niliona kwenye taarifa moja ya habari ofisi za brela kumejaa ma file tupu hawatunzi kumbukumbu kwenye computer eti kisa kuna sheria moja ya ushahidi haitambui ushahidi wa kwenye computer(electronic, WAnasheria mtanisaidia km nimekosea) eti ndo maana wanatunza ma hadr copy, dah kweli brela nyie kiboko.
Nimeona majina ya KIASIA HAPO JUU...hawa ndo wanaoharibu mpango mzima...wahindi ndo friends wa Brela pale Rushwa ni kama Jadi....WAHINDI WANASAJILI KAMPUNI KWA MASAA 2 TUU....halafu sisi tunafavywa mapoyoyo....rregistration ya business name tuu wiki nzima....wabomoe kile kitengo kama WALIVYO DEMOLISH JENGO LA USHIRIKA.Hawa jamaa wa BRELA wametumia BILIONI 1 kununua software ( kuna taarifa ni kwa njia ya utatanishi kwani haikutangazwa hata hiyo tenda)
bonyeza section ya services kwenye hii website below utanielewa:
BRELA-C.E.O Message
Sijajua 1 billion kununua software ni justifiable in this day and age ambayo hizi software ziko so cheap na hata kama ni ku carter for local market i still think that was too much
Anyway the whole point ya kuna na hii software tulitakiwa tuwe na uwezo wa kufanya mambo makuu yafuatayo:
1. COMPANY NAME SEARCH ONLINE: ( bure huna haja ya kutoa 50,000) dirishani kuangalia majina
2. KUPATA FORMS ZA KUJAZA IN PDF FORMAT ONLINE
3. KUJUA COMPANY DIRECTORS/ADDRESS ZA KAMPUNI ZOTE ZINAZO OPERATE TANZANIA
4. KUREGISTER KAMPUNI WITHIN 1 HR
5 . KUFANYA RETURNS ON TIME ONLINE
Sasa cha ajabu ni kuwa tunaambiwa hayo yote yanawezekana lakini the company that has been given the tender wanasema eti kuregister kampuni itachukua 3 DAYS!
Really? why 3 days wakati software inafanya kazi?
Unless MAHINGILA knows something that we dont lakini hatuwezi kuwa competitive kibiashara kwa mipango kama hii isiyoeleweka
wenye hii kampuni inayofanya web design nadhani ndio hawa hapa chini:
: : SURA : :
na address yao hii hapa:
SURA
Opp.Akbar Studio
Zanaki Street
Dar-Es-Salaam,
Tanzania
Ph: 2131605, 2131608
Contact Persons :
Mr.V.Ramadhar Reddy (C.E.O),email:ramadhar@sura-tz.com.
Mr.A.Prakash Yadav(Manager),Emailrakash@sura-tz.com.
Mr.Edmund Safari Mbao (Business Development Manager),email:safari@sura-tz.com
ohhh hao jamaa waliopewa tenda wanaitwa MAWALLA
Soma hapa:
The East African: *- Business*|You can now register your firm in 3 days
Meanwhile kule RWANDA waoa wanafanya hivi:
wana calculate incase ukienda in person hutokaa dirishani zaidi ya 5 minutes
au unaweza kuregister kampuni online and it wont take more than 15 minutes
ushaidi uko hapa:
Business registration : Register a company : Register a domestic company : E-REGULATIONS RWANDA
Unless Mahingila knows something we dont lakini I think he's not up to the job!
aise mkuu nimekukubali.....unachosema ni UKWELI USIO NA SHAKA,Mimi nawafahamu hawa...upo sahihi salute kwakoMkuu....
Rehema Kitambi ni Assistant Registrar wa BRELA - Client.... Nyaga Mawalla ndiyo CEO wa MAWALLA Group.... Supplier (investor in terms of Public Private Partnership) Nyaga na Rehema ni wazazi .. wana mtoto..
the unfold story is....
Nyaga na Rehema wameanza urafiki wa kimapenzi tangu Arusha School kwenye miaka ya 1984-85 ..... wamekuwa wapenzi University of Dar es salaam wakiwa wote kitivo cha sheria miaka ya 1994-95..... wamemaliza pamoja Nyaga amerithi kampuni ya Sheria ya Baba yake... na Rehema ameajiriwa BRELA....
Do we have any confidence with the practices under these circumstances....? I completely doubt
huyo jamaa wa Brella +EL+Jamaa wa EWURA+Mkurugenzi TISS=Classmates Mirambo secondary (high School).
I wonder walisoma nini enzi hizo. Big shadows of corruption.