Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 13,580
- 25,676
hakuna wakati mgumu kama wakati wa shida hata mpendwa mwenzio atajitenga nawe,Exactly 💯
hakuna wakati mgumu kama wakati wa shida hata mpendwa mwenzio atajitenga nawe,Exactly 💯
Kweli kabisa.kikubwa ni kujiandaa kwa lolote na uwe tyr kukabiliana nalo, wengi waliopo kwenye kazi wanaogopa kupoteza, ila naamini unaweza toka hapo ukawa bora ama ukapotea ila maisha ni kupambana tuu
Nakubali.Mkuu, kutokuwa na ajira ni kawaida kuliko kuwa nayo. % Kubwa ya watu hawana ajira ila wanafanya kazi.
Kama unakubali hata wewe utavuka kutokuwa na ajira salama kabisa.Nakubali.
Na hii ndio point niliona kabisa naenda kuacha kazi au kufukuzwa until nilipo tafuta ujuzi then freedom ikaja.Kazi ya ualimu,hasa elimu msingi ni laana, niwatonye kidogo walimu shule ya msingi,fundisha miaka mitatu kisha acha kazi anza mishe zako zinngine, walimu wanachotuzidi sisi tunaoparangana mtaani ni uhakika wa kuoga,kubadili nguo kula vizuri ila kwenye issue ya kufanikiwa kimaisha kwa kutegemea ualimu wasahau. Asilimia 90 ya walimu shule ya msingi na sec huwa wanakufa masikini.
dah,Duuuh wengine kipindi tunafukuzwa mpaka kilimo kilikataa , ikawa hasara. Ndugu wa damu wakawa wanatuona mikosi .
Bora ufukuzwe private sio serikalini , maana hata sehem za kujitolea unafungiwa milango.
Tamisemi nyoko
Wakati wa shida hakuna rangi utaacha kukuona ila shida inakufundisha next time ukiinuka ujifunze ku balance shobohakuna wakati mgumu kama wakati wa shida hata mpendwa mwenzio atajitenga nawe,
sikuhz wameboreshewa mazingira ya kazi sio kama wazamani..walimu wa muda mrefu wanakula maisha usiwadharau.Kazi ya ualimu,hasa elimu msingi ni laana, niwatonye kidogo walimu shule ya msingi,fundisha miaka mitatu kisha acha kazi anza mishe zako zinngine, walimu wanachotuzidi sisi tunaoparangana mtaani ni uhakika wa kuoga,kubadili nguo kula vizuri ila kwenye issue ya kufanikiwa kimaisha kwa kutegemea ualimu wasahau. Asilimia 90 ya walimu shule ya msingi na sec huwa wanakufa masikini.
akulinde ozalima ngo ngo ngo ozalima ozalimaWakati wa shida hakuna rangi utaacha kukuona ila shida inakufundisha next time ukiinuka ujifunze ku balance shobo
Serikalini hadi ufukuzwe kazi jua ww nae ni zaidi ya zigo.Duuuh wengine kipindi tunafukuzwa mpaka kilimo kilikataa , ikawa hasara. Ndugu wa damu wakawa wanatuona mikosi .
Bora ufukuzwe private sio serikalini , maana hata sehem za kujitolea unafungiwa milango.
Tamisemi nyoko
ukifa unaacha urithi wa magwanda tu na nyumba mbiliMkuu kufa maskini kuko vipi?
Tembelea tamisemi na halmashauri ndo utajua hujui, huko afisa utumishi mkikosana akaside na madiwani umeisha ,Serikalini hadi ufukuzwe kazi jua ww nae ni zaidi ya zigo.
🔥Fursa yoyote inayokuja kwako usiiache, ondoa watu watanionaje au familia itakuaje. Anza kutumia hiyo fursa hapo hapo.
Haya mambo sio rahisi kama mnavyoongea. Usafiri wenyewe wa mjini huu. Kutoka nyumbani asubuhi kurudi usiku umechoka. Huo ujuzi mpya utajifunza saa ngapi.Siri ni moja tu kipindi unapiga kazi uwe unajiwekea kazi maana ukifuzwa kazi unakuwa mtaan kwa muda mpaka pale ukipata kazi nyingine, au lah ukiwa lbda unaujuzi unaweza kwenda kwa jmaa yako ambaye anafanya kazi ya fan yako unapga daywaka huwez kukosa kuishi mzes baba
Umenipa idea kali sana ahsante kwa comment yako mkuuKazi ya ualimu,hasa elimu msingi ni laana, niwatonye kidogo walimu shule ya msingi,fundisha miaka mitatu kisha acha kazi anza mishe zako zinngine, walimu wanachotuzidi sisi tunaoparangana mtaani ni uhakika wa kuoga,kubadili nguo kula vizuri ila kwenye issue ya kufanikiwa kimaisha kwa kutegemea ualimu wasahau. Asilimia 90 ya walimu shule ya msingi na sec huwa wanakufa masikini.