Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) yamuumbua Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Kiherehere chake na Kudemka Kwake

Kwanza alikuja na Slogan ya The Return of Champions akimaanisha kuwa Yanga SC imerudi na kweli tumeona imerudi Kweli kusubiria kucheza Ligi ya Mchangani (Ligi Kuu)

Pili Klabu ya Yanga SC ilipokuwa ikienda nchini Nigeria kucheza mchezo wake wa Marudiano na Rivers United FC Haji Manara alituaminisha kuwa Yanga SC inaenda Kupindua Meza na Kusonga mbele na imekuwa tofauti kwa Kufurumushwa tena mapema tu CAF CL.

Tatu Msemaji huyu Mpuuzi wa Yanga SC baada ya kuona kila alifanyalo ni Nuksi tupu na halifanikiwi huko aliko na baada ya Kipigo akawa anakwepa Kuongea na Vyombo vya Habari leo kaja na Mkurupuko mwingine akidhani kuwa itaweza kumfanya aaminike na akubalike zaidi na wana Yanga SC.

Leo asubuhi katika Kurasa zake za Mitandao ya Kijamii Msemaji huyu Mpuuzi wa Yanga SC Haji Manara kwa Majigambo kabisa na Sifa nyingi za Kijinga aliwataka wana Yanga SC wote Kukaa tayari kwa Maamuzi ( anayodhani yataibeba Yanga SC yake ) ya CAS kuhusiana na Sakata la Mchezaji Bernard Morrison na Klabu ya Yanga SC.

Muda si mrefu Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani (CAS) imekuja na taarifa ( ambayo pia imeumbua ) Kiherehere cha Msemaji wa Yanga SC Mpuuzi Haji Manara kwa kusema kuwa imebadilisha tarehe ya Hukumu kutoka leo mpaka tarehe 26 Oktoba, 2021 hivyo Haji Manara aendelee na Mambo mengine kwani CAS haiendeshwi na Uswahili Uswahili alionao na aliouzoea.

Aden Rage aliwaambia katika Kesi hii Yanga SC hamna chenu, msipoteze Pesa na hata Shabiki wenu mkubwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete nae aliwataka Kuachana nayo bado mkawapuuza sasa nadhani kwa Kalenda ( Dana Dana ) hizi za CAS mtajua kuwa hamna Chenu, mnapoteza muda na huenda hata huko CAS mnadharaulika mno kwa Ujuha wenu uliowakomaa.
kuwa na akiba ya maneno mwanzo ulituamisha hakuna kesi leo tena unatupa tarehe ya hukumu tushike lipi tusikilize lipi hukumu ipo au hakuna kesi tuanze kuagiza vitu vyetu
 
kuwa na akiba ya maneno mwanzo ulituamisha hakuna kesi leo tena unatupa tarehe ya hukumu tushike lipi tusikilize lipi hukumu ipo au hakuna kesi tuanze kuagiza vitu vyetu
Hukumu imesogezwa tarehe mbele, mwezi huu huu lakini.

Hata kwenye mahakama zetu za kawaida hayo huwa yanatokea kusogeza mbele tarehe ni kitu cha kawaida sana.
 
Manara anawatesa sana kila kukicha hamchoki kumzungumzia Manara . Wivu unawasumbua anapata mshahara mil.9.8 kule alikuwa anapewa Posho Shilingi laki 7.Aidha amepewa gari ya kutembelea Land cruiser Mpya
Hii mada inamuhusu Manara ndio maana watu wanamjadili huyo Manara,halafu sio kila anayechangia hii mada basi ni shabiki wa Simba,acha kukariri.
 
Wewe shida yako nini, unawashwa washwa na yasiyokuusu, kama akuna kesi si ufunge ilo bakuli, mwenye kesi ni morrison na yanga nyie makoro mbona mnademkademka Sana, mwanzo mlisema kesi aipo uko cas, mkaumbuliwa mchana kweupe,

sasa mmeona aitoshi mnakuja na swaga nyingine za kipumbavu kwamba yanga awana chao mbona amueleweki mnachosimamia nyie,

Cas inao utaratibu wake wa kufanya kazi wala aifanyi kazi kwa kusukumwa na wajingawajinga Kama nyie, mda utafika hukumu itatoka na kila mmoja atavuna alichopanda,,acheni wenge
Hata wewe nyani/nguruwe poli UNADEMKA

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Manara anawatesa sana kila kukicha hamchoki kumzungumzia Manara . Wivu unawasumbua anapata mshahara mil.9.8 kule alikuwa anapewa Posho Shilingi laki 7.Aidha amepewa gari ya kutembelea Land cruiser Mpya

Kapewa na mabodigadi wa kumlinda simba hakupewa
Utopolo ni shida isiyo na utatuzi
 
Juzi anakoroma tu kule Port Harcourt akitaka Yanga isiingize timu uwanjani hadi Hersi akamsukumizia nje, yeya alitaka Yanga isiingize timu uwanjani ili wapate adhabu kali toka CAF ili dhamira iliyofichika ndani yake ipate furaha akachekee chooni wakati anakata gogo kama kawaida yake.
 
Shida ya kuhisi unalipwa usichostahili. Unaweza kujikuta hata unaenda kusafisha vyoo vya ofisi, ili mradi uwe bize tu na anayekulipa akuone unafanya kazi fulani.

Ni wa kuomuonea huruma tu.
 
Back
Top Bottom