Mahari ni lazima, usidanganyike binti

Mahari ni lazima, usidanganyike binti

Mahari ni muendelezo wa biashara ya utumwa kwa chaka la utamaduni.

Ndiyo maana watu walioelewa vizuri tamaduni za Africa na kusoma falsafa za dunia, kama Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, walipinga vikali habari za mahari.

Ila bado watu wengi wanapenda sana kufanya biashara za kuuza ndugu zao utumwani, na hata wanawake wengi bado wanapenda kununuliwa, ndiyo maana mahari inaendelea.
Mimi naomba ninunuliwe
 
ukiachana na ujinga wa wamasai, mwanamke akiwa bikira hata ng'ombe 30 natoa, hizi akili ni za kijinga sana.......... imagine unatoa ng'ombe 150 halafu baadae unakuja kugongewa na mapimbi ambao haaajatoa hata 100, torati iliamuru nusu ya mali kurudishwa endapo mume atamuacha mke kwasababu ya uzinzi, sasa hebu fikiria kuna masai atarudisha nusu ya mahari endapo binti yake atakutwa na hatia ya uzinzi?

Fikiria tu kuhusu akili za hawa watu.
Nitakuwa wa mwisho kuamini wanawake wana akili kuzidi wanawake
Ndioo
 
Madem wa sikuhizi ni used sana wanaenda mpk 30+ anatamani aolewe hata bure
 
Acha uwongo kwa wamasai bikra si issue!! Wazaz wanakubaliana tu idad ya ng'ombe basi, regardless bikra
 
MAHARI NI LAZIMA
1)kiimani imani zote
2)kimila na kitamaduni

KIROHO USIPOLIPA MAHARI NI DHAMBI ,kuna kuzimu ya moto inayowaunguza wenye MADENI wqnaodaiwa mahari na waliolipa nusu bula kumalizia.

kwa kifupi hata kutokulipa MADENI tunayokopa ni dhambi..mana yake umedhulumu(DHULUMA).

Adamu alipomuoa HAWA hakulipa mahari kwa sababu HAWA alitoka unabavuni mwake mbavu yake moja ilitolewa,ama alipewa na Mungu moja kwa moja.

lakini hawa wake zetu tunao waoa hatuwatoi UBAVUNI MWETU tunawatoa mikononi mwa wqzazi wao au walezi wao.
Na anaye oa ni MWANAUME .

Soma vitabu vyote vya dini utaona hakuna mwanaume alioa bure bila kulipa mahari.
 
Wewe ndiye una wivu, huamini sitaki kuja kwenye harusi yako, unataka nije kwenye harusi yako mimi sitaki.

Yani ukiolewa wewe tu huko unaona haitoshi mpaka niwepo mimi?

Mimi nimekugawa bure sina wivu nawe, wewe ndiye unaolewa lakini husikii raha mpaka mimi niwepo.
 
Back
Top Bottom