Kaka maasai
Member
- Jul 26, 2026
- 84
- 195
ww ni mchagga sio maasai ulivyo na ukali kama wa mabint wa kichagga
Ara emaasinda doi lalashe kake mayolo engutu kaang amu eitu aiuni to tiatwa ngang'iti oi masaiww ni mchagga sio maasai ulivyo na ukali kama wa mabint wa kichagga
Ni kumbukumbu nzuri au mbaya?Hii id yako imenikumbusha mbali
Nzuri sana kwangu nilipokuwa mdogoNi kumbukumbu nzuri au mbaya?
🫶Nzuri sana kwangu nilipokuwa mdogo
Bikra unayo??Utamaduni wa kiafrika lazima mwanaume amtolee mwanamke mahari awe na mtoto au asiwe na mtoto.
Ukiamua kuoa kwenye boma la watu wenye miiko yao ni lazima utoe mahari mf. Sisi wa Masai .
Ukiwa bikra unatoa mahari ya ng'ombe mia moja .
Akiwa na elimu nanibikra ni ng'ombe 150. Ndio umchukue hapo hujatoa kishika uchumba na kuleta zawadi yakuwa unataka kuoa boma hilo . Pia kuna madebe ya pombe 15. vyakula na kishika uchumba ya pili tena madebe ya pombe kumi na mahari.
Pili kama msichana hana hiyo bikra ni ng'ombe 30 hata 25 itakubalika ila kama walimsomesha ni 35 mpaka hamsini.
Taratibu za pombe zawadi iko pale pale na kishika uchumba .
Kama anamtoto mahari ni ng'ombe wa 4 mpaka wa tano na pombe madebe 10 au pungufu ya hapo na kama anaelimu ni ng'ombe hizo hizo.
So kama mwanaume asipokutolewa mahari ujue akupendi. Jua hilo tu.
Ndio point yangu ni hii kwanini mama yako alitolewa mahari wewe leo mchumba wako aseme anakununua eti . Akitoa mahari ndio akununue??
JItafakari uchukue hatua .
Kama ana bikra 100,bikra na elimu 150,kuna watu tunawaambia bikra haitokuja kupoteza thamani na hapo ikipita miaka mitano unaweza ukafika mpaka ng'ombe 200.Utamaduni wa kiafrika lazima mwanaume amtolee mwanamke mahari awe na mtoto au asiwe na mtoto.
Ukiamua kuoa kwenye boma la watu wenye miiko yao ni lazima utoe mahari mf. Sisi wa Masai .
Ukiwa bikra unatoa mahari ya ng'ombe mia moja .
Akiwa na elimu nanibikra ni ng'ombe 150. Ndio umchukue hapo hujatoa kishika uchumba na kuleta zawadi yakuwa unataka kuoa boma hilo . Pia kuna madebe ya pombe 15. vyakula na kishika uchumba ya pili tena madebe ya pombe kumi na mahari.
Pili kama msichana hana hiyo bikra ni ng'ombe 30 hata 25 itakubalika ila kama walimsomesha ni 35 mpaka hamsini.
Taratibu za pombe zawadi iko pale pale na kishika uchumba .
Kama anamtoto mahari ni ng'ombe wa 4 mpaka wa tano na pombe madebe 10 au pungufu ya hapo na kama anaelimu ni ng'ombe hizo hizo.
So kama mwanaume asipokutolewa mahari ujue akupendi. Jua hilo tu.
Ndio point yangu ni hii kwanini mama yako alitolewa mahari wewe leo mchumba wako aseme anakununua eti . Akitoa mahari ndio akununue??
JItafakari uchukue hatua .
IpoBikra unayo??
Utapata mahari yote
Ng'ombe 150 kupata hy bikra , hv Mobeto alipewa ng'ombe ngapi
100 na hana halafu nilikumiss wewe mtuNg'ombe 150 kupata hy bikra , hv Mobeto alipewa ng'ombe ngapi
KaribuUtapata mahari yote
Lkn ww ni haipo na huo mdomo plus gubu kiasi hiko washatatua malinda mda mrefu sanaKaribu
Hahahaha,Mimi nipo nilikumiss sana,nipo napambana nipate walau,Ng'ombe 120,😂100 na hana halafu nilikumiss wewe mtu