mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,626
Hizo picha mnaamini kweli toka lini wapenzi wakapigia picha sehemu tofauti hamuoni kweli vitambaa haviendani?
Nilitegemea kuona picha ya D akimla huyo dada ila hawana hata ya busu.
Hawatalala kuendelea kutubga na kutengeneza ili wapate mburulaz wa kukubaliana na wivu wao juu ya D waliemwacha wenyewe na bado wanamlilia.