Mahusiano na Mtoto wa Mwenye Nyumba

Kuoa haimaanishi kupenda unaweza ukatamani ukaoa.

Umeongea vema angelita.. kuna tatizo la maana halisi ya kupenda na kutamani hapa.. Unaweza kutamani hata wanawake mia.. Lakini ukawa na mmoja ambae ukimuwaza tu tabasamu linakuja usoni kwako.. Ambae kujaamiana nae ni kitu cha ziada.. Unapokuwa down kitendo cha kumfikiria unapata faraja.. Ambae unapenda akae pembeni yako bila ya kikomo.. Huko ndo kupenda..

Kutamani kunahusisha kujamiiana zaidi kuliko kuongea.. kutoka.. kupeana faraja na mengi yafananayo.. Ukumbuke kijana tamaa mbele mauti nyuma..
 
Last edited by a moderator:
Kamkubwa yaani unaomba ushauri eti nikamue?

Kamua fasta kabla hajaanza kukuletea dharau maana wana dharau hao.

ukimwacha utaskia stori za kukudhalilisha kwa watu cha kufanya piga kimyakimya alafu mpotezee kama huna mpango nae.
:becky:
 
Mimi ni kijana ninayeishi peke yangu kwenye nyumba ya kupanga ambayo mwenye nyumba naye anaishi hapo na familia yake, tumetengwa na Ukuta tu.

Hivi majuzi mtoto wa kike wa mama mwenye nyumba alirudi kutoka chuo kwa ajili ya likizo. Nilijikuta tunafahamiana na kuzoeana na binti huyo kwa kasi hadi tukaanza kutoka out bila wazazi wake kujua. Hatimaye tukajikuta tunaanza kuonyeshana hisia kali za mapenzi na sasa kilichobaki ni kupiga mzigo tu, Je nikamue?

Kuna madhara yoyote endapo nitaamua kula tunda? Kwa upande mwingine nina mpenzi wangu wa miaka mitatu, wote nahisi nawapenda!

Ushauri Please!

Nishakutabiria kuihama nyumba na kusamehe kodi....
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1417556419.936374.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1417556419.936374.jpg
    48.6 KB · Views: 126
Mimi ni kijana ninayeishi peke yangu kwenye nyumba ya kupanga ambayo mwenye nyumba naye anaishi hapo na familia yake, tumetengwa na Ukuta tu.

Hivi majuzi mtoto wa kike wa mama mwenye nyumba alirudi kutoka chuo kwa ajili ya likizo. Nilijikuta tunafahamiana na kuzoeana na binti huyo kwa kasi hadi tukaanza kutoka out bila wazazi wake kujua. Hatimaye tukajikuta tunaanza kuonyeshana hisia kali za mapenzi na sasa kilichobaki ni kupiga mzigo tu, Je nikamue?

Kuna madhara yoyote endapo nitaamua kula tunda? Kwa upande mwingine nina mpenzi wangu wa miaka mitatu, wote nahisi nawapenda!

Ushauri Please!
hizo tamaa kaka
 
yaan ww hata hujielewe hapa duniani unafanya nini,nyie ndo ashk majinun
 
....mzee mwenye nyumba si anakukamua kodi

take this as a life cycle

lipa kodi in time, ili binti aweze timiziwa hela zake za kujikimu chuoni, afu hapa nawewe una step in
mkamue to the maximumm....ili uwe una muagiza akununulie mahitaji madogo madogo ya humo geto, kama gesi ikiisha, mboga apike mara moja moja, na viboxa na vishati vya kuzugia:becky:
 
Mimi ni kijana ninayeishi peke yangu kwenye nyumba ya kupanga ambayo mwenye nyumba naye anaishi hapo na familia yake, tumetengwa na Ukuta tu.

Hivi majuzi mtoto wa kike wa mama mwenye nyumba alirudi kutoka chuo kwa ajili ya likizo. Nilijikuta tunafahamiana na kuzoeana na binti huyo kwa kasi hadi tukaanza kutoka out bila wazazi wake kujua. Hatimaye tukajikuta tunaanza kuonyeshana hisia kali za mapenzi na sasa kilichobaki ni kupiga mzigo tu, Je nikamue?

Kuna madhara yoyote endapo nitaamua kula tunda? Kwa upande mwingine nina mpenzi wangu wa miaka mitatu, wote nahisi nawapenda!

Ushauri Please!

Kamua pia andaa ky na wewe uakmuliwe na baba mwenye nyumba
 
....mzee mwenye nyumba si anakukamua kodi

take this as a life cycle

lipa kodi in time, ili binti aweze timiziwa hela zake za kujikimu chuoni, afu hapa nawewe una step in
mkamue to the maximumm....ili uwe una muagiza akununulie mahitaji madogo madogo ya humo geto, kama gesi ikiisha, mboga apike mara moja moja, na viboxa na vishati vya kuzugia:becky:

Hii ndo advantage nayogain ktk nyumba niliyopanga

yan mahitaj madogo namwagiza tu wazee wasipokuwepo nguo zote anafua na chakula anapika.........
 
Mkuu naona wengi wanakushauri upige tu, mbona hawakushauri ukapime ngoma?? Chukua tahadhari UKIMWI upo mkuu. Tulia na mpenzi wako, andaa familia nzuri ya baadae. Baki njia kuu kwa afya yako na ya mpenzi wako
 
Back
Top Bottom