Mahari zingine ni majanga!

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
66,489
Points
2,000

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
66,489 2,000
FaizaFoxy yaani wewe ni mdini kiasi kwamba unavuka mipaka
emu punguza hzo mambo zako mama dooh! unazidi sasa
Bible imetumia lugha ya picha kwa kiasi kikubwa, bnafsi me mwenyewe naweza soma nikatoka kapa bila kuelewa,sasa wewe unaforce kuielewa utakavyo.
kuna uhuru wa kuzungumza utakacho lakini si kwa mtindo wa kukashfu dini ya wenzako kwa kigezo cha kijinga eti uko jukwaa la jokes
punguza mama,unakeraaaa mno
Wewe wacha porojo, vuta picha ya magovi mia mbili kwa mfalme. Mfalme, hesabu hizooo!

Wacha kuwa serious wakati wote, furahi na biblia.
 
Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
13,862
Points
2,000

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
13,862 2,000
Wewe wacha porojo, vuta picha ya magovi mia mbili kwa mfalme. Mfalme, hesabu hizooo!

Wacha kuwa serious wakati wote, furahi na biblia.
Sasa imebidi nicheke tu.Kwamba awaue Wafilisti kisha awavue mavazi yao na kuanza "kuwakwenyua" magovi?What a scene! Si hivyo tu.Yakapelekwa magovi rundo na hadi hesabu kupitiliza.Funny,huh?
 
Los técnicos

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Messages
1,813
Points
2,000

Los técnicos

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2014
1,813 2,000
Take it as a joke. Ndiyo maana nikaiweka jukwaa hili.

Mapadri wenyewe wanaonisoma saa hizi wanacheka, magovi mia mbili, si mchezo! Kiroba kizIma.
Maamuzi ya wafalme wengi yamekuwa na uwalakini wakati mwingi.
Lakini pia wafilist katika utamaduni wao walikuwa hawatahiri
Lakini lazima ina maana just go through the whole chapter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtzedi

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2011
Messages
3,238
Points
2,000

mtzedi

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2011
3,238 2,000
Mambo mengine ingawa ni ya "kweli" kabisa na ni "imani" ya wengi, lakini inabidi yawe jukwaa hili la utani. Maana mahari ya govi ni zaidi ya utani.

Nimecheka sana tena kuona kuwa mkono wa sweta, ndiyo, namaanisha govi, govi hili la wenye magovi limeshawahi kutumikia kama mahari ya kumuoa binti, tena binti mfalme. Kama huamini endelea kusoma...

25 Naye Sauli akasema, Mwambieni Daudi hivi, Mfalme hataki mahari yo yote, ila anataka govi mia za Wafilisti, ili ajilipize kisasi adui za mfalme. Basi Sauli alidhani kumwangamiza Daudi kwa mkono wa Wafilisti.
26 Na watumishi wake walipomwambia Daudi; maneno hayo, ilimpendeza Daudi sana kuwa mkwewe mfalme. Na siku zilikuwa hazijaisha bado;
27 basi Daudi akainuka, akaenda yeye na watu wake, akaua katika Wafilisti watu mia mbili; na Daudi akazileta govi zao, wakampa mfalme hesabu kamili, ili awe mkwewe mfalme. Naye Sauli akamwoza Mikali, binti yake.

Biblia hiyo, 1 Samuel 18.
Wapalestina ndio Waislamu wa sasa? Naomba unifahamishe
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
66,489
Points
2,000

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
66,489 2,000
Biblia iantumia sana lugha ya picha ndiyo maana "Yesu alisema atalivunja na kulijenga kanisa kwa siku tatu"

Watu hawakuelewa ujumbe ule, hata hii yaelekea ina maana nyingine bali wewe kwa chuki zenu za kujitoa mhanga uwezi kuelewa
Tupigie picha hiyo mahari labda :) tutaelewa.
 
cmoney

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
2,428
Points
2,000

cmoney

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
2,428 2,000
Mambo mengine ingawa ni ya "kweli" kabisa na ni "imani" ya wengi, lakini inabidi yawe jukwaa hili la utani. Maana mahari ya govi ni zaidi ya utani.

Nimecheka sana tena kuona kuwa mkono wa sweta, ndiyo, namaanisha govi, govi hili la wenye magovi limeshawahi kutumikia kama mahari ya kumuoa binti, tena binti mfalme. Kama huamini endelea kusoma...

25 Naye Sauli akasema, Mwambieni Daudi hivi, Mfalme hataki mahari yo yote, ila anataka govi mia za Wafilisti, ili ajilipize kisasi adui za mfalme. Basi Sauli alidhani kumwangamiza Daudi kwa mkono wa Wafilisti.
26 Na watumishi wake walipomwambia Daudi; maneno hayo, ilimpendeza Daudi sana kuwa mkwewe mfalme. Na siku zilikuwa hazijaisha bado;
27 basi Daudi akainuka, akaenda yeye na watu wake, akaua katika Wafilisti watu mia mbili; na Daudi akazileta govi zao, wakampa mfalme hesabu kamili, ili awe mkwewe mfalme. Naye Sauli akamwoza Mikali, binti yake.

Biblia hiyo, 1 Samuel 18.
Kumbe waislael wameanza wakata magovi wafislistina zamani ndo maana wameamua wakimbiza kwe nchi yako kabisa

Question: "Who were the Philistines?"

Answer: The Philistines were an aggressive, warmongering people who occupied territory southwest of Israel between the Mediterranean Sea and the Jordan River. The name “Philistine” comes from the Hebrew word Philistia, and the Greek rendering of the name, palaistinei, gives us the modern name “Palestine.”
 
Forum statistics

Threads 1,343,447
Members 515,059
Posts 32,785,032
Top