Yani kama kiongozi akiwa kichaa unafikiri wasaidizi watakosa element za "ukichaa"Kama Taifa tulipitia miaka 5 migumu "kweri kweri"....
View attachment 1990879
Yani kama kiongozi akiwa kichaa unafikiri wasaidizi watakosa element za "ukichaa"Kama Taifa tulipitia miaka 5 migumu "kweri kweri"....
View attachment 1990879
Pumbavu zakoMusiba anende akamegwe na wale waliokuwa wakimpa kichwa wamsaidie kulipa madeni, ndiomaana alilia sana shetani mkuu a.k.a mwendakuzimu alipokufa
😅😆🤣 sikuwahi kufikiria kuwa bado tuna watu wa ajabu kiasi hiki hata baada ya kufutwa kwa ngumbaru!! Niacheni nimalizie kucheka🤣😆😅
Aende nyumbani kwa Membe akafanye kazi za bustani angalau kwa miaka 10 ili kupunguza makali ya deni.Hapo hata akiuza mali zake zote, auze familia na ukoo wake wote ajiuze na yeye mwenyewe hatoboi
Musiba ni Msiba wa taifa---
Ukiipasua bulb,utakuwa gizani. Huyu mtu alikuwa anaandika highly classified intelligence reports. What have you got against that?
Membe alikuwa kwenye kashfa ya kupitisha hela airport. Lile swala liliisha vipi?
Ntumie picha yako iwekwe kwenye bendela ya nchiAanze kulipa Bukubuku kwa siku, mdogomdogo atamaliza...
Kujifanya unatetea dubwana kubwa linaloitwa au litaasisi kubwa lenye mizizi iliyojichimbia sana alafu huna koneksheni za maana ni ujinga.
ujanja wa mwanasiasa na mpambe wake huwa ni miaka mitano. Sasa unapokuwa shabiki wa mtu mwenye kinga kisheria ibadi akili iwe nyepesi sana kujiongeza na kucheza miguu yote miwili huku ukiweka akiba incase akafariki siasa au akafariki dunia kabisa.
Haki hata mm nimekusaidia kucheka.sikuwahi kufikiria kuwa bado tuna watu wa ajabu kiasi hiki hata baada ya kufutwa kwa ngumbaru!! Niacheni nimalizie kucheka
🤣Haki hata mm nimekusaidia kucheka.
mweee!! akamkule binti ya naniliu bureApewe kazi ya u house boy kwa Membe
Apewe kazi ya u house boy kwa Membe
Wapo siriasi?