Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,051
Ukimwi ni kitu kingine kabisa
Humu jF tuna wasomi wa kila aina mpaka ma Doctor
Lakini angalia jinsi ukimwi uvaoongelewa kwenye nyuzi zingine
Na wasikujue una ukimwi humu coz kuna watu wana list za watu maarufu wenye ngwengwe
So itachukua kama karne nzima kwa hapa bongo ukimwi kuonekana kitu normal
Ila ukimwi bana .wakati niko high school kuna Dem cheap alishoboka wana wakawa wanasema anao ,kumleta geto nikaishia kumshika shika tu kila nilivokumbuka kauli za wana na dem navomuona sikupata stimu