Maimartha wa Jesse kuchambwa na #teamWema

Maimartha wa Jesse kuchambwa na #teamWema

Hahahaj

Tena nimeona ig ya kule hudda alipoiba picha wamemtag mange kwa juhudi zote

Nahisi atakuwa kesha download

Ingawa huddah mjanja nahisi kaifuta hiyo posti...... maanza kuamini maneno ya mange haka katoto ni kapunda plus kauza papuchi

Mi nishaamin kua ni punda na mabuzi tu ,,,kazifutaa hhhhhaaaa chezeaaaaaaaa
Hiv faiza ana buzi lipi hilo shosti naona dubai mara china mmmmmhh au ndio kujiuzaaa,naona husna mke mwenzie na lulu nae yupo brazil heheeeee uwiiiiiiiiiii kazi poo
 
Kazi kwani kidogo

Faiza niliona aliposti mkono tu wa huyo mwanaume...umejaA misuli tu

Husna simsomi na huko brazil....
Mie nina mashak ma sembe na hoci mfadhili hayupo mmmmh

Ngoja warumi aje atupe ubuyu
 
Last edited by a moderator:
Kazi kwani kidogo

Faiza niliona aliposti mkono tu wa huyo mwanaume...umejaA misuli tu

Husna simsomi na huko brazil....
Mie nina mashak ma sembe na hoci mfadhili hayupo mmmmh

Ngoja warumi aje atupe ubuyu

Tutajioneaaa subiriiii tu
 
Last edited by a moderator:
Hyo apo
 
Attachments

  • 1432054507850.jpg
    1432054507850.jpg
    14.6 KB · Views: 1,045
Halooooh hlo jiso hzi cream
 
Attachments

  • 1432054602909.jpg
    1432054602909.jpg
    15.9 KB · Views: 1,003
chezea mkorogo kachabwa hadi kasalenda

Na yeye ni hovyo tu mana naona ni mtu mzima lakini anahangaika na hizo team. Na akomeshwe tu kama hapendi team flani hakupaswa kuziita hilo neno.
 
chezea mkorogo kachabwa hadi kasalenda

Nimeona chief 😂😂 ila as much as team zote zinqnikera IG ila kuna watu acha tu vichambo viwahusu.. maana mtu unashindwa kujiheshim acha vitoto vya form two B vikuadhiri
 
Katika woote,Mange akikuchamba unaeza ulie jaman!" hilo gazet akishusha na evidence za picha na sms lol unaeza ficha uso ardhini ukabaki kiwili wili tuu
 
Nimeona chief 😂😂 ila as much as team zote zinqnikera IG ila kuna watu acha tu vichambo viwahusu.. maana mtu unashindwa kujiheshim acha vitoto vya form two B vikuadhiri

Yule mai hajieshimu wema na aunt kugombana badala yakuwapatinisha kazi yake kuwagombanisa acha achabwe mtu mzima hovyo
 
Na yeye ni hovyo tu mana naona ni mtu mzima lakini anahangaika na hizo team. Na akomeshwe tu kama hapendi team flani hakupaswa kuziita hilo neno.

Tatizo sio team anachochea ugomvi wa aunt na wema na kujifanya kumtusi mama ubaya mwisho wa cku wamepatana kaambulia vichambo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom