Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,531
- 8,616
.
Tanzania Tanga kambi ya wakimbizi Chogo wilaya ya Handeni ina wakimbizi wengi wa kisomali cha kushangaza wote wamepewa uraia kwa mkupuo.Mlipuko wa mabomu nchi Kenya [stand ya bus Nairobi] ulifanywa na raia wa kisomali aliyepewa passport ya Tanzania kutokea kambi ya wakimbizi Chogo !!!!!!!!!!!!.
Mkuu Ngongo kwenye suala la chogo serikali haikukurupuka....hawa wasomali Wadigo ...mababu zao yapata miaka 100 iliyopita walitoka eneo hilo kwenye normal african migration ya wakati ule[trek]..na wakati huo somalia ikiwa na neema ..wakaenda Somalia kuweka makazi kwa sababu moja au nyingine.....na walikuwa wakiongea hicho kidigo[au kisambaa] hadi huko uhamishoni na kiswahili pia.....mwaka 1992 baada ya machafuko kufuatia kukimbia kwa Siad Barre.....walikaa kidogo yalipowazidi ..na kwa kuwa wanakumbuka asili yao hadi kijiji ambacho koo yao ilitoka ..wakajikusanya wakiwa kama 3,000 na kuanza safari ya kurudi kwenye kijiji chao cha asili huko Tanga...walipofika ..na kwa kuwa miaka ilishaenda ..ikawabidi wafikie kwenye ukimbizi....uchunguzi na utambuzi ukafanyika kwa kushirikisha wazee wa eneo hilo ..na ukizingatia bado kumbukumbu za koo yao zipo na ndugu zao wengine waliobakia huko zipo...basi ...ikawa kama vile mwanampotevu kurudi nyumbani...wakatafutiwa eneo la wazi [chogo] na kuanzisha upya kijiji...kwa kifupi wale jamaa ni ndugu zetu..........
NI mfano kama huu ungeweza kutokea iwapo Tanzania ingekuwa kwenye vita sugu...na somalia ina amani...ni wazi kuwa watanznaia wenye koo zao kule ...wenye asili ya kisomali ...wangerejea kule na wangepokelewa......kwani wengi wao baba zao tangu wamehamia hawana miaka 100 ..you can trace easily ..unlike migration za watu kama Wangoni-Nguni speaking people [south africa]miaka 500 iliyopita...,wasukuma et al-ABantu speaking people [congo] miaka 500 iliyopita...Wachagga[wasambaa,meru..akamba,Kikuyu],Masaai,Iraq etc...migrating from Ethiopia,sudan etc...coming down via the great rift valley...and mountanous region of mout kenya,meru and mount Kilimanjaro..etc