Mahari zingine ni majanga!

J

Jozi 1

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Messages
6,055
Points
2,000
J

Jozi 1

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2015
6,055 2,000
Lakini kaka, mbona hata Quran inasema jua huzama ndani ya TOPE ZITO, hiyo yenyewe haijakuchesha?
Sasa si ungeileta pia kama kichekesho?
Shida iko wapi?
Ila kweli kuhesabu govi mia kadhaa ni shida
 
Mazigazi

Mazigazi

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
5,585
Points
2,000
Mazigazi

Mazigazi

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
5,585 2,000
Dah! Sasa "naerewa kwanini miisiramu" inawahi kuwakata watoto zao magovi.
Mabikira 72 wenye macho kama vikombe wewe unayo hiyo bikira ajuza wewe kama unayo jiandae kwenda kupewa bwana huko ahera ukamridhishe kama huna jehanamu inakuhusu sababu kule ni kwa wanaume tu was kislamu wale swala 5 na mabikira wao 72 kila MTU na wa kwake teh teh teh teh

Dini za kifantansy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyati

Nyati

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2009
Messages
2,239
Points
2,000
Nyati

Nyati

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2009
2,239 2,000
Mambo mengine ingawa ni ya "kweli" kabisa na ni "imani" ya wengi, lakini inabidi yawe jukwaa hili la utani. Maana mahari ya govi ni zaidi ya utani.

Nimecheka sana tena kuona kuwa mkono wa sweta, ndiyo, namaanisha govi, govi hili la wenye magovi limeshawahi kutumikia kama mahari ya kumuoa binti, tena binti mfalme. Kama huamini endelea kusoma...

25 Naye Sauli akasema, Mwambieni Daudi hivi, Mfalme hataki mahari yo yote, ila anataka govi mia za Wafilisti, ili ajilipize kisasi adui za mfalme. Basi Sauli alidhani kumwangamiza Daudi kwa mkono wa Wafilisti.
26 Na watumishi wake walipomwambia Daudi; maneno hayo, ilimpendeza Daudi sana kuwa mkwewe mfalme. Na siku zilikuwa hazijaisha bado;
27 basi Daudi akainuka, akaenda yeye na watu wake, akaua katika Wafilisti watu mia mbili; na Daudi akazileta govi zao, wakampa mfalme hesabu kamili, ili awe mkwewe mfalme. Naye Sauli akamwoza Mikali, binti yake.

Biblia hiyo, 1 Samuel 18.
Biblia iantumia sana lugha ya picha ndiyo maana "Yesu alisema atalivunja na kulijenga kanisa kwa siku tatu"

Watu hawakuelewa ujumbe ule, hata hii yaelekea ina maana nyingine bali wewe kwa chuki zenu za kujitoa mhanga uwezi kuelewa
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
64,384
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
64,384 2,000
Mabikira 72 wenye macho kama vikombe wewe unayo hiyo bikira ajuza wewe kama unayo jiandae kwenda kupewa bwana huko ahera ukamridhishe kama huna jehanamu inakuhusu sababu kule ni kwa wanaume tu was kislamu wale swala 5 na mabikira wao 72 kila MTU na wa kwake teh teh teh teh

Dini za kifantansy

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaweza kupeleka kiroba cha magovi kwa mkweo?
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
64,384
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
64,384 2,000
Biblia iantumia sana lugha ya picha ndiyo maana "Yesu alisema atalivunja na kulijenga kanisa kwa siku tatu"

Watu hawakuelewa ujumbe ule, hata hii yaelekea ina maana nyingine bali wewe kwa chuki zenu za kujitoa mhanga uwezi kuelewa
Aisee, Kasome ujumbe upo wazi kabisa, mfalme alifikiri hapo kakiweza kidume maana kisa kinasema huyo mfalme alikuwa anamchukia sana Daudi. Kidume kikamuonesha udume wake, badala ya govi mia kikapeleka govi mia mbili!
 
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
4,201
Points
2,000
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
4,201 2,000
Kuna kikundi flani cha porini ili upate namba lazma upeleke pum*u 5 na bunduki 2 na hapo ndio utahesabiwa kama umewiva
 
F

fred1149

Senior Member
Joined
May 30, 2016
Messages
178
Points
250
F

fred1149

Senior Member
Joined May 30, 2016
178 250
Mambo mengine ingawa ni ya "kweli" kabisa na ni "imani" ya wengi, lakini inabidi yawe jukwaa hili la utani. Maana mahari ya govi ni zaidi ya utani.

Nimecheka sana tena kuona kuwa mkono wa sweta, ndiyo, namaanisha govi, govi hili la wenye magovi limeshawahi kutumikia kama mahari ya kumuoa binti, tena binti mfalme. Kama huamini endelea kusoma...

