Mahusiano na Mtoto wa Mwenye Nyumba

Mkuu mimi nkushauri achana na huyo binti wa mama mwenye nyumba.......hizo ni tama za kimwili tu.....kumbuka wazuri hawaishi kila siku wanazaliwa wapya.....hebu jiulize uta cheat mpaka lini....?? muheshimu mpenzi wako na uthamini hisia zake...kwanza ya kabla ya kumsaliti hebu jaribu kukaa nafasi ya mpenzi wako ungejisikiaje.............????
 
Kuna mmoja unamtamani, haumpendi! Ila hawa watoto wa kike wa wenye nyumba wanatabia ya kujileta leta, wee kung'uta tu, mambo yote yawe chini ya kapeti..
 
Mkuu mimi nkushauri achana na huyo binti wa mama mwenye nyumba.......hizo ni tama za kimwili tu.....kumbuka wazuri hawaishi kila siku wanazaliwa wapya.....hebu jiulize uta cheat mpaka lini....?? muheshimu mpenzi wako na uthamini hisia zake...kwanza ya kabla ya kumsaliti hebu jaribu kukaa nafasi ya mpenzi wako ungejisikiaje.............????

Huu unaweza ukawa ushauri mzuri zaidi..Thanx
 
Mimi ni kijana ninayeishi peke yangu kwenye nyumba ya kupanga ambayo mwenye nyumba naye anaishi hapo na familia yake, tumetengwa na Ukuta tu.

Hivi majuzi mtoto wa kike wa mama mwenye nyumba alirudi kutoka chuo kwa ajili ya likizo. Nilijikuta tunafahamiana na kuzoeana na binti huyo kwa kasi hadi tukaanza kutoka out bila wazazi wake kujua. Hatimaye tukajikuta tunaanza kuonyeshana hisia kali za mapenzi na sasa kilichobaki ni kupiga mzigo tu, Je nikamue?

Kuna madhara yoyote endapo nitaamua kula tunda? Kwa upande mwingine nina mpenzi wangu wa miaka mitatu, wote nahisi nawapenda!

Ushauri Please!

Yaani kweli mpenzi wako wa miaka mitatu anaweza fanana na upendo ulionao kwa mwanamke mliekutana nae hivi majuzi tu.

Kiufupi, hujaijua bado falsafa nzima ya mapenzi na mahusiano. kajifunze
 
Bwana Trapeza ukidate na huyo bint haya yanakukaribia.
. Kupewa notice mda wowote
. Kuozeshwa huyo binti
. Kuvuruga uhusiano wako na mpenz wako.
.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom