Maisha baada ya kifo

Maisha baada ya kifo

Kwa iyo mkuu ni Mungu yupi atakaetoa hukumu
(A)Mungu anayeabudiwa na wakristo
(B)" " " " na waislam
(C)" " " " na ( wahindu, wachina n.k)

Yupi atakayetoa HUKUMU siku ya MWISHO???
Mungu ni mmoja tu,huyo Huyo ndio atawahukumu wote
 
Dah kwahiyo watakaochomwa moto ni wengi sana kuliko watakaoingia peponi? Wahindi, wachina, wajapani, burma, sri lanka, mongolia, thailand nao vp?
Kuni hizo mzee baba,hakuna namna mungu hawezi kua n'gombe sisi tunamla mpaka mchuzi
 
mkuu hongera sana kwa swali lako japo lina utata na wengi huenda chaka kwa kufuata mafundisho ya vitabu vya dini..

Kwanza kabsa naomba nikujulishe kuwa ,katika ulimwengu unaoishi kuna layer nyingi sana zinazoruhusu life proliferation( muendelezo wa maisha) kulingina na concious awareness ya kiumbe atakayokufa akiwa nayo..

Siku nikipata muda nitatolea ufafanuzi juu ya parallel universe na zina kazi zake katika kuruhusu maisha yaendelee..

Kwanza kabsaa naomba nikuambie tu kuwa once a soul is created and formed,it can not be destroyed but it is transformed from one parallel universe to another ( nafsi yako inayohusiana na kubeba ufahamu wako ikishaubwa na kuruhusiwa kuja hapa duniani,hauliwezi kamwe kuharibiwa lakini itahamishwa makazi tofauti kutokana na ufahamu iliyopata kuujua hui ulimwengu ulivyo)

This is a great mystery...ni wachache wanalijua hilo..

Hivyo basi katika ulimwengu huu unaoishi ,kuna limwengu zingine nyingi tu ambazo zinaruhusu maisha ya nafsi na roho kuishi kulingana na uwezo ( concious awareness nafsi imepata kujua jinsi nature ilivyo)

Sisi binadamu tunaonana kwa sababu tunaoccupy two presences( uwepo wa soul form na body form) ,.

Hivyo ukifa roho yako na mwili wako hutengana ndipo rohoyako kuruhusiwa kuingia kweny universe yenye parallel flani ambayo inaruhusu soul(nafsi au awarenesa zenye level flani ya ufahamu)
Ikumbukwe kuwa kila concious awareness flani ina makazi yake( parallel universe flani) kulingina na concious awereness uliyopata kujua kabla hujafa.

unapozaliwa na kuanza kukua unakuwa unaona au unapersive vitu katika 2D( two dimension awareness) ila kadri unavyokua unaingia kwenye 3D na hapa ndi mwanadamu anakuwa na uwezo wa kuanza kutambua mazingira( manake nini wewe unaesoma hii thread upo katika 3D awareness)

ukifa tayari roho yako yenye subconcious form in nature inashift to another plane( universe nyingine yenye dimesion kubwa zaidi)

ukiwa kwenye dimension kubwa tayari unakuwa umeachana na plane moja ya universe na kuingia another plane of reality depending with your subconcious awareness uliotoka nao huko..
View attachment 864464
kwa hiyo ukifa unaingia kwenye higher dimensions of life form na kila plane of reality inahabour roho zenye conciousness flani ziliyotoka nayo huko duniani kwenye 3D ( three dimension awareness).
View attachment 864472

Hivyo basi kabla hujafa unapaswa kuwa umefikia level flani ya conciousness awareness ambayo itakufanya uweze kuingia kwenye plane ambayo ni more advanced than uliyokuwa nayo...hapa ndipo ule usemi unaosema kuwa when you attain knowlege ,you get awareness and this awareness will determine your life plane soon after death..

kwa hiyo maisha baada ya kifo yanaendelea kulingana na knowlege uliyotoka nayo..

