Hiyo pia ni kete sahihi ya kusukuma ili kesi iende mbio aache kesi isikilizwe upande mmoja. Hao mashahidi wa siri watajulikana tu hata wajifiche vioi huo ndiyo ukweli....
Kesi itaondolewa kwenye hiyo mahakama kwa haraka au kufutwa au kuamishiwa kwenye mahakama yenye mamlaka kamili ya kusikiliza kesi za uhaini ..maana akutakuw na marumbano ya hoja na kupoteza muda
Mbona kuna kesi nyingi tumeshinda kamanda.Cha muhimu ndugu zangu ni kutii na kuheshimu sheria zetu ,ndiyo maana ata nasisi tuliwafukuza hakina Mdee na Catherine Ruge kwakua walienda kinyume na itikadi na utaratibu wetu.
Kila siku ya Mungu aliye juu tunazidi tu kuprove unyani wetu kwa dunia wabongo! Hii ni aibu nyingine kwa kuionyesha dunia kwamba tanzania ni mbuga tu wote wanaoishi humo hawana tofauti, akina shabani, juma, john nk kaka na dada zao ni nyumbu, tembo, ngedere, swala so watu wanakuja tu kutazama wanyama na kuchukua vitoweo na kwenda zao!
We unadhani hao watu wanadini.Mimi sina hofu hata kidogo na hizi kesi zsa Lisu. Kwani najua ni vitu vya kupikwa wakitaka watamfunga wasipotaka watamuacha ila wajaribu kumnyong'onyeza ili kama ikiwezejkana hata wakimwachia akimbie nchi kama ulimboka.