EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
Unataka kupima plagiarism?Mbona umecopy na kupaste bila citation?
Labda ndiye mwandishi aliyefurumishiwa lugha za kuudhi na Andrea!Mbona umecopy na kupaste bila citation?
Chezea kukatwa wewe 🤣Ni kukosa ustaarabu na kiburi cha kijinga.
Hayo siyo maswali ya kumtoa povu kiasi hicho.
angemkata kibaohuyu mzee kwa majibu mabaya huwa namkubali saaana.
Tena kamstahi Sana huyo mwandishi wa habari.
Jizi na jambazi hatari kwa pesa za umma wa Watanzania.