Mahari ni lazima, usidanganyike binti

Mahari ni lazima, usidanganyike binti

1. Hakuna utamaduni wa kiafrika. Afrika ina maelfu ya makabila halafu iwe na utamaduni mmoja? Kwamba mmaasai atakuwa sawa na mmatumbi? Hapana.

2. Mahari ni mazoea tu kwa sasa. Naamini kuna makabila yasiyo na utaratibu huo au yana "malipo" yasiyokuwa ya kimali. Mahari imekuwa sehemu ya kusheherekea kuolewa kwa binti tu.

Niliwahi kusikia kwamba kikristo mahari inaweka agano flani, hii sababu ina mashiko kidogo ila uhakika wake sijaupata.
 
single mother hana heshima kiasi hiko hata umasaini aisee. Wazazi pia hawana imani kuwa huyo katumika vibaya sana
 
1. Hakuna utamaduni wa kiafrika. Afrika ina maelfu ya makabila halafu iwe na utamaduni mmoja? Kwamba mmaasai atakuwa sawa na mmatumbi? Hapana.

2. Mahari ni mazoea tu kwa sasa. Naamini kuna makabila yasiyo na utaratibu huo au yana "malipo" yasiyokuwa ya kimali. Mahari imekuwa sehemu ya kusheherekea kuolewa kwa binti tu.

Niliwahi kusikia kwamba kikristo mahari inaweka agano flani, hii sababu ina mashiko kidogo ila uhakika wake sijaupata.
Mahari ni mkataba wa mauziano
 
Utamaduni wa kiafrika lazima mwanaume amtolee mwanamke mahari awe na mtoto au asiwe na mtoto.
Ukiamua kuoa kwenye boma la watu wenye miiko yao ni lazima utoe mahari mf. Sisi wa Masai .
Ukiwa bikra unatoa mahari ya ng'ombe mia moja .

Akiwa na elimu nanibikra ni ng'ombe 150. Ndio umchukue hapo hujatoa kishika uchumba na kuleta zawadi yakuwa unataka kuoa boma hilo . Pia kuna madebe ya pombe 15. vyakula na kishika uchumba ya pili tena madebe ya pombe kumi na mahari.

Pili kama msichana hana hiyo bikra ni ng'ombe 30 hata 25 itakubalika ila kama walimsomesha ni 35 mpaka hamsini.
Taratibu za pombe zawadi iko pale pale na kishika uchumba .

Kama anamtoto mahari ni ng'ombe wa 4 mpaka wa tano na pombe madebe 10 au pungufu ya hapo na kama anaelimu ni ng'ombe hizo hizo.

So kama mwanaume asipokutolewa mahari ujue akupendi. Jua hilo tu.

Ndio point yangu ni hii kwanini mama yako alitolewa mahari wewe leo mchumba wako aseme anakununua eti . Akitoa mahari ndio akununue??
JItafakari uchukue hatua .
ukiachana na ujinga wa wamasai, mwanamke akiwa bikira hata ng'ombe 30 natoa, hizi akili ni za kijinga sana.......... imagine unatoa ng'ombe 150 halafu baadae unakuja kugongewa na mapimbi ambao haaajatoa hata 100, torati iliamuru nusu ya mali kurudishwa endapo mume atamuacha mke kwasababu ya uzinzi, sasa hebu fikiria kuna masai atarudisha nusu ya mahari endapo binti yake atakutwa na hatia ya uzinzi?

Fikiria tu kuhusu akili za hawa watu.
Nitakuwa wa mwisho kuamini wanawake wana akili kuzidi wanawake.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini wanawake wana akili kuzidi wanawake
ukiachana na ujinga wa wamasai, mwanamke akiwa bikira hata ng'ombe 30 natoa, hizi akili ni za kijinga sana.......... imagine unatoa ng'ombe 150 halafu baadae unakuja kugongewa na mapimbi ambao haaajatoa hata 100, torati iliamuru nusu ya mali kurudishwa endapo mume atamuacha mke kwasababu ya uzinzi, sasa hebu fikiria kuna masai atarudisha nusu ya mahari endapo binti yake atakutwa na hatia ya uzinzi?

Fikiria tu kuhusu akili za hawa watu.
Nitakuwa wa mwisho kuamini wanawake wana akili kuzidi wanaume
 
Utamaduni wa kiafrika lazima mwanaume amtolee mwanamke mahari awe na mtoto au asiwe na mtoto.
Ukiamua kuoa kwenye boma la watu wenye miiko yao ni lazima utoe mahari mf. Sisi wa Masai .
Ukiwa bikra unatoa mahari ya ng'ombe mia moja .

Akiwa na elimu nanibikra ni ng'ombe 150. Ndio umchukue hapo hujatoa kishika uchumba na kuleta zawadi yakuwa unataka kuoa boma hilo . Pia kuna madebe ya pombe 15. vyakula na kishika uchumba ya pili tena madebe ya pombe kumi na mahari.

Pili kama msichana hana hiyo bikra ni ng'ombe 30 hata 25 itakubalika ila kama walimsomesha ni 35 mpaka hamsini.
Taratibu za pombe zawadi iko pale pale na kishika uchumba .

Kama anamtoto mahari ni ng'ombe wa 4 mpaka wa tano na pombe madebe 10 au pungufu ya hapo na kama anaelimu ni ng'ombe hizo hizo.

So kama mwanaume asipokutolewa mahari ujue akupendi. Jua hilo tu.

Ndio point yangu ni hii kwanini mama yako alitolewa mahari wewe leo mchumba wako aseme anakununua eti . Akitoa mahari ndio akununue??
JItafakari uchukue hatua .
Mahari ni muendelezo wa biashara ya utumwa kwa chaka la utamaduni.

Ndiyo maana watu walioelewa vizuri tamaduni za Africa na kusoma falsafa za dunia, kama Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, walipinga vikali habari za mahari.

Ila bado watu wengi wanapenda sana kufanya biashara za kuuza ndugu zao utumwani, na hata wanawake wengi bado wanapenda kununuliwa, ndiyo maana mahari inaendelea.
 
Back
Top Bottom