25 Naye Sauli akasema, Mwambieni Daudi hivi, Mfalme hataki mahari yo yote, ila anataka govi mia za Wafilisti, ili ajilipize kisasi adui za mfalme. Basi Sauli alidhani kumwangamiza Daudi kwa mkono wa Wafilisti.
26 Na watumishi wake walipomwambia Daudi; maneno hayo, ilimpendeza Daudi sana kuwa mkwewe mfalme. Na siku zilikuwa hazijaisha bado;
27 basi Daudi akainuka, akaenda yeye na watu wake, akaua katika Wafilisti watu mia mbili; na Daudi akazileta govi zao, wakampa mfalme hesabu kamili, ili awe mkwewe mfalme. Naye Sauli akamwoza Mikali, binti yake.

Biblia hiyo, 1 Samuel 18.
FaizaFoxy, mimi huwa sipendi kushabikia dini lakini kiukweli niwe muwazi kuwa ukitaka kusoma vitabu vitakatifu basi ni lazima uwe na maono zaidi kuliko kusoma kama love story.
Hapo uliposoma, ni kweli lakini biblia inaonyesha kuwa huo ulikuwa ni maombi au matakwa ya mhusika katika kutimiza azma yake ambayo kimsingi ilikuwa ni kumuonyesha alivyowachukua hao wafilisti japokuwa sisi hatufundishwi katika biblia kuua mtu ndo jihad au kupata pombe safi mbinguni na kisha mademu.

Kwa maana hyo, hakuna conclusion katika mada uliosoma. Hvyo acha upotoshaji.

Ningekushauri kuwa Soma vitabu vyako vya dini ili upate elimu ya mambo yafuatayo :
Kwa nini Mtume alirogwa?
Kwa nini alishushia haya za quaran pangoni?
Kwa nini alipoletewa aya hizo aliambiwa asome na akasema hajui kusoma na akapata kichapo ili asome?
Kwa nini mungu alishusha aya kwa mtu asiejua kusoma na kisha malaika akamlazimisha kusoma wakati mungu huyo huyo kawapa wazungu namna ya kusoma na leo tunasoma? Kilichomshinda mungu kumpa uwezo tu huyo kiongozi wenu ni nini?
Kwa nini hamtaki kuelewa kuwa yesu anarudi kuhukumu wazima na wafu na asiemkiri yesu kristo basi atahukumiwa? Na uzuri kuna mbuzi, ng'ombe na hata mtoto 1 muislam aliwahi kusema kuwa siku za yesu kurudi zimefika na akafa?
Fafanua kwa nini watu wanajitoa mhanga ili wapate 72 mabikira kwa mungu huku hapa hapa Tanzania unaweza kuwapata? Huyo mungu wa visas kwa nini asituhukumu sisi ambao ni wezi, wafiraji, wazinzi, na mengineyo ambayo hata watu wa dini yako mama ndo washenzi kabisa na wana hulka hii lakini mungu wenu anataka muue watu wa dini tofauti na kwako? So angeacha kuwafanya wazaliane, kuwachukua yeye mwenyewe kwa kifo cha kawaida? Pia na nyie kwa nini msiuawe pindi mkienda tofauti na dini yenu? Why? Faiza, Soma hyo

"Conclusion" ipi zaidi ya hii...

27 basi Daudi akainuka, akaenda yeye na watu wake, akaua katika Wafilisti watu mia mbili; na Daudi akazileta govi zao, wakampa mfalme hesabu kamili, ili awe mkwewe mfalme. Naye Sauli akamwoza Mikali, binti yake.

Badala ya govi mia kapeleka mia mbili akachukua binti.

Hakuna kizungumkuti hapo.

Inabidi ucheke tu, Ukitaka usitake!
 
kokontiko

kokontiko

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
13,562
Points
2,000
kokontiko

kokontiko

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
13,562 2,000
Hiyo haichekeshi, Inasikitisha.

Lakini nambie wewe hujachekanhata kidogo kufikiria mtu kwenda na mzigo wa magovi anaupeleka ukahesabiwe na wakweze kama mahari?
Hapo lengo la mfalme/mkwe halikuwa kupata magovi ya maadui.Lengo kuu lilikuwa ni kumpima muoaji uwezo wake wa kujilinda,kupambana,kumshinda adui na mbali zaidi kupima utii wake.
 
gwela2003

gwela2003

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2015
Messages
915
Points
1,000
gwela2003

gwela2003

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2015
915 1,000
Mambo mengine ingawa ni ya "kweli" kabisa na ni "imani" ya wengi, lakini inabidi yawe jukwaa hili la utani. Maana mahari ya govi ni zaidi ya utani.

