Mahusiano yanakula hela, si mchezo!

Papuchi unaipenda kulipia hutaki,na papuchi sita zote za nini?
 
Ukifika kwa sir god kuna zawadi yako kakuandalia maana umejua kumuheshimisha kama mwanaume
Zile ni hadithi za kusadikika, ukimkanyaga mende akifa, kule anapoenda na wewe utaenda huko huko ukifa; haya mambo ya kujipa matumaini hewa ni biashara za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…