Maisha baada ya kufukuzwa kazi

Maisha baada ya kufukuzwa kazi

Kama kuna watu wameshawahi kupitia kipindi cha kufukuzwa kazi , hivi maisha mliyasongesha kwa Namna gani baada ya kufukuzwa?

Life kitaa siyo poa mliwezaje kutoboa kwenye msimu huo hadi mlipopata kazi nyingine au kuendelea na mishemishe kitaa?
Kazi bwerere ziko kwenye kilimo shambani,

sidhani kama kuna mtu wa bidii anaweza kujuta kufukuzwa kazi za kuajiriwa, ikiwa aliwekeza kwenye kilimo shambani,

kwasababu hiyo ndio uti wa mgongo wa taifa letu na ambayo ndio pekee hakuna wa kukufukuza 🐒
 
Duuuh wengine kipindi tunafukuzwa mpaka kilimo kilikataa , ikawa hasara. Ndugu wa damu wakawa wanatuona mikosi .
Bora ufukuzwe private sio serikalini , maana hata sehem za kujitolea unafungiwa milango.
Tamisemi nyoko
 
Ni kipindi kigumu sana .
Hasa kama uko mjini na unategemea mshahara wako ulipie kodi chakula na gharama nyingne za maisha.

Maisha yatayumba , utashuka kiuchum. Na Kama una asset utauza.
all in all. Hautakufa. Utaishi na utanyanyuka tena.
na this time utakuwa bora zaid.

Cha muhimu kwenye kipind hiki usikae ukajifungia ndan. Kwanza kubali hali halisi. Na pili omba msaada kwa marafik.
Piga simu sana kuomba michongo ya kujishikisha na connection.

Kuna watu wana survive mjini hapa hawana kazi rasmi miaka na miaka.
Na maisha yanasonga tu.
 
Kazi ya ualimu,hasa elimu msingi ni laana, niwatonye kidogo walimu shule ya msingi,fundisha miaka mitatu kisha acha kazi anza mishe zako zinngine, walimu wanachotuzidi sisi tunaoparangana mtaani ni uhakika wa kuoga,kubadili nguo kula vizuri ila kwenye issue ya kufanikiwa kimaisha kwa kutegemea ualimu wasahau. Asilimia 90 ya walimu shule ya msingi na sec huwa wanakufa masikini.
 
Kwani ambao hawajawahi kupata kazi wanaishije?

Ukipata jibu la swali hilo hutababaika na chochote.
Sio rahisi hivi, kuyakubali mabadiliko mfano ukiwa muajiriwa kuna aina ya maisha unaishi hata kipato ambacho asiye na kazi anakiona kikubwa wewe mwenye ajira unakiona kidogo sana so ukiondoka kazini itakuchukua muda kuyazoea maisha ya kukosa kipato au kazi. No vikao, safari, allowances, tips n.k

Ndio maana hata Waziri akitumbuliwa akibaki na ubunge bado ana kipato kuliko 80% ya wananchi ila bado anakuwa na stress kuliko hata jobless. Ni saikolojia zaidi kuliko uhalisia.
 
Kazi ya ualimu,hasa elimu msingi ni laana, niwatonye kidogo walimu shule ya msingi,fundisha miaka mitatu kisha acha kazi anza mishe zako zinngine, walimu wanachotuzidi sisi tunaoparangana mtaani ni uhakika wa kuoga,kubadili nguo kula vizuri ila kwenye issue ya kufanikiwa kimaisha kwa kutegemea ualimu wasahau. Asilimia 90 ya walimu shule ya msingi na sec huwa wanakufa masikini.
Mkuu kufa maskini kuko vipi?
 
Sio kweli, nawajua walimu kibao tu huko vijijini walijijenga wakachukua fursa za kulima, biashara n.k naona issue ni attitude tu sio ajira unayofanya.

Kikubwa ni kujiendeleza kielimu na kijasiriamali
 
Ni kipindi kigumu sana .
Hasa kama uko mjini na unategemea mshahara wako ulipie kodi chakula na gharama nyingne za maisha.

Maisha yatayumba , utashuka kiuchum. Na Kama una asset utauza.
all in all. Hautakufa. Utaishi na utanyanyuka tena.
na this time utakuwa bora zaid.

Cha muhimu kwenye kipind hiki usikae ukajifungia ndan. Kwanza kubali hali halisi. Na pili omba msaada kwa marafik.
Piga simu sana kuomba michongo ya kujishikisha na connection.

Kuna watu wana survive mjini hapa hawana kazi rasmi miaka na miaka.
Na maisha yanasonga tu.
Facts
 
Back
Top Bottom