JF JF JF
Looks like its getting hot now...
Irene pole, Nyaga ni msanii. Kati ya wanawake ambao hawezi kuachana nao ni huyo unayemuita mwarabu koko Moza (the cute one) na Rehema, nyie anawasoundisha tu mnampatia uroda anawaacha.
Unaposema ulikuwa uwe mchumba ndiyo hukuwa na ni history kwa sasa, nyaga ana watoto wawili first born kwa moza sec kwa Rehema. Na Rehema alianza naye wakiwa UDSM though walisoma na Arusha Sc. Na alikuwa naye kimaslahi kwani alikuwa anamsaidia kuregister makampuni ya clients wake hata bila kukanyaga Dar.
Usiugulie mapenzi kihivyo bi dada utapata gonjwa la moyo. Japo ulipokuwa ofisini kwa Nyaga ulikuwa unajishebedua...
kwanza kuna mambo kadhaa hapa:
1. Sheria ya PPP imepitishwa lini? najua kuwa tayari ilishaandaliwa lakini bado bunge halijaipitisha...hivyo MAWALLA na BRELA wanafanya utapeli na local media hawaulizi maswali. Kwa hiyo hapa kuna mambo 2
a) Idara ya Serikali imevunja sheria kwa kufanya PPP ambayo haijapitishwa kisheria na bunge
b) Idara ya Serikali imevunja sheria za PPA kwenye hii procurement nzima ya 1 BILLION SOFTWARE
2. Kuna issue ya Conflict of Interest na kama huyo binti alihusika kupitisha hiyo tenda then the entire thing is void kwani lazima alitakiwa awe amejaza form ya declaration kuwa hana DIRECT or IN DIRECT uhusiano na hiyo kampuni inayofanya procurement
Halafu kila kukicha yule mzee wa TIC analalamika Investors wanakuja lakini hawakai...well, mtu atakaa vipi katika mazingira magumu ya kufanya biashara kama haya?
what is PPP? naomba ufafanuzi