Maimartha wa Jesse kuchambwa na #teamWema

Tatizo sio team anachochea ugomvi wa aunt na wema na kujifanya kumtusi mama ubaya mwisho wa cku wamepatana kaambulia vichambo

Hata mimi nilivomuona. Mana walikua na Anti kwenye baby shower badala awashauri wapatane. Mai ndo mbovu kuliko hao alio Watusi kwa mtu mzima vile.
 
Yule malaya tu kazi yake kuuzia watu mikorogo na michina yeye kashindwa kujipendezesha bila make up hatoki nje kachochea mwisho wa cku wamepatana
 
Unaguna nini? Mwenzio nasubiri nipate hiyo screen shot ya maimatha anavyodai kua alimuuzia dawa wema ya kukuza makalio.
Mjini hapa kuna mambo sana.

Ujue hizi haraka wakati mwingine zinaponza nifah, ujue sikuona hiyo m kwenye hilo neno la mwisho ndo maana nilikuandikia vile kuleee khaaa!! hata nilivyokuja kuguna bila sijagundua kosa langu

Sasa hivi unavyoniuliza unaguna nini ndo eti nimerudi kusoma vizuri, khaaaa!! sorry mai dia
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahaa sasa hivi ndio nimejua ulikua unataka kumaanisha nini!
Nimejikuta nacheka sana baada ya kurudia ile post yangu ya mwanzo.
 
Umeona eeh! we acha kabisa mi mwenyewe nilicheka sana mwanzoni nilipokusoma (nikiwa na ile maana yangu kichwani) halafu nikajifanya kupita kimya kimya bila kugonga like wala kukwoti. Na hivi post nyingi zilikuwa zinaongelea hiyo kitu, ndo kabisa sikuwa na shaka na kile nilichokwisha weka kichwani!!

Sasa ulivyonishangaa naguna nini ndo nikarudi kusoma tena, daah nakuta kitu tofauti kabisa, si ndo nikaishiwa pozi!!!
 
Mhhhhh! Kumbe ni kweli wema alitumia mchina? Maajabu haya.
Ngoja aoze ndio atatia akili.

Kwa haya maneno ya mai na mimi sasa naanza kuamini alitumia mchina, mwanzoni watu walivyosema sema nikawa napuuzia nikidhani labda ni haters wake wanamzushia

Ila nilivyovuta picha yake zamani zile alivyokuwa mwanzo na sasa hivi naona kuna ukweli fulani hivi. Unajua liliumuka ghafla bin vuu!!!
 
hao mashabiki wa wema wamekosa kazi ya kufanya isitoshe huyo wema hamfahamu ata mmoja hapo.east vijana wenzangu wanapoteza muda kwa kitu cha kijinga
 
Wema alisafiri na shabiki kiondozi dogi kwenda mwanza picha zao zino humu jf.
 
Umeona eeh! we acha kabisa mi mwenyewe nilicheka sana mwanzoni nilipokusoma (nikiwa na ile maana yangu kichwani) halafu nikajifanya kupita kimya kimya bila kugonga like wala kukwoti. Na hivi post nyingi zilikuwa zinaongelea hiyo kitu, ndo kabisa sikuwa na shaka na kile nilichokwisha weka kichwani!!

Sasa ulivyonishangaa naguna nini ndo nikarudi kusoma tena, daah nakuta kitu tofauti kabisa, si ndo nikaishiwa pozi!!!

Hahahahahaaa ujue mwanzo ulivyoguna nilishangaa maana sikuona tatizo.Sasa leo nimechekaje? Umejua kunifurahisha maana JF sasa hivi naichukia kutokana na wanavyozingua.
 
Kwa haya maneno ya mai na mimi sasa naanza kuamini alitumia mchina, mwanzoni watu walivyosema sema nikawa napuuzia nikidhani labda ni haters wake wanamzushia

Ila nilivyovuta picha yake zamani zile alivyokuwa mwanzo na sasa hivi naona kuna ukweli fulani hivi. Unajua liliumuka ghafla bin vuu!!!

Ujue hata mimi japo simkubali huyu dada lakini hili jambo nilikua sijaliafiki kabisa.Ila hii habari imenipa nguvu ya kuamini.Muuzaji keshasema, tunataka ushahidi gani?
Haya mambo hua yananipa wakati mgumu sana kuamini.Labda sabab sijawahi kusikia kutoka kwa mtumiaji wa hizo mavitu ya kichina.
 
Let us wait and see, kama ni kweli kalio likishaanza kubuma tutajua tu, na alivyozugukwa na wambea wenzie ndo kabisa tutapata habari tena zikiwa bado za moto moto
 
Hahahahahaaa ujue mwanzo ulivyoguna nilishangaa maana sikuona tatizo.Sasa leo nimechekaje? Umejua kunifurahisha maana JF sasa hivi naichukia kutokana na wanavyozingua.

Yaani we acha tu, haraka hizi zimeniumbua mpaka najicheka mwenyewe yaani.......nakwambia nilivyoisoma mwanzoni nikajisemea moyoni naona leo nifah kaamua kulitamka zima zima khaa!! basi nikapita kimya kimya nisikustue, sasa ulivyonibamba kule, ukanipa moyo nikasema ngoja na mimi nikakuumbue sasa ngoma iwe droo, kumbe khaa nimeingia chaka!!! Haaaah akyanani
 
Zipo uzi gani?
Nilipitwa

Ngoja nitautafuta ulikuwa mrefuuuuu nitakuita

Ni wakati ule ameenda Mwz wema juzi chotara mmoja humo, whabari yote ilitoka insta kama kawa. Dog alitusha wenzake wawili akiweno wema ila yeye hakujitoa.

Nipo now nasoma uondo wa insta na kule kwa mange, mange kakosea kazania missy temeke ni who_iz_the_boss wa insta kamtusi kwenye blogi yake kumbe duh who_iz kamuumbua kuwa sio yeye

Ngoja nicheke nisizeeke
 
Back
Top Bottom