Mkulu p
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 630
- 219
Nimeuliza kupenda sio kuoa ilo sio jibu.
Oh kumbe wanaoa wasio wapenda

Kupenda na kuoa haviingiliani Mkuu, kuoa hakumaanishi ndio kupenda, kama ilivyo kwenye vitu kuna kingine unakinunua kwasababu unakipenda na kingine unakinunua kwasababu umekitamani/kimekuvutia.
Ila linapokuja kwenye mapenzi sidhani kama inawezekana kupenda watu wawili, lazima kuna mmoja katamaniwa au wote wametamaniwa.
Mimi ni kijana ninayeishi peke yangu kwenye nyumba ya kupanga ambayo mwenye nyumba naye anaishi hapo na familia yake, tumetengwa na Ukuta tu.
Hivi majuzi mtoto wa kike wa mama mwenye nyumba alirudi kutoka chuo kwa ajili ya likizo. Nilijikuta tunafahamiana na kuzoeana na binti huyo kwa kasi hadi tukaanza kutoka out bila wazazi wake kujua. Hatimaye tukajikuta tunaanza kuonyeshana hisia kali za mapenzi na sasa kilichobaki ni kupiga mzigo tu, Je nikamue?
Kuna madhara yoyote endapo nitaamua kula tunda? Kwa upande mwingine nina mpenzi wangu wa miaka mitatu, wote nahisi nawapenda!
Ushauri Please!

Kuna mmoja unamtamani, haumpendi! Ila hawa watoto wa kike wa wenye nyumba wanatabia ya kujileta leta, wee kung'uta tu, mambo yote yawe chini ya kapeti..
Kamua tu na uhakikishe maji yote yamekauka kabla ya kuanika...
Ulaji wa matunda unaongeza vitamini C hivyo usiache kula matunda kwa ulinzi wa afya yako...
Mimi ni kijana ninayeishi peke yangu kwenye nyumba ya kupanga ambayo mwenye nyumba naye anaishi hapo na familia yake, tumetengwa na Ukuta tu.
Hivi majuzi mtoto wa kike wa mama mwenye nyumba alirudi kutoka chuo kwa ajili ya likizo. Nilijikuta tunafahamiana na kuzoeana na binti huyo kwa kasi hadi tukaanza kutoka out bila wazazi wake kujua. Hatimaye tukajikuta tunaanza kuonyeshana hisia kali za mapenzi na sasa kilichobaki ni kupiga mzigo tu, Je nikamue?
Kuna madhara yoyote endapo nitaamua kula tunda? Kwa upande mwingine nina mpenzi wangu wa miaka mitatu, wote nahisi nawapenda!
Ushauri Please!
Hivi inawezekana kupenda watu wawili???????
Epuka michepuko baki njia kuu