Kuna watu wanawadanganya wengine kuwa eti ukifa au tukifa wote tunakuwa sawa,...no no no big no..kama ni hivo kina Billgate na Jeff bezos wasingekuwa bize kukusanya pesa na uelewa wa jinsi dunia ilivyo..

ifahamike kuwa mwenye pesa tayari anakuwa na access ya kujua jinsi ulimwengu ulivyo hence anakuwa na knowlege ya kutosha ya kumfanya aingie kwenye kwenye 5D before hata hajafa kitu ambacho kitamfanya atakapokufa atakuwa kwenye another higher level of dimensions kuliko mimi na wew Nampulilampi
Hivyo ni jukumu lako hasa kutafuta knowlege kubwa au uongeze maarifa juu ya jinsi ulimwengu ulivyo kwani ni faida kwako badae..
View attachment 864496

Unavyoona utofauti wa maisha huku duniani ndivyo ilivyo katika higher life dimensions baada ya kufa..usione wenye pesa wanazidi kununua ufahamu zaidi jinsi dunia au ulimwengu ulivyo halafu wew ukawadharau na kusema wote tutakufa..
by the way there is no death kama unavofikilia just transformation ya recognition katika awareness yako ambapo roho inaingia katika another level of dimensions baada ya kuachana na mwili..

View attachment 864497

kwa hiyo maisha baada ya kifo ni mwendelezo wa awareness uliyotoka nayo kuku duniani..

sisi tunaonana kwa sababu tupo tunaview things katika mfumo wa 2D au 3D hivyo utakapokuwa na uwezo wa kuanza kuview things katika 5D au 8D hakika utakakuwa unaona species au creatures katika mfumo wa hali ya juu katika maono makubwa kabsa( na viumbe watakuwa wamegawanyika matika makundi tofauti tofauti depending na aina ya awareness muliyotoka nayo before death...

mfano mzuri ni uwepo wa Ghost Hitch hiker (mizimu inayotembea au kuwatokea watu) katika maisha yetu..mara nyingi mtu akifa anashift katika another plane of reality na huko anakuwa amekwenda anakuwa under guided by universal laws zinazoguide roho au mtu kuwa katika level ile na haiwezi kukuruhusu urudi tena duniani ( ndo mana mtu akifa amekufa,) ..there is no turning back unless it is hoax...
Aliyetunga hayo mambo aisee..( am kidding man)

Hivi ni kweli magape ya huku ndo magape baada ya this life...!!!??

Hivi wenye hela na wenye nguvu huku ndo watatuzidi zaidi after this life.

Sasa najiuliza hivi hitler atatufanya nini kwenye huo ulimwengu parralel? (Maana nahisi ntapangwanae parallel universe moja maana na me nnaviknowledge na viudiktete vya hapa na pale)

Hivi papa doc, yule wa haiti, atakuaje huko atakapowekwa?

Hivi idd amin si atakua moto wakuotea mbali, (nahisi ataagiza aletewe supu ya uncle magu).

Hivi nyerere atamtazamaje Sokoine (alivyokua mkali mmasai yule) na Karume.

Kwa jinsi T.A.G ilivyo sasahivi, naamini mzee kulola hawezi tumia tena jina hilo kwenye kanisa atakalo anzisha huko.

Aisee Osama atamwagia Obama upupu wa hatarii....

Daahh... yani sijui itakuaje, namuwaza Kinjekitile ngwale, Benito musolin...

Nadhani John Kennedy atalipiza kisasi huko.
 
Hii nayo imani kama zile zengine..Je unaamini?
Sababu ya kuamini hivyo ndio tatizo mkuu,ndiyo maana mwanzo niliuliza chanzo cha hii elimu(imani) ni kipi?

Mfano labda wakristo au waislamu,chanzo na sababu za kuamini maisha baada ya kifo inajulikana.
 
Kw mjibu wa Bible soma 1peter 3:18-19 utapata Jibu LA swali LA kwanz
 
Jibu la pili Ni rahis sana sema tu hauna elim na mambo ya kiroho
 
Ukiondoa neno mungu utaona maswali mengi unayajibu bila tatizo

Maswali kama kuna thawabu na dhambi au moto na mbingu yote yatakuwa yamepotea kichwani kwako kiuhaliisia hakuna mungu

Kama ukijiamini katika kichwa chako utafanya mambo makubwa na utakayoyataka akili yako ndio inayoamua uwe katika level ya uungu au mtu ila hakuna mungu
Ukiondoa mungu maswali yote yanaganda hakuna hata Moja utakaloweza kujibu.
Kila kitu kifanyikacho god is constant.
 
Sababu ya kuamini hivyo ndio tatizo mkuu,ndiyo maana mwanzo niliuliza chanzo cha hii elimu(imani) ni kipi?

Mfano labda wakristo au waislamu,chanzo na sababu za kuamini maisha baada ya kifo inajulikana.
Chanzo cha hii Elimu ni taarifa zote_ pindi zinapowekwa kwenye mpangilio

Waisilamu na wakristo wao si tatizo katika hili

Ni kama watu wanaocheza karata nao wakapewa mgawo wao wa kuchezea mchezo

Kuna Elimu za falsafa za magharibi na mashariki zote zimejaribu kwa sehemu yake kuelezea haya

Na kilicho cha Ajabu zaidi usahihi wa taarifa anao mpokeaji wa taarifa_shida inaanza hapo
 
mkuu hongera sana kwa swali lako japo lina utata na wengi huenda chaka kwa kufuata mafundisho ya vitabu vya dini..

Kwanza kabsa naomba nikujulishe kuwa ,katika ulimwengu unaoishi kuna layer nyingi sana zinazoruhusu life proliferation( muendelezo wa maisha) kulingina na concious awareness ya kiumbe atakayokufa akiwa nayo..

Siku nikipata muda nitatolea ufafanuzi juu ya parallel universe na zina kazi zake katika kuruhusu maisha yaendelee..

Kwanza kabsaa naomba nikuambie tu kuwa once a soul is created and formed,it can not be destroyed but it is transformed from one parallel universe to another ( nafsi yako inayohusiana na kubeba ufahamu wako ikishaubwa na kuruhusiwa kuja hapa duniani,hauliwezi kamwe kuharibiwa lakini itahamishwa makazi tofauti kutokana na ufahamu iliyopata kuujua hui ulimwengu ulivyo)

This is a great mystery...ni wachache wanalijua hilo..

Hivyo basi katika ulimwengu huu unaoishi ,kuna limwengu zingine nyingi tu ambazo zinaruhusu maisha ya nafsi na roho kuishi kulingana na uwezo ( concious awareness nafsi imepata kujua jinsi nature ilivyo)

Sisi binadamu tunaonana kwa sababu tunaoccupy two presences( uwepo wa soul form na body form) ,.

Hivyo ukifa roho yako na mwili wako hutengana ndipo rohoyako kuruhusiwa kuingia kweny universe yenye parallel flani ambayo inaruhusu soul(nafsi au awarenesa zenye level flani ya ufahamu)
Ikumbukwe kuwa kila concious awareness flani ina makazi yake( parallel universe flani) kulingina na concious awereness uliyopata kujua kabla hujafa.

unapozaliwa na kuanza kukua unakuwa unaona au unapersive vitu katika 2D( two dimension awareness) ila kadri unavyokua unaingia kwenye 3D na hapa ndi mwanadamu anakuwa na uwezo wa kuanza kutambua mazingira( manake nini wewe unaesoma hii thread upo katika 3D awareness)

ukifa tayari roho yako yenye subconcious form in nature inashift to another plane( universe nyingine yenye dimesion kubwa zaidi)

ukiwa kwenye dimension kubwa tayari unakuwa umeachana na plane moja ya universe na kuingia another plane of reality depending with your subconcious awareness uliotoka nao huko..
View attachment 864464
kwa hiyo ukifa unaingia kwenye higher dimensions of life form na kila plane of reality inahabour roho zenye conciousness flani ziliyotoka nayo huko duniani kwenye 3D ( three dimension awareness).
View attachment 864472

Hivyo basi kabla hujafa unapaswa kuwa umefikia level flani ya conciousness awareness ambayo itakufanya uweze kuingia kwenye plane ambayo ni more advanced than uliyokuwa nayo...hapa ndipo ule usemi unaosema kuwa when you attain knowlege ,you get awareness and this awareness will determine your life plane soon after death..

kwa hiyo maisha baada ya kifo yanaendelea kulingana na knowlege uliyotoka nayo..

Kuna watu wanawadanganya wengine kuwa eti ukifa au tukifa wote tunakuwa sawa,...no no no big no..kama ni hivo kina Billgate na Jeff bezos wasingekuwa bize kukusanya pesa na uelewa wa jinsi dunia ilivyo..

ifahamike kuwa mwenye pesa tayari anakuwa na access ya kujua jinsi ulimwengu ulivyo hence anakuwa na knowlege ya kutosha ya kumfanya aingie kwenye kwenye 5D before hata hajafa kitu ambacho kitamfanya atakapokufa atakuwa kwenye another higher level of dimensions kuliko mimi na wew Nampulilampi
Hivyo ni jukumu lako hasa kutafuta knowlege kubwa au uongeze maarifa juu ya jinsi ulimwengu ulivyo kwani ni faida kwako badae..
View attachment 864496

Unavyoona utofauti wa maisha huku duniani ndivyo ilivyo katika higher life dimensions baada ya kufa..usione wenye pesa wanazidi kununua ufahamu zaidi jinsi dunia au ulimwengu ulivyo halafu wew ukawadharau na kusema wote tutakufa..
by the way there is no death kama unavofikilia just transformation ya recognition katika awareness yako ambapo roho inaingia katika another level of dimensions baada ya kuachana na mwili..

View attachment 864497

kwa hiyo maisha baada ya kifo ni mwendelezo wa awareness uliyotoka nayo kuku duniani..

sisi tunaonana kwa sababu tupo tunaview things katika mfumo wa 2D au 3D hivyo utakapokuwa na uwezo wa kuanza kuview things katika 5D au 8D hakika utakakuwa unaona species au creatures katika mfumo wa hali ya juu katika maono makubwa kabsa( na viumbe watakuwa wamegawanyika matika makundi tofauti tofauti depending na aina ya awareness muliyotoka nayo before death...

mfano mzuri ni uwepo wa Ghost Hitch hiker (mizimu inayotembea au kuwatokea watu) katika maisha yetu..mara nyingi mtu akifa anashift katika another plane of reality na huko anakuwa amekwenda anakuwa under guided by universal laws zinazoguide roho au mtu kuwa katika level ile na haiwezi kukuruhusu urudi tena duniani ( ndo mana mtu akifa amekufa,) ..there is no turning back unless it is hoax...

Hizi n Kamba
 
Ukiondoa mungu maswali yote yanaganda hakuna hata Moja utakaloweza kujibu.
Kila kitu kifanyikacho god is constant.

Akili yako ndio itakayoamua ukae katika level gani iwe level ya uungu au mtu ila kiuhalisia huyo mungu wako hayupo

Hayo maneno si rahisi kuyaelewa kwa mtu wa kawaida ila ukipita mind bridge ukafika kwenye level za juu kwenye light na sound ndio utajua hakuna mungu

Kazi ipo kuvuka kwenye mind bridge kwenda kwenye level za juu
 
Chanzo cha hii Elimu ni taarifa zote_ pindi zinapowekwa kwenye mpangilio

Waisilamu na wakristo wao si tatizo katika hili

Ni kama watu wanaocheza karata nao wakapewa mgawo wao wa kuchezea mchezo

Kuna Elimu za falsafa za magharibi na mashariki zote zimejaribu kwa sehemu yake kuelezea haya

Na kilicho cha Ajabu zaidi usahihi wa taarifa anao mpokeaji wa taarifa_shida inaanza hapo
Mkuu hizi taarifa za maisha baada ya kifo zinahitaji imani tu,maana hakuna aliye experience hiki kitu kisha akaja na taarifa. Sasa kwa vigezo gani mtu anaweza kuzikusanya tu hizi taarifa na kuzipangilia?
 
Akili yako ndio itakayoamua ukae katika level gani iwe level ya uungu au mtu ila kiuhalisia huyo mungu wako hayupo

Hayo maneno si rahisi kuyaelewa kwa mtu wa kawaida ila ukipita mind bridge ukafika kwenye level za juu kwenye light na sound ndio utajua hakuna mungu

Kazi ipo kuvuka kwenye mind bridge kwenda kwenye level za juu
kuvuka mind bridge inamaana anafungua ubongo kusense uwepo wa vile zaidi ya 5 sense organ inavyo weza detect hivyo basi Watambuao uwepo wa mungu Ni wenyeakili kwa sababu wanasense (uwepo Na nguvu za mungu)zilizopo beyond their senses (ghaib)
 
Tatizo ni Moja tuu..watu wanaonekana primitive sana wakizungumzia kuhusu kuamini uwepo wa mungu..Na mambo yapo wazi.
Mtuu anaamini uwepo wa viumbe visivyoonekana (majini) lakini haamini uwepo wa mungu asieonekana ambae kaumba visivyoonekana
 
asante kwa kunirekebisha ila swali bado lipo pale pale MUNGU wetu anajua kuwa yupi ataenda motoni na yupi mbinguni??na kama anajua kwanini iwepo hukumu na kama hajui inamaana kuna vitu havijui
duhh!! that is a paradoxical premise!!
 
kuvuka mind bridge inamaana anafungua ubongo kusense uwepo wa vile zaidi ya 5 sense organ inavyo weza detect hivyo basi Watambuao uwepo wa mungu Ni wenyeakili kwa sababu wanasense (uwepo Na nguvu za mungu)zilizopo beyond their senses (ghaib)

Wanatambua hilo lakini unadhani kwanini hufundishwi madrasa au kanisani?

Hawakufundishi ili wapate kukutawala vzr maana ukija kujua hutakuwa unapeleka tena sadaka ili mchungaji au sheikh akuombee
 
Sasa utaabudu vipi masanamu.wakati hayana pepo wala moto?
Wakutoa hukumu ni mmoja tu nae ni mungu mwenyewe.
Mungu amesema ametuunba ili tuje tumuabudu.
Sio kuabudu masanamu
Sijakaa ila namaanisha kwanini nao wasipelekewe mjumbe kutoka kwa Mungu wa kweli ili waepukane na adhabu hio badala ya kuwaacha halafu waje kuchomwa?
 
mkuu hongera sana kwa swali lako japo lina utata na wengi huenda chaka kwa kufuata mafundisho ya vitabu vya dini..

Kwanza kabsa naomba nikujulishe kuwa ,katika ulimwengu unaoishi kuna layer nyingi sana zinazoruhusu life proliferation( muendelezo wa maisha) kulingina na concious awareness ya kiumbe atakayokufa akiwa nayo..

Siku nikipata muda nitatolea ufafanuzi juu ya parallel universe na zina kazi zake katika kuruhusu maisha yaendelee..

Kwanza kabsaa naomba nikuambie tu kuwa once a soul is created and formed,it can not be destroyed but it is transformed from one parallel universe to another ( nafsi yako inayohusiana na kubeba ufahamu wako ikishaubwa na kuruhusiwa kuja hapa duniani,hauliwezi kamwe kuharibiwa lakini itahamishwa makazi tofauti kutokana na ufahamu iliyopata kuujua hui ulimwengu ulivyo)

This is a great mystery...ni wachache wanalijua hilo..

Hivyo basi katika ulimwengu huu unaoishi ,kuna limwengu zingine nyingi tu ambazo zinaruhusu maisha ya nafsi na roho kuishi kulingana na uwezo ( concious awareness nafsi imepata kujua jinsi nature ilivyo)

Sisi binadamu tunaonana kwa sababu tunaoccupy two presences( uwepo wa soul form na body form) ,.

Hivyo ukifa roho yako na mwili wako hutengana ndipo rohoyako kuruhusiwa kuingia kweny universe yenye parallel flani ambayo inaruhusu soul(nafsi au awarenesa zenye level flani ya ufahamu)
Ikumbukwe kuwa kila concious awareness flani ina makazi yake( parallel universe flani) kulingina na concious awereness uliyopata kujua kabla hujafa.

unapozaliwa na kuanza kukua unakuwa unaona au unapersive vitu katika 2D( two dimension awareness) ila kadri unavyokua unaingia kwenye 3D na hapa ndi mwanadamu anakuwa na uwezo wa kuanza kutambua mazingira( manake nini wewe unaesoma hii thread upo katika 3D awareness)

ukifa tayari roho yako yenye subconcious form in nature inashift to another plane( universe nyingine yenye dimesion kubwa zaidi)

ukiwa kwenye dimension kubwa tayari unakuwa umeachana na plane moja ya universe na kuingia another plane of reality depending with your subconcious awareness uliotoka nao huko..
View attachment 864464
kwa hiyo ukifa unaingia kwenye higher dimensions of life form na kila plane of reality inahabour roho zenye conciousness flani ziliyotoka nayo huko duniani kwenye 3D ( three dimension awareness).
View attachment 864472

