mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,286
- 44,842
Mungu ni mmoja.Kwa iyo mkuu ni Mungu yupi atakaetoa hukumu
(A)Mungu anayeabudiwa na wakristo
(B)" " " " na waislam
(C)" " " " na ( wahindu, wachina n.k)
Yupi atakayetoa HUKUMU siku ya MWISHO???
Sisi binadamu ndo tunamtofausha kutokana na mapokeo tunayotapata kutoka kwa jamii zetu.
Mfano Mimi ni muislam.
Mungu tunamuita Allah.
Wakristo wanamuita yehova n.k
Lakini ndo huyo huyo.
Achana na Yale masanamu ya kihindi.