MAHINGILA of BRELA: Another dodgy CEO

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Hawa jamaa wa BRELA wametumia BILIONI 1 kununua software ( kuna taarifa ni kwa njia ya utatanishi kwani haikutangazwa hata hiyo tenda)

bonyeza section ya services kwenye hii website below utanielewa:
BRELA-C.E.O Message

Sijajua 1 billion kununua software ni justifiable in this day and age ambayo hizi software ziko so cheap na hata kama ni ku carter for local market i still think that was too much

Anyway the whole point ya kuna na hii software tulitakiwa tuwe na uwezo wa kufanya mambo makuu yafuatayo:

1. COMPANY NAME SEARCH ONLINE: ( bure huna haja ya kutoa 50,000) dirishani kuangalia majina

2. KUPATA FORMS ZA KUJAZA IN PDF FORMAT ONLINE

3. KUJUA COMPANY DIRECTORS/ADDRESS ZA KAMPUNI ZOTE ZINAZO OPERATE TANZANIA

4. KUREGISTER KAMPUNI WITHIN 1 HR

5 . KUFANYA RETURNS ON TIME ONLINE

Sasa cha ajabu ni kuwa tunaambiwa hayo yote yanawezekana lakini the company that has been given the tender wanasema eti kuregister kampuni itachukua 3 DAYS!

Really? why 3 days wakati software inafanya kazi?

Unless MAHINGILA knows something that we dont lakini hatuwezi kuwa competitive kibiashara kwa mipango kama hii isiyoeleweka

wenye hii kampuni inayofanya web design nadhani ndio hawa hapa chini:

clients2.jpg

: : SURA : :

na address yao hii hapa:

SURA
Opp.Akbar Studio
Zanaki Street
Dar-Es-Salaam,
Tanzania
Ph: 2131605, 2131608
Contact Persons :
Mr.V.Ramadhar Reddy (C.E.O),email:ramadhar@sura-tz.com.
Mr.A.Prakash Yadav(Manager),Email:prakash@sura-tz.com.
Mr.Edmund Safari Mbao (Business Development Manager),email:safari@sura-tz.com

ohhh hao jamaa waliopewa tenda wanaitwa MAWALLA

Soma hapa:

The East African: *- Business*|You can now register your firm in 3 days

Meanwhile kule RWANDA waoa wanafanya hivi:

wana calculate incase ukienda in person hutokaa dirishani zaidi ya 5 minutes

au unaweza kuregister kampuni online and it wont take more than 15 minutes

ushaidi uko hapa:
Business registration : Register a company : Register a domestic company : E-REGULATIONS RWANDA

Unless Mahingila knows something we dont lakini I think he's not up to the job!
 
Kwa mwendo huo hatufiki.

Inawezekana kuna fungu la pesa limechakachuliwa hapo au na yeye ameingizwa chaka kwa kuuziwa software bei kubwa namna hiyo.

Inabidi mmuhoji kwanini objectives zenu za kununua hiyo software hazijawa achieved? Kama amenunua kitu chini ya kiwango means ameuziwa kwa bei rahisi.

Angalieni receipts na madocument mengine mhakikishe kwanza. Arudishe chenji haraka.
 
mkuu.... concern yangu kubwa hapa ni kwamba kuna conflict of interests.... Nyaga Mawalla of Mawalla Group ana mahusiano ya kiuzazi na Assistant Registrar wa BRELA ...

Je, MAWALLA Group wamepata hiyo tender kwa kufuata sheria na kama ndio... je? wata deliver bila kukiuka taratibu kutokana na mahusiano ya binafsi baina ya supplier na client
 
mkuu ...sliding roof... ngoja nikumegee... Nyaga Mawalla of MAWALA Group and Mawalla Advocates nimesoma nae ilboru high school nikiwa one year ahead ..... Nyaga Mawalla amezaa na Rehema Kitambi ambaye ni assistant Registrar wa BRELA ...i am finished

MMhhhh Hili linchi sijui linaelekea wapi, yaani kila sehemu ukianza kuunganisha dots utakuta undugu tu! angalia hata PPF wamejazana kwa kuvutana kindugundugu.
 
Hivi nchi hii bila wahindi haiendi? Nyie ma CEO kwa nini hamuwapi watanzania biashara?

Contact Persons :
Mr.V.Ramadhar Reddy (C.E.O),email:ramadhar@sura-tz.com.
Mr.A.Prakash Yadav(Manager),Email:prakash@sura-tz.com
.
Mr.Edmund Safari Mbao (Business Development Manager),email:safari@sura-tz.com
 
Kwa mwendo huo hatufiki.

Inawezekana kuna fungu la pesa limechakachuliwa hapo au na yeye ameingizwa chaka kwa kuuziwa software bei kubwa namna hiyo.

Inabidi mmuhoji kwanini objectives zenu za kununua hiyo software hazijawa achieved? Kama amenunua kitu chini ya kiwango means ameuziwa kwa bei rahisi.

Angalieni receipts na madocument mengine mhakikishe kwanza. Arudishe chenji haraka.
Angalieni hata features za hiyo software ni kichekesho tu, kama hamuamini ingieni kwenye hiyo website mtashuhudia vitu vinavyotangazwa kwenye TV na News Papers kila kukicha!
 
This is yet another milestone in our endeavours to bridge the communication gap between ourselves and our customers and our general stakeholders.

It was discovered during BRELA strategisation process that, BRELA badly needed the views and opinions of its customers and stakeholders for rendering effective, efficient and accurate services.

The major task towards that end, was therefore, to clear the communication barriers and bridge up the gap, through among other means, initiating a sustainable dialogue with our customers and stakeholders, particularly on how they wished to be served.

Among the concrete steps so far taken, include the convention of customers and stakeholders meeting with BRELA, BRELA's participation in Trade fairs, the use of both electronic and print media with a view to providing public education and awareness specifically tailored to meet our customers and stakeholders requirements. Collection of customers' and stakeholders' views through questionnaires and use of same as inputs in our service rendering strategies and plans. So far the results are very much encouraging and there has been a tremendous reduction in complaints.

We are happy to introduce this website which we are sure is reaching many customers and stakeholders within Tanzania and abroad. The information contained in this site will not only quench the information thirst which perpetually bothered and disturbed them, but also opens up another avenue through which such customers and stakeholders will easily access information on BRELA and even have some online services in a foreseable future. If you have any comment we value it. Please let us have it through contacts on this site. Enjoy your surf. (surfing???)

Thank you very much.
Esteriano E. Mahingila

Bwana Mahingila naomba urudi darasani kusoma kiingereza....hujachelewa...hii ndio sababu wawekezaji makini hawaji Tanzania kutokana na mambo kama haya
 
mkuu.... concern yangu kubwa hapa ni kwamba kuna conflict of interests.... Nyaga Mawalla of Mawalla Group ana mahusiano ya kiuzazi na Assistant Registrar wa BRELA ... je? MAWALLA Group wamepata hiyo tender kwa kufuata sheria na kama ndio... je? wata deliver bila kukiuka taratibu kutokana na mahusiano ya binafsi baina ya supplier na client

kwakweli hapo ni utata mkubwa.
Maana supplier na client kama tena wana mahusiano hayo nalazimika kuamini kuna kajimchezo hapo.
Maevidence yakusanywe halafu hatua zichukuliwe.
Tusiwalaumu kwanza direct labda kama huyo jamaa ana madudu mengine.
 
Mkuu....

Rehema Kitambi ni Assistant Registrar wa BRELA - Client.... Nyaga Mawalla ndiyo CEO wa MAWALLA Group.... Supplier (investor in terms of Public Private Partnership) Nyaga na Rehema ni wazazi .. wana mtoto..
the unfold story is....

Nyaga na Rehema wameanza urafiki wa kimapenzi tangu Arusha School kwenye miaka ya 1984-85 ..... wamekuwa wapenzi University of Dar es salaam wakiwa wote kitivo cha sheria miaka ya 1994-95..... wamemaliza pamoja Nyaga amerithi kampuni ya Sheria ya Baba yake... na Rehema ameajiriwa BRELA....

Do we have any confidence with the practices under these circumstances....? I completely doubt
 
Hivi nchi hii bila wahindi haiendi? Nyie ma CEO kwa nini hamuwapi watanzania biashara?

Contact Persons :
Mr.V.Ramadhar Reddy (C.E.O),email:ramadhar@sura-tz.com.
Mr.A.Prakash Yadav(Manager),Email:prakash@sura-tz.com
.
Mr.Edmund Safari Mbao (Business Development Manager),email:safari@sura-tz.com
Kwani hujui ni wahindi ndo wameleta rushwa Tz enzi za mzee ruksa.

Kwani hii ina tofauti gani na ila ya kununua ndege pale akina Mattaka walipoamua kutafuta dalali wa kunua ndege ya ATC? Kama boeing na airbus wangekubali huo ushenzi lazima agenti angekuwa mhindi kwa sababu ndo wanajua kutoa hongo vizuri.

Hawa dawa yao ni kuwapiga marufuku kushirikishwa kwenye biashara yoyote na serikali maana ni washenzi. wtz tulikuwa hatujui rusha kubwa kama za leo zetu zilikuwa za mahakamani na hospitali leo hii watu wanauza nchi kupitia hawa magabachori.

Mtikila alikuwa sahihi. Dawa yao iko jikoni ikifika 2015 itakuwa ilishaiva ndipo watakaporejea Canada walikopeleka mali zetu. Lakini nguvu yetu haitapotea bure lazima tuondoke na mtu ati!
 
Kma mmetembelea BRELA ya RWANDA wao wana same softare kama yetu lakini wao wako more transparent

hii yetu uaona BRELA wanawauzia forms za kawaida

angalieni wizi kwenye hii document:

http://www.brela-tz.org/FEES.pdf

Hivi idara hii ya serikali inatulipisha malipo mengine in dollars mengine in Tshillings

malipo mengine wizi mtupu

Hivi kufanya filing ya mwaka kama mtu hujafanya biashara bado unaambiwa ulipie

ukitaka risiti baada ya malipo yoyote Brela Mahingila na watu wake wanataka pesa...15,000 Tshillings

Annual Returns ...15,000

search wanataka 2,000...sasa cha kujiuliza whats the point ya ile software kuwa online? I thought after spending 1 billion the software should allow individuals kufanya search wenyewe au?

so why should we pay 2,000?

halafu etu wanataka 15,000 written file report!

Saa zingine naona tunapoteza forus kwakudeal na mambo mengine. Huu ni wizi wa mchana na hau justify wao kuspend 1 BILLION then bado wanataka pesa zetu. I even question MAHINGILA'S GREEN CREDENTIALS maana naona kuna so much paper waste !

I will personally take this with not only waziri wake bali with Pinda. Huu ni upuuzi hatuwezi kutaka compete na dunia kwa kuwa na watu kama hawa maofisini
 
Mkuu....

Rehema Kitambi ni Assistant Registrar wa BRELA - Client.... Nyaga Mawalla ndiyo CEO wa MAWALLA Group.... Supplier (investor in terms of Public Private Partnership) Nyaga na Rehema ni wazazi .. wana mtoto..
the unfold story is....

Nyaga na Rehema wameanza urafiki wa kimapenzi tangu Arusha School kwenye miaka ya 1984-85 ..... wamekuwa wapenzi University of Dar es salaam wakiwa wote kitivo cha sheria miaka ya 1994-95..... wamemaliza pamoja Nyaga amerithi kampuni ya Sheria ya Baba yake... na Rehema ameajiriwa BRELA....

Do we have any confidence with the practices under these circumstances....? I completely doubt

kwanza kuna mambo kadhaa hapa:

1. Sheria ya PPP imepitishwa lini? najua kuwa tayari ilishaandaliwa lakini bado bunge halijaipitisha...hivyo MAWALLA na BRELA wanafanya utapeli na local media hawaulizi maswali. Kwa hiyo hapa kuna mambo 2

a) Idara ya Serikali imevunja sheria kwa kufanya PPP ambayo haijapitishwa kisheria na bunge

b) Idara ya Serikali imevunja sheria za PPA kwenye hii procurement nzima ya 1 BILLION SOFTWARE

2. Kuna issue ya Conflict of Interest na kama huyo binti alihusika kupitisha hiyo tenda then the entire thing is void kwani lazima alitakiwa awe amejaza form ya declaration kuwa hana DIRECT or IN DIRECT uhusiano na hiyo kampuni inayofanya procurement

Halafu kila kukicha yule mzee wa TIC analalamika Investors wanakuja lakini hawakai...well, mtu atakaa vipi katika mazingira magumu ya kufanya biashara kama haya?
 
mkuu.... i salute ..kula tano yangu instantly..... actions should be taken based on the above mentioned facts... in this matter also Public Procurement act was not enforced
 
MMhhhh Hili linchi sijui linaelekea wapi, yaani kila sehemu ukianza kuunganisha dots utakuta undugu tu! angalia hata PPF wamejazana kwa kuvutana kindugundugu.
PPF funika bovu....Tuendelee kufichua udhalimu huuu...ila mwisho wa siku kila mtu amiliki gobole ukikutana nao..."risasi za motoooooooooo":love:
 
huyo jamaa wa Brella +EL+Jamaa wa EWURA+Mkurugenzi TISS=Classmates Mirambo secondary (high School).
I wonder walisoma nini enzi hizo. Big shadows of corruption.
 
Back
Top Bottom