Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh. bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe

Sipati picha hivi kama mzee kinana na mzee makamba wangefungua kesi za madai dhidi yake .ingekuwaje kwa huyu mwanaharakati?
 
Aanze kulipa Bukubuku kwa siku, mdogomdogo atamaliza...

Kujifanya unatetea dubwana kubwa linaloitwa au litaasisi kubwa lenye mizizi iliyojichimbia sana alafu huna koneksheni za maana ni ujinga.

ujanja wa mwanasiasa na mpambe wake huwa ni miaka mitano. Sasa unapokuwa shabiki wa mtu mwenye kinga kisheria ibadi akili iwe nyepesi sana kujiongeza na kucheza miguu yote miwili huku ukiweka akiba incase akafariki siasa au akafariki dunia kabisa.
🤣🤣🤣😊
 
Msiba hakuwa na akili kabisa!

Eti wewe Membe,kama kaka yako Kikwete alishindwa kukupitisha kua Rais,sasa hivi ndiyo utaweza?? Masikini huyu jamaa hakujua kwamba kuna kesho,tumbo lake ndiyo lilikua linamsumbua kwa njaa kali!


Musiba ni Msiba wa taifa---
 
Kwa hiyo huyu mwamba kwa sasa ana madeni yapatayo 13bilion! Manake kule kuna shangazi Fatuma alipata tuzo ya 7b na huku Membe 6b. Nadhani sasa Musiba ni raia anayedaiwa madeni makubwa kuliko raia yeyote hapa nchini na anastahili sifa ya Highly Indebted Poor Person (HIPC).
Apewe tuzo kabisa au forbes wamwandike
 
Ukiipasua bulb,utakuwa gizani. Huyu mtu alikuwa anaandika highly classified intelligence reports. What have you got against that?
Membe alikuwa kwenye kashfa ya kupitisha hela airport. Lile swala liliisha vipi?
 
IMG-20211029-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom