Maharage ya Mbeya

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,836
Unajua kila chakula huwa kina sifa zake. Jamani hapa katika utafuti wangu nimegundua yafuatayo kutokana na maharage ya mbeya.
1. Yana maji mengi sana ukiyapika sana yanakuwa uji uji mweupeee!
2. Ukitia maji mara moja tu yanalainika, yananyooka, we acha tu.
3. Mengi huwa ni manene manene. watu wengi huwa inabidi wazime taa wanapoyapika.
4. Kwenye halufu usiseme. Duh mwanangu haya maharage!!
5. Haya hitaji viungo vingi. Tia chunvi kidogo tu. Mwanangu ukiongeza madikodiko utayaharibu na hautaweza kuyatumia tena.
6. Mengi huwa ni meupe, meupe. Meusi huwa ni machache tu. Kwameupe usiseme.

Maharage ya mbeya jamanii.
 
kidney-beans.jpg
 
Jamani kuna watoto mjue, halafu wanajua kusoma.haya usiku mwema
 
Back
Top Bottom