Nimecheka sana tena kuona kuwa mkono wa sweta, ndiyo, namaanisha govi, govi hili la wenye magovi limeshawahi kutumikia kama mahari ya kumuoa binti, tena binti mfalme. Kama huamini endelea kusoma...

25 Naye Sauli akasema, Mwambieni Daudi hivi, Mfalme hataki mahari yo yote, ila anataka govi mia za Wafilisti, ili ajilipize kisasi adui za mfalme. Basi Sauli alidhani kumwangamiza Daudi kwa mkono wa Wafilisti.
26 Na watumishi wake walipomwambia Daudi; maneno hayo, ilimpendeza Daudi sana kuwa mkwewe mfalme. Na siku zilikuwa hazijaisha bado;
27 basi Daudi akainuka, akaenda yeye na watu wake, akaua katika Wafilisti watu mia mbili; na Daudi akazileta govi zao, wakampa mfalme hesabu kamili, ili awe mkwewe mfalme. Naye Sauli akamwoza Mikali, binti yake.

Biblia hiyo, 1 Samuel 18.
Habari ya siku bibi yetu Faiza Fox...kunywa kwanza chai..acha maneno mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
64,384
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
64,384 2,000
Hapo lengo la mfalme/mkwe halikuwa kupata magovi ya maadui.Lengo kuu lilikuwa ni kumpima muoaji uwezo wake wa kujilinda,kupambana,kumshinda adui na mbali zaidi kupima utii wake.
Soma vizuri, wacha porojo. Mfalme alikuwa hampemdi Daudi, akaona hapa namkomesha, mchumbia na yeye kwa ari zaidi, akapeleka magovi mia mbili.

Inabidi ucheke tu hicho kisa.
 
Chumchang Changchum

Chumchang Changchum

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2013
Messages
3,598
Points
2,000
Chumchang Changchum

Chumchang Changchum

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2013
3,598 2,000
Mambo mengine ingawa ni ya "kweli" kabisa na ni "imani" ya wengi, lakini inabidi yawe jukwaa hili la utani. Maana mahari ya govi ni zaidi ya utani.

Nimecheka sana tena kuona kuwa mkono wa sweta, ndiyo, namaanisha govi, govi hili la wenye magovi limeshawahi kutumikia kama mahari ya kumuoa binti, tena binti mfalme. Kama huamini endelea kusoma...

25 Naye Sauli akasema, Mwambieni Daudi hivi, Mfalme hataki mahari yo yote, ila anataka govi mia za Wafilisti, ili ajilipize kisasi adui za mfalme. Basi Sauli alidhani kumwangamiza Daudi kwa mkono wa Wafilisti.
26 Na watumishi wake walipomwambia Daudi; maneno hayo, ilimpendeza Daudi sana kuwa mkwewe mfalme. Na siku zilikuwa hazijaisha bado;
27 basi Daudi akainuka, akaenda yeye na watu wake, akaua katika Wafilisti watu mia mbili; na Daudi akazileta govi zao, wakampa mfalme hesabu kamili, ili awe mkwewe mfalme. Naye Sauli akamwoza Mikali, binti yake.

Biblia hiyo, 1 Samuel 18.
Aya hii kama kweli inawafundisha watu wa. Kitabu?
 
Felister

Felister

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Messages
524
Points
1,000
Felister

Felister

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2018
524 1,000
FaizaFoxy yaani wewe ni mdini kiasi kwamba unavuka mipaka
emu punguza hzo mambo zako mama dooh! unazidi sasa
Bible imetumia lugha ya picha kwa kiasi kikubwa, bnafsi me mwenyewe naweza soma nikatoka kapa bila kuelewa,sasa wewe unaforce kuielewa utakavyo.
kuna uhuru wa kuzungumza utakacho lakini si kwa mtindo wa kukashfu dini ya wenzako kwa kigezo cha kijinga eti uko jukwaa la jokes
punguza mama,unakeraaaa mno
 
kokontiko

kokontiko

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
13,562
Points
2,000
kokontiko

kokontiko

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
13,562 2,000
Soma vizuri, wacha porojo. Mfalme alikuwa hampemdi Daudi, akaona hapa namkomesha, mchumbia na yeye kwa ari zaidi, akapeleka magovi mia mbili.

Inabidi ucheke tu hicho kisa.
Hakuna porojo hata kidogo.Hapo umeongeza zaidi kuwa mfalme alikuwa na chuki na muoaji.Ndiyo maana hatuoni muendelezo kwamba hayo magovi yalichemshwa ipatikane supu au kuwa nyama choma.
 
Forum statistics

Threads 1,306,392
Members 502,074
Posts 31,579,280
Top