Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 948
- 1,895
mm nimekulia hapo mtaa wa afya enzi zile bado hawajawekapo hata soko tukahamia nimwenyeji sana maana ndo home boyMelerani, mnadani, stamico, maseason, mchangani, mtaa wa afya, kaduda, and so on......
Wewe sio mzalendo kabisaMimi sina pesa mkuu. 😊
Hawana huruma kabisaKwa sababu tuna date mchwa
Utaratibu wa kumiliki duara ukoje?mm nimekulia hapo mtaa wa afya enzi zile bado hawajawekapo hata soko tukahamia nimwenyeji sana maana ndo home boy
humu jf ni watu waugwana sana kwenye hao sita weka namba ya warembo 5 wana jf wakupunguzie majukumu au wew unasemajeNichangieni ata buku buku basiii
duu sawa kbs ila uhai pekee haitoshi kuwa zawadi maana utauona mchunguZawadi kubwa kuliko zote duniani ni uhai ulionao tu.
Aaaah¡ ok. kwani bado uko katoro!mm nimekulia hapo mtaa wa afya enzi zile bado hawajawekapo hata soko tukahamia nimwenyeji sana maana ndo home boy
katoro hakuna machimbo mkuu katoro ni kwaajili ya kutumia pesa kuchimba ni huko nyarugusuUtaratibu wa kumiliki duara ukoje?
Kwani mtaa wa afya kuna maduara?Utaratibu wa kumiliki duara ukoje?
Naunga hojaNyeto ni jambo jema kwa kila mtu mwenye akili timamu 😎
Zaidi ya hicho hawana kingineWanachochangia kwenye mahusiano ni mbususu tu aseeh muamshe vichwa vyenu hahahaha
ndy nipo mtaa wa afya karibu na pharmacy ya alphonceAaaah¡ ok. kwani bado uko katoro!
Kuna jamaa yangu yupo nyarugusu alikuwa ananambia ashawahi kuingia duara ya mita 400 kwenda chini... duh¡katoro hakuna machimbo mkuu katoro ni kwaajili ya kutumia pesa kuchimba ni huko nyarugusu
Wa humu siwaamini, yaani wakaweke miguu yao nilipoweka mimi!humu jf ni watu waugwana sana kwenye hao sita weka namba ya warembo 5 wana jf wakupunguzie majukumu au wew unasemaje
Itabidi unitafutie chimbo huko nyarugusu, nimechoka kudharauliwa mjinikatoro hakuna machimbo mkuu katoro ni kwaajili ya kutumia pesa kuchimba ni huko nyarugusu
unajua wanaume tunapitia magumu sana na bado mwanamke anakuomba hela daaahKuna jamaa yangu yupo nyarugusu alikuwa ananambia ashawahi kuingia duara ya mita 400 kwenda chini... duh¡
Ooooh! basi ni jambo jema, kama tutakuna kwenye hiyo junction ya ushirombo to Rwamgasa maana mimi niko stamico karibu na vibes fm.ndy nipo mtaa wa afya karibu na pharmacy ya alphonce
Ulizia ulizia pale kwa mwenyekitiKwani mtaa wa afya kuna maduara?
mkuu mbona umeanza ubinafsi kizuri kula na wenzakoWa humu siwaamini, yaani wakaweke miguu yao nilipoweka mimi!