Hivyo basi kabla hujafa unapaswa kuwa umefikia level flani ya conciousness awareness ambayo itakufanya uweze kuingia kwenye plane ambayo ni more advanced than uliyokuwa nayo...hapa ndipo ule usemi unaosema kuwa when you attain knowlege ,you get awareness and this awareness will determine your life plane soon after death..

kwa hiyo maisha baada ya kifo yanaendelea kulingana na knowlege uliyotoka nayo..

Kuna watu wanawadanganya wengine kuwa eti ukifa au tukifa wote tunakuwa sawa,...no no no big no..kama ni hivo kina Billgate na Jeff bezos wasingekuwa bize kukusanya pesa na uelewa wa jinsi dunia ilivyo..

ifahamike kuwa mwenye pesa tayari anakuwa na access ya kujua jinsi ulimwengu ulivyo hence anakuwa na knowlege ya kutosha ya kumfanya aingie kwenye kwenye 5D before hata hajafa kitu ambacho kitamfanya atakapokufa atakuwa kwenye another higher level of dimensions kuliko mimi na wew Nampulilampi
Hivyo ni jukumu lako hasa kutafuta knowlege kubwa au uongeze maarifa juu ya jinsi ulimwengu ulivyo kwani ni faida kwako badae..
View attachment 864496

Unavyoona utofauti wa maisha huku duniani ndivyo ilivyo katika higher life dimensions baada ya kufa..usione wenye pesa wanazidi kununua ufahamu zaidi jinsi dunia au ulimwengu ulivyo halafu wew ukawadharau na kusema wote tutakufa..
by the way there is no death kama unavofikilia just transformation ya recognition katika awareness yako ambapo roho inaingia katika another level of dimensions baada ya kuachana na mwili..

View attachment 864497

kwa hiyo maisha baada ya kifo ni mwendelezo wa awareness uliyotoka nayo kuku duniani..

sisi tunaonana kwa sababu tupo tunaview things katika mfumo wa 2D au 3D hivyo utakapokuwa na uwezo wa kuanza kuview things katika 5D au 8D hakika utakakuwa unaona species au creatures katika mfumo wa hali ya juu katika maono makubwa kabsa( na viumbe watakuwa wamegawanyika matika makundi tofauti tofauti depending na aina ya awareness muliyotoka nayo before death...

mfano mzuri ni uwepo wa Ghost Hitch hiker (mizimu inayotembea au kuwatokea watu) katika maisha yetu..mara nyingi mtu akifa anashift katika another plane of reality na huko anakuwa amekwenda anakuwa under guided by universal laws zinazoguide roho au mtu kuwa katika level ile na haiwezi kukuruhusu urudi tena duniani ( ndo mana mtu akifa amekufa,) ..there is no turning back unless it is hoax...
Mmmmmh bado nipo njia panda japo nafahamu mtu akifa kinachokufa ni mwili si roho, roho bado inaendelea kuishi katika ulimwengu wa roho na baadaye kuhukumiwa kwa matendo yake
 
Kwan mkuu we c umesema Mungu wetu ni mmoja??
Kwan kuna ubaya gn hp
Mungu ni mmoja ila hawezi kuleta dini tofauti ili atuvuruge, dini ya ukweli ni.moja tu zingine ni uzushi wa wanadamu na mashetani wao. Ukiangalia manabii wote walielekezwa wamuabudu mungu mmoja na watende mema hapa duniani, so kagua dini inayofuata misingi hiyo. Kumbuka kumuabudu mungu hakuna wakala katikakati mfano kuamini mtu fulani anaweza samehe dhambi zako ukiungama kwake kwa niaba ya mungu akisema umesamehewa na ikawa hivyo hio si kweli, Mungu anaabudiwa direct na kuombwa msamaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom