kuwa na standards ambazo umejiwekea na unaishi kwa kuziheshimu hizo. Pili, nkuhakikishie kuwa mafanikio ni tafsiri pana ambayo unaweza kuielewa kwa ukweli wake kama utaitafsiri kwa kujitizama wewe wa sasa na wewe wa siku za nyuma na sio wewe ulivyo na wengine walivyo kwa hatua au vitu wanavyomiliki na wewe huna. Tatu, Hatua ya kwanza kufanikiwa ujue unataka nini katika maisha au unataka ufikie wapi ndani ya muda gani, kisha tambua kuwa unapaswa ujikane mwenyewe na kuamua kuachana na mambo fulani fulani, watu wa aina fulani na kuondoka pahali fulani ulipokulia n.k ili uweze kuona maisha katika mtazamo mwingine na uonavyo sasa. Hivyo, nkutakie safari njema ya kujitafuta na mtegemee Mungu utafanikiwa. Kila la Kheri Maria.Habari za jioni
Maisha mnayaonaje ndugu zangu,dada zangu,Kaka zangu.
Kila nilichopanga kufanya mwaka huu naona kabisa hakitimii.
Dada yangu mmoja hapa mtaani anasema nisijipe presha bado mdogo,nitafanikiwa tu kwa uwezo wa Mungu, lakini Mimi mwenyewe nina marafiki kibao,naona kama wanaendelea vizuri na mambo yao.
Na Mimi kila siku najiuliza nawezaje kufanikiwa na Elimu yangu ya kuunga unga ?
Kudanga siwezi,
Kutapeli ni mwiko kwangu,
Pamoja na hivi nilivoo naenjoy Kula pesa ya jasho halali iliyo na Baraka za Mungu. Je nitafanikiwa vipi.
Nawaombeni ushauri.
Maria D.
Mimi huamini siku zote kama U mzima,hauna changamoto yoyote ya kiafya au ulemavu,maisha hayawezi kukushida,Pambana Pambana to the maximum,umasikini ni mbaya iwe mvua liwe jua kataa kuwa mnyonge kiuchumi!!!Maisha tyu