Hivi ni kweli maharage ya mbeya maji mara moja kishaeleweka?

Didododi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2023
Posts
354
Reaction score
494
Wadau Leo heb tuangazie kidogo haya maharage yaliyojizolea umaarufu nchini Tanzania yaani maharage ya mbeya[emoji23].Imekuwa ikisemekana kwamba maharage haya yanaiva haraka sana tena hatakama moto ni hafifu.Yaani unaambiwa maji ni mara moja tu na huna haja ya kutumia nguvu nyingi.
Vp huu usemi unaukweli kwa mlio test maharage ya green city?
Tusanuane[emoji23]
 
Wadau Leo heb tuangazie kidogo haya maharage yaliyojizokea umaarufu nchini Tanzania yaani maharage ya mbeya[emoji23].Imekuwa ikisemekana kwamba maharage haya yanaiva haraka sana tena hatakama moto ni hafifu.Yaani unaambiwa maji ni mara moja tu na huna haja ya kutumia nguvu nyingi.
Vp huu usemi unaukweli kwa mlio test maharage ya green city?
Tusanuane[emoji23]
Maharage ya Mbeya unaivishia kwa moto wa Makaratasi. Yaani kusanya magazeti choma, injika sufuria...tayari
 
Wadau Leo heb tuangazie kidogo haya maharage yaliyojizolea umaarufu nchini Tanzania yaani maharage ya mbeya[emoji23].Imekuwa ikisemekana kwamba maharage haya yanaiva haraka sana tena hatakama moto ni hafifu.Yaani unaambiwa maji ni mara moja tu na huna haja ya kutumia nguvu nyingi.
Vp huu usemi unaukweli kwa mlio test maharage ya green city?
Tusanuane[emoji23]
Aisee nimepata kilo yake Moja hp mtaani naona inajilengesha mule mule km msemo huo unavyosema, na hyo kilo upo vizuri balaa mkuu nailia timing tu hp niiweke jikoni [emoji23]
 
Huku kwetu mbeya Kuna maharage yanaitwa "Maini" ni ya njano hv maji mara Moja yameiva hata nusu saa ni nyingi [emoji23][emoji174]
Ila kutokana na hiyo kitu huu msemo Huwa unatumika kuwaongelea wale dada zetu ambao simu Moja tuu Tyr hachomoi [emoji4][emoji706]
 
Wadau Leo heb tuangazie kidogo haya maharage yaliyojizolea umaarufu nchini Tanzania yaani maharage ya mbeya[emoji23].Imekuwa ikisemekana kwamba maharage haya yanaiva haraka sana tena hatakama moto ni hafifu.Yaani unaambiwa maji ni mara moja tu na huna haja ya kutumia nguvu nyingi.
Vp huu usemi unaukweli kwa mlio test maharage ya green city?
Tusanuane[emoji23]
Mimi nilijaribu maharage ya kondoa, manyara, singida na ya mtwara nayo ni mepesi sana kuiva hata kama ukitumia moto wa karatasi tu yanaiva.
 
Back
Top Bottom