Mahari zingine ni majanga!

Mada ni mahari ya magovi, mfalme kataka magovi mia, kidume kaleta mia mbili.
 
Duuu!!!!!!!!!
 
Jamaa kachukua binti kwa magovi tu, halafu badala ya govi mia alizotaka mfalme, mchumba kapeleka mia mbili!
Hivi kweli Faiza hajui kuwa issue hapo ,ilikuwa ni kuthibitisha kuwa ameua adui zao! Kama humaanishi basi uwezo wako wa kufikiri unafikirisha!
 
"Udini" ndiyo nini?
Hebu be on the lighter side, huoni ufahari kuwa biblia imenichekesha asubuhi asubuhi?
Hivi wewe unaenda kuhesabu, govi la kwanza, pili, tatu, nne... Mpaka 200 kwa mkweo?
Kwi kwimkwimkwi teh teh teh teh. Nimecheka sana .

faizafoxy ngoja nikupe taswira ya stori yako ni hivi ,sauli alikuwa mfalme na alimpenda sana daudi ila siku moja daudi alipigana vita na aliporeje nyumbani walimwimbia ivi"sauli ameua maelfu ,daudi ameua maelfu elfu " hii ilimfanya sauli kuanza kujenga chuki na kumchukia daudi sababu aliona daudi kamzidi na yeye ndo mfalme sauli alifanya hila nyingi ili kumuua daudi asije kuwa mfalme ,sababu hata sauli alikuwa na mtoto wa kiume' yonathani' . kwahiyo kutumwa kwa daudi kuleta govi ni moja ya mipango ya kuuwa kwa kwani sauli alijua hawezi kuua wafilisti 200
 
Umedanganya! Daudi hakutumwa, Daudi alitakiwa apeleke mahari ya magovi 100.

Kwanini mnapenda kubadilisha maandiko? Kasome tena.
 
Umedanganya! Daudi hakutumwa, Daudi alitakiwa apeleke mahari ya magovi 100.
Kwanini mnapenda kubadilisha maandiko? Kasome tena.

hamna ulipodanganywa shida maandiko mnasoma sehemu itakayo kuvutia tu ... hata wewe nadhani ni hilo neno govi ndo limekuvutia kusoma iyo mistari ... kwani mke wa kwanza wa daudi aliitwaa nani na kutoka jamii ipi?
 
Wewe kama hukudanganya neno "kutumwa kwa Daudi" umelitoa wapi?

Lilinivutia siyo "govi" lililonivutia ni mahari ya magovi 100.
 
naona unakomaa kiukweli na mahari ya magovi 100
Sana tena, ndiyo maana nikafungulia uzi.

Uwache kudanganya, kuwa mkweli wa nafsi yako, usitetee ujinga kwa kudanganya.

Kisa hiki cha magovi kinakufundisha nini? Binafsi naona ni kichekesho tu.
 
Sana tena, ndiyo maana nikafungulia uzi.

Uwache kudanganya, kuwa mkweli wa nafsi yako, usitetee ujinga kwa kudanganya.

Kisa hiki cha magovi kinakufundisha nini? Binafsi naona ni kichekesho tu.

Daudi alitakiwa apeleke mahari ya govi 100, ikimaanisha awaue wafilisti 100, yeye akaenda mbali zaidi akaamua kuwaua wafilisti 200. Ile kupeleka govi 200 ilikua ni ushahidi kwamba ameweza kuwaua hao wenye hizo govi.

Angeambiwa apeleke miili au vichwa vyao hauoni ingekua shida tofauti na kupeleka govi? Kwa ufupi habari yote hiyo inamaanisha Daudi alitakiwa akapambane awaue wafilisti 100. Haikua rahisi na Sauli alijua angeweza kuuwawa kwenye hizo harakati, ndio maana akaamua kumuonyesha kuwa yeye ni mahiri kwa kufanya mara mbili ya alivyotakiwa.
 
Soma hiyooooo...

27 basi Daudi akainuka, akaenda yeye na watu wake, akaua katika Wafilisti watu mia mbili; na Daudi akazileta govi zao, wakampa mfalme hesabu kamili, ili awe mkwewe mfalme. Naye Sauli akamwoza Mikali, binti yake.

Siri ya mtungi aijua kata! Biblia yenyewe inajieleza! Na Qur'an karrim kama wewe ni muumini, nayo imefunua! Nakushangaa unavyo shabikia govi tena mwezi huu...
 
Kinacho kushangaza na kukufanya ucheke hasa mwezi huu wa swaumu nini?? Hebu soma hizi ayat Inshaalah! kama hukuzielewa useme Allah akupe darsa!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…