Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,779
- 1,119
Hasira zinakuja kutokana na vijiswali vya hawa waandishi wetu wenye uwezo mdogo wa kuframe maswali! Mara utasikia ni CHANGA MOTO IPI.
Kila muuliza swali amekariri maneno hayo!
Ukiwaabia nendeni mkasome zaidi hawataki!
Kila muuliza swali amekariri maneno hayo!
Ukiwaabia nendeni mkasome zaidi hawataki!