Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,338
nifah hebu nipe ubuyu kule kwa pm tayari.
Hahahahahaa Diva Beyonce umenichekesha balaa...haya ngoja nakuja.
Last edited by a moderator:
nifah hebu nipe ubuyu kule kwa pm tayari.
Hebu nenda kwanza Ig kwa Badilika_ubadilishwe.....watu wanavuliwa nguo kule.....makalio njeeeeee.
Afu ndo tuendelee kwanza.
Kumbe Dc anakula tako...uwiiiii
Haya nakusubiri mwaya.Japo naona umeshanichomesha mahindi tayari..
Usinisahau na mimi jamani
Mkuu niliyoyaona hko ni balaa najuta kuyaona mweh!!!
Kusutwa sunna atiii...😀