Mahali Pazuri kwa Ajili ya Dinner (Outing)

karibuni kwangu nitawaandali dinner murua naomba iyo budget usiipunguze maana nitakuwa kibiashara zaidi
 
sasa babu, huyo bibi mpya utakuwa unampeleka wapi outing? Au hautomtoa outing hadi umuoe.
Itabidi nimpeleke morogoro kwenye shamba langu, ale machungwa kwa wingi yatamsaidia kupata vitami c...ili ngozi yake izidi kutereza pale na papasa shanga zake.
 
We kamlishe juu wenzio wakamlishe chini.Hakikisha unapata sehemu nzuri ya kumlisha kote kote ila ongeza kahela nikuelekeze mahali pazuri.
 
Itabidi nimpeleke morogoro kwenye shamba langu, ale machungwa kwa wingi yatamsaidia kupata vitami c...ili ngozi yake izidi kutereza pale na papasa shanga zake.

duh! Inaelekea mbahili wewe.
 
Congo Bar, siku hizi wamehamia Magomeni Mapipa, best kuku na chipsi katika Tanzania, chakula kizuri, kisafi, kinapikwa mbele yako huku unakiona, chachandu yake waaaaacha. Na kinywaji juu. 20,000 na chenji inarudi.

Kama upo serious na hiyo deti yako, usiipeleke masehemu sehemu ya kiajabu ajabu (kwa wa mungu), ipeleke huku huku kwa wa afriti wenzetu. Ukiizowesha huko majuu mwanzoni siku unaileta kwenye chipsi kuku za dulla itakuwa kosa. Anzia huku, huko kwingine baadae tena kwa sana, unaweza kuja kujuta kuwa hajastahili gharama zote hizo, lakini ukianzia "kwetu", nakwambia kwetu kutokana na hiyo bajeti yako, baadaae hakuna majuto. Kwanza huku ndio utapata kujuwa, anafaa hafai., sio huko kwenye ku act.
 
Wazo jingine, kama unayo transport, unaanza mapema kidogo, unapita soko la samaki pale ferry, unanunuwa samaki wako fresh wa elfu 10. Unavuka mpaka mikadi beach, unachukuwa cabin elfu 10. Unampa mpishi wa hapo hao samaki anakutengenezea na ugali na makachumbari, elfu 5 zinazobaki vinywaji na nauli ya pantoni. Unaweza kubaki na chenji na ni highly romantic.

By the way; Mai waifu wangu kanipa talaka ya muda, kwa mwanamke anaetaka kwenda kula masamaki mikaadi na mimi ani PM.
 
Ndio nimerudi from my weekend spending, it was really nice weekend, bado najiuliza hivi hawa vijana wa kiarabu ni kwa nini huwa wanajilipuwa kama madada zao wako very sex namna hii na ni most beautiful ladies in the world? Huyu nafikiria kumnunulia mkweche wake nae!!
 
Maskini akipata bana, ****** hulia mbwata
Watu wenye akili za category hii, usitarajie kuwaona hata kwenye vi outing simple tu kama hivi vya kupunga upepo na kula miogo ya kukaanga na soda/ juice pale Coco Beach.

TA-DA-beach-0009_medium.jpg
 
watu wa style yako ni waongo sana hakuna mfano, huwa hamsemi lolote la ukweli kutoka vinywani mwenu. tahadhari kwa wale watakamuiga, huyu unaweza kukuta hana hata senti tano hapo mfukoni mwake.
Ndio nimerudi from my weekend spending, it was really nice weekend, bado najiuliza hivi hawa vijana wa kiarabu ni kwa nini huwa wanajilipuwa kama madada zao wako very sex namna hii na ni most beautiful ladies in the world? Huyu nafikiria kumnunulia mkweche wake nae!!
 
Wazo jingine, kama unayo transport, unaanza mapema kidogo, unapita soko la samaki pale ferry, unanunuwa samaki wako fresh wa elfu 10. Unavuka mpaka mikadi beach, unachukuwa cabin elfu 10. Unampa mpishi wa hapo hao samaki anakutengenezea na ugali na makachumbari, elfu 5 zinazobaki vinywaji na nauli ya pantoni. Unaweza kubaki na chenji na ni highly romantic.

By the way; Mai waifu wangu kanipa talaka ya muda, kwa mwanamke anaetaka kwenda kula masamaki mikaadi na mimi ani PM.
Nimekupm mkuu
Naombea na iyo wife isirudi tena forever
Wife atakuwa yeye bwana??
 
Uzi wa leo manila kabisa..watu wanamajibu kuliko maelezo ya doctor!..hahahah! Lol
 
watu wa style yako ni waongo sana hakuna mfano, huwa hamsemi lolote la ukweli kutoka vinywani mwenu. tahadhari kwa wale watakamuiga, huyu unaweza kukuta hana hata senti tano hapo mfukoni mwake.
Utakufa na stress zako za maisha, watch out u will die young pal!!....
 
Back
Top Bottom