Maisha baada ya kufukuzwa kazi

Maisha baada ya kufukuzwa kazi

Serving. ..
Kama ulikuwa unakula pesa yote ya Mshahara sasa hivi utalamba jiwe
Aanze kuwa anaenda makumbusho kuonja popcorn mpaka anashiba.

Maji ya kunywa ya bure azungukie mitaa ya fire na upanga kuna wahindi wameweka nje ya nyumba zao vi mashine vya kuchuja maji halafu yanatoka baridi.
 
  • Ukifanya kazi utapata hela
  • Ukiuza kahawa utapata hela
  • Ukiuza nyanya utapata hela
  • Ukiuza matunda utapata hela
  • Ukiuza maji utapata hela
  • Ukipiga debe utapata hela
  • Ukiwa chawa utapata hela
  • Ukichoma mahindi utapata hela
  • n.k
Muhimu ni kupata hela, mtaji wako ni nguvu zako
 
  • Ukifanya kazi utapata hela
  • Ukiuza kahawa utapata hela
  • Ukiuza nyanya utapata hela
  • Ukiuza matunda utapata hela
  • Ukiuza maji utapata hela
  • Ukipiga debe utapata hela
  • Ukiwa chawa utapata hela
  • Ukichoma mahindi utapata hela
  • n.k
Muhimu ni kupata hela, mtaji wako ni nguvu zako
Safi kabisa
 
Niliwahi kupitia hiki kipindi Mungu aliniinua baada ya miezi mitatu nilipata kwingine
 
Kufukuzwa kazi sio vibaya bali ni promotion, kazi ni utumwa na huchelewesha sana wwtu kwenye mafanikio yao.
 
Back
Top